Tujadili matumizi ya V8 katika Taifa letu

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
761
Reaction score
6,985
Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.

Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.

Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.

Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.

Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?

Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
 
Mkurugenzi huyo wa Halmashauri hiyo, Mhandisi Modest Apolinary amejibu tuhuma hizo na kusema kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa kufuata utaratibu na waliomba kibali kutoka kwenye ofisi ya Waziri Mkuu na walipewa kibali hicho.
Wanataka kututoa kwenye ajenda.
 
Tatizo lipo kwenye Mfumo wa manunuzi kwani hizo VX zipo Nchi nzima
 
Mkurugenzi huyo wa Halmashauri hiyo, Mhandisi Modest Apolinary amejibu tuhuma hizo na kusema kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa kufuata utaratibu na waliomba kibali kutoka kwenye ofisi ya Waziri Mkuu na walipewa kibali hicho.
Kuna bifu kati ya mbunge Msukuma na mkurugenzi wa Geita ndipo Msukuma a katengeneza fitna lakini hizo Gari hata CCM wanazo nyingi kuliko hata chama Tawala cha Japan zinakotengenezwa
 
Mkuki kwa nguruwe........
Eti mkurugenzi kanunua VXR milioni 400 na kuna watoto wanakaa chini, ..........he ... he heeee, na ule msafara wa ananii unatumia volkswagen eeh ?????
 
Kuna bifu kati ya mbunge Msukuma na mkurugenzi wa Geita ndipo Msukuma a katengeneza fitna lakini hizo Gari hata CCM wanazo nyingi kuliko hata chama Tawala cha Japan zinakotengenezwa
Mi nashangaa wanajifanya wanabana matumizi mbona hawaangalii misafara yao inavyotafuna fedha za walipakodi? Kwani Mkurugenzi wa Halmashauri anatofauti gani na wakurugenzi wengine wa mashirika ya Umma wanaotembelea VX V8?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena yote, kujishebedua tu kule.
zile walizokuwa wangawa barabarani kwenye msafara si ingejenga hayo madarasa?
 
Mkurugenzi huyo wa Halmashauri hiyo, Mhandisi Modest Apolinary amejibu tuhuma hizo na kusema kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa kufuata utaratibu na waliomba kibali kutoka kwenye ofisi ya Waziri Mkuu na walipewa kibali hicho.
Na akaongeza kwamba, kama swala ni magari basi kwataarifa tu nikwamba kuna magari mengine matatu tayari wame agiza, moja ni ambulance na mawili ni kwaajili ya supervision.
 
Hapo lazima
Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.

Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.

Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.

Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.

Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?

Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
Hapo lazima kuna makatibu wa hazina na watendaji wa wizara huenda walidhani magufuli hatarudi n wakaona hii ni nafasi ya kujilipa kabla ya utawala mpya,
Kwenye jambo hilo hata wale walioidhinisha linunuliwe gari hilo wanapaswa kuondolewa kwenye nafasi zao.
 
Polepole aliwahi kutunanga Watanzania akisema wao Kama viongoz wa chama wanatembelea mashangingi na makatibu wa mikoa wanatembelea cruiser hardtop (Kama sikosei), akatuambia wanampango wakuwanunulia viongoz wote magari ya kifahari......hii ilikua kauli ya chama, nadhan wakurugenzi wanaitekeleza kwa vitendo. Msukuma baada yakuona mkurugenzi ana gari nzuri na wakati akisubiri chama kimnunulie V8 kaamua kumwondoa mkurugenzi. Tukumbuke hawa ndio waliofanya yao 28/10/2020 wakaambiwa awatatumbuliwa.....mwanasiasa Hana fadhila
 
Back
Top Bottom