Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,250
- 50,053
..😂😂😂..Kuna bifu kati ya mbunge Msukuma na mkurugenzi wa Geita ndipo Msukuma a katengeneza fitna lakini hizo Gari hata CCM wanazo nyingi kuliko hata chama Tawala cha Japan zinakotengenezwa

Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanategemea pesa za Halmashauri kwenye mafuta?Ukweli ni kwamba kwenye halmashauri nyingi budget ya uendeshaji wa haya magari ni kubwa sana kuliko hata budget ya elimu au afya. Ndio jivyo unakuta wanafunzi wanakaa chini au wafonjwa wanakosa hudima mujimu hospitali lkn Viongozi wanajinunilia magari ya kifahari. Nadhani tufike mahali tuaajiri watu wenye usafiri wao kabisa, unawapa posho ya usafiri tuu, hasipotokea kazini unafuta unaajiri mwingine
Hawandio wazalendo
Baadhi ya mikoa/wilaya maskini wantegemea pesa za halmashauri maana wanazopata kutoka serikali kuu hazitoshi ila sina uhakika sana. Mzazi wangu alishakuwa kwenye siasa na nakumbuka makabrasha ya vikao vya halmashauri vikija nilikuwa napiga chabo. Pesa za mafuta matengenezo mara kununua gari cjui la mradi au ofisi/ofisa fulani zinakuwa too muchWakuu wa Wilaya na Mikoa wanategemea pesa za Halmashauri kwenye mafuta?
Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.
Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.
Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.
Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.
Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?
Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
Yaleni ya chama sio ya serikaliWanasiasa acheni unafiki mbona ile mishangingi ya kijani yenyewe hamuhoji manunuzi yake? Mrudisheni mkurugenzi kazini nae ainjoi utajiri wa nchi yake hao wanaosoma bila madawati kwani mmewaona baada ya huyo mwenzenu kununua hiyo vi nane ? Acheni unafiki
Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.
Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.
Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.
Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.
Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?
Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
Afadhali amepatikana mtu moja katika huu Uzi mwenye uelewa wa Mambo. Hao wengine hata V8 hawazijui Ila wako mbele kushafadia uziMkuu hajakataza matumizi ya V8 kwa wakurugenzi, hizi V8 zinamatoleo yafuatayo kulingana na bei, GX-GXL-VX na toleo la bei ni Sahara Horizon inawezekana ndio imeondoka na ugali wa mtu. Ma DC wanatumia GX na Ma RC GXL huko kwa mawaziri ndio VX na Mkuu ndio anacheza na hiyo Sahara
Yaani watu mmeshindwa kuelewa mnakurupuka kutoa utopolo wenu.Well said ndugu...
Na hii inamshangaza kila mmoja. Ni kama vile hii kitu imepangwa kwa namna ile ile iliyofanyika miaka yote tangu huyu mzee awe Rais...
Kwa sbb, kiuhalisia karibu kila mkurugenzi wa Jiji, H/M ama manispaa pamoja na maDC na maRC na maafisa na wakuu wa idara na taasisi zote za umma wananunua ama kununuliwa magari ya aina hiihii linalotaka kugharimu ajira ya Mkurugenzi wa H/M ya Geita...
Kwa maoni yangu, serikali isiwe na maamuzi ya majukwani yaliyojaa mihemuko tu badala yake ije na utaratibu wa kisera kuhusu usafiri wa viongozi wa umma...
Na mimi napendekeza hili, kwamba, viongozi wote wa umma walio entitled kupata usafiri binafsi kuanzia ngazi ya uwaziri, makatibu wakuu wa wizara, wakuu wa idara na taasisi, viongozi wa serikali za mitaa nk aina ya gari wanalopaswa kupewa iwe ni Landcruiser Mkonga...
Hizi gari ni imara na zinafaa kwa aina za barabara zetu nyingi za vumbi vijijini. Na iwe hivi, kiongozi ambaye hatapenda aina hii ya gari, basi anaweza kuwa anatembelea gari yake binafsi anayopenda kwa kuinunua kwa hela zake binafsi...
Hili ndiyo njia bora ya kulisawazisha jambo hili siyo kwa namna anavyotaka kutendewa DED wa Geita Vijijini kana kwamba huyu ndiye Mkurugenzi pekee na wa kwanza kujinunulia gari ya aina hiyo...
Hivi purchase requisition from si imo kwenye mchakato wa ununuzi hadi kwa waziri husika. Inawawezekane fedha nyingi hivyo zitumike kununua gari pasipo approval ya wakubwa wake. Kuunda tueme ni matumizi mabaya ya rasilimali.Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.
Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.
Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.
Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.
Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?
Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
Yaani watu mmeshindwa kuelewa mnakurupuka kutoa utopolo wenu.
Tatizo sio kununua V8 tatizo ni V8 ya Aina gani na pesa zilizotumika kulinunua zilipotokea.
Kabla ya kujadili hii hoja au hata kabla hujailetea hii mada humu JF, nakushauri uutafute na kuusoma waraka na mwongozo wa kiserikali kuhusu nani ana stahili kutumia gari la aina gani, fanicha za aina gani na ofisi ya aina gani huko Serikalini. Kuna mwongozo wa wazi kuhusu mambo hayo ikiwa ni pamoja na magari.Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.
Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.
Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.
Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.
Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?
Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
In Polepoke's Voice.Vieite kama vieite unaijua vieite wewe?
Hayo ni yao kwenye CHAMA LAO, watajua wenyewe namna ya kuwajibishana, lakini humu Serikalini, kuna miongozo na kanuni mahususi kwenye maeneo yote ikiwa ni pamoja na kwenye magari.Kuna kiongozi mmoja wa ccm alijisifia wao watu wao wanatumia mav888 full kipupwe
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app