Tujadili matumizi ya V8 katika Taifa letu

Mkurugenzi yupo sahihi, Kwenye rank yake ya uongozi policy inampa ruhusa kutembelea V8. Msukuma acha wivu. Kama mnataka badilisheni mtumie wote Land Rover 109 kama kipindi ya Mwalimu - msituchoshe.
 
1607593714277.png
 
Ukitaka kuona comedy angalia utendaji wa serikali hii, ni vimbwaga, vituko, vichekesho, vurugu mtindo mmoja, bila kusahau matamko na zinduazindua.
 
mhe. Jaffo safari hii usimchekee mtu ...kama noma na iwe noma......usikubali kutiwa dowa na watendaji mafisadi
 
Kwa ajili ya kupunguza matumizi mabaya ya fedha tuache kununua magari kwa ajili ya viongozi na maofisa mbalimbali wa umma isipokuwa Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu tu!
Wengine watumie ya binafsi ila walipwe "mileage allowances".
Hii itapunguza udalali wa manunuzi ya magari na matengenezo yake na pia matumizi holela yasiyo ya lazima!
 
Wakuu mkisikia neno "Ofisi ya Waziri Mkuu", "Ofisi ya Rais" mnadhani wanaofanya kazi pale ni malaika kutoka mbinguni eti....wamo watanzania wenzetu ambao wana tabia zile zile za kawaida kama unazoona mtaani mtu anabana mizani ili kuiba, pamba wanaimwagia maji na kuweka mawe ili kuongeza uzito, malaya ambao wanaiba kuwanunulia hawara toyota vitz, nk....
 
Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.

Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.

Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.

Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.

Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?

Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.

Hii gari kila KIONGOZI ANATAMANI KUWA NAYO!
Ni extension of power!
1607602733119.png

Wanasiasa acheni unafiki mbona ile mishangingi ya kijani yenyewe hamuhoji manunuzi yake? Mrudisheni mkurugenzi kazini nae ainjoi utajiri wa nchi yake hao wanaosoma bila madawati kwani mmewaona baada ya huyo mwenzenu kununua hiyo vi nane ? Acheni unafiki
 
Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.

Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.

Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.

Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.

Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?

Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
Mkuu hajakataza matumizi ya V8 kwa wakurugenzi, hizi V8 zinamatoleo yafuatayo kulingana na bei, GX-GXL-VX na toleo la bei ni Sahara Horizon inawezekana ndio imeondoka na ugali wa mtu. Ma DC wanatumia GX na Ma RC GXL huko kwa mawaziri ndio VX na Mkuu ndio anacheza na hiyo Sahara
 
Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.

Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.

Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.

Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.

Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?

Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
 
Attachments

  • 2631797-452878cca357e2055d5e7d229e965d2f.mp4
    94.4 KB
Back
Top Bottom