Tujadili PICHA hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujadili PICHA hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by omarilyas, Mar 11, 2009.

 1. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2009
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi nimejionea mengi naomba kuwasikia wenzangu pia...

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,012
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hawa wamechorwa au wamepigwa picha na ni wapi?
   
 3. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,012
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  halafu kama kuna kitu wanashangaa wanaaangalia cinema nini?
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hawa sio akina George Washington na wenzake wakati wanatia sahihi Declaration of Independence katika miaka ya Karne ya 18? Lakini pengine siyo kwani pale maeneo ya katikati kuna watu kama Mao se Dong, Abraham Lincoln, Charles Darwin, Joseph Stalin, Albert Einstein, Mahatma Gandhi, William Shakespeare, n.k.
   
 5. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa ni watu wa kale na watu wa sasa mchanganyiko lakini ni mashuhuri.Namwona mchezaji bora Pele,na watu kama Tyson,Bill Clinton,Hitler,Sadam Hussein,Koffi Annan,Mahatma Gandhi etc..hapa sijamuona Mwalimu Nyerere,Nelson Mandela,George Bush...
   
 6. K

  Kungurumweupe JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2009
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 317
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Nimemuona Bill Clinton pale juu kushoto! Pia Hilal Clinton yupo na wametenganishwa na mtu mmoja kati yao!
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hii picha inaonyesha kama ina-predict siku za mwisho!!! kutakuwa na kusanyiko kubwa sana... Wengine niliowaona hapo ni MICHAEL JORDAN,CHARLIE CHAPLIN,MIKE TYSON,BRUCE LEE... Etc...
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Naona weekend imeanza thio, thafi thana wakuu..
   
 9. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mie mbavu zangu, sijaona hata mmoja ninayemfahamu humo uongo si kazi.

  Mtiondio wewe unawaza weekend tu mtu wangu???
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,474
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  Walikuwa wanashangaa kwani nilikuwa nimeshika NOTEBOOK na kwenye screen kunaonyesha homegape ya JAMII FORUMS.
   
 11. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 887
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  Hakuna mtu asiyekuwemo humo. Kila mtu yumo.
   
 12. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160

  Download and zoom, utawaona vizuri. kuna Arafat yuko karibu na Bush na Koff Anan n.k. sasa kwa haraka haraka picha hii inaonyesha watu maarufu mbalimbali walioko hai na ambao walishafariki. kwa hiyo hii inaonyesha kuwa kuna siku watu wote waliowahi kuwa hapa dunia watakuta bila kujali nani alimfanyia nini mwenzake.

  Nashindwa kuelewa ni kwa nini Bin Laden anaondoka na kundi kubwa la waumini wakielekea kwenye ma-pyramidi. Ila naomba kuuliza swali kwa nini Mwalimu Nyerere haja-qualify kuwa kwenye hii picha????????
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,581
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kuna jamaa anashusha chupa la whiskey peke yake....!
   
 14. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,758
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Yumo angalia vizuri
   
 15. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,546
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Duh hiyo picha kali manake hata mimi nimo!
   
 16. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,823
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mi naona mambo ya Yesu vile enzi zile watu walikuwa wakikusanyana wao na mbuzi, kondoo, paka, mbwa na kila kitu.....that is what i see. Otherwise hiyo camera ni kiboko.
   
 17. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Naona hii ni paint.
  Nilioweza kuwafahamu ni: Albert Einstain amekalia vitabu mbele, Mao, Yaser Arafati, Ariel Sharon, Saddam Hussein, Mike Tyson na Putin wako pamoja, Lincoln, Bill Clinton, Hillary Clinton, Fidelis Castro, Bush na Anan wenye tarumbeta, Hitla aliye karibu na mwanasoko mbrazili, Bruce lee.
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,023
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 180
  Ni picha ambayo imebuniwa kwa mkusanyiko wa watu mbalimbali mashuhuri duniani katika nyanja mbali mbali kama siasa na michezo mpaka mwaka jana.

  Kwa haraka haraka nimewatambua Che guevara,Fidel Castro,Arafat, Prince Charles, Charlie Chaplin, Tyson, Abraham Lincon,Elvis Presley,Mahatma Gandhi,Margaret Hatcher, Malkia Elizabeth II na Adolf Hitler na nembo yake ya Nazi.

  Pia kuna mchezaji wa Brazil jezi no.10 huyo ni Pele.Huyo mtoto mdogo anaitwa Shirley Temple.

  Nice Art!
   
  Last edited: Mar 12, 2009
 19. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ukienda juu kushoto chini kulia, kati, namuona rafiki yangu FM ES!!!
   
 20. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Hao ni watu wote maarufu duniani ambao unawajua wewe mpaka mwaka 2008
   
Loading...