Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Simpo and clear upanuzi wa elimu ya juu tukianza na advanced level vyuo vya kati vya elimu na ufundi hadi vyuo vikuu serikali ya Tz ipo usingizini sana. Sekta binafsi kwenye elimu inafanya enrollement kubwa kuliko taasisi za elimu zilizo chini ya serikali. Tutegemee kuona waliopata division II wanapelekwa vyuo vya kati kingali kwenye machaguo waliomba wapelekwe advanced level na tutegemee wenye division III kukosa nafasi hata kwenye vyuo vya serikali wataangukia wengi vyuo binafsi.🎓 Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)
🎓 Division IV - 51.46%
🎓 Division 0 - 12.7%
Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka.
Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa kuwaendeleza au Mungu awe amewabariki vipaji ambavyo huwezi kukikataa au Mungu atende miujiza tu. Na kibaya zaidi kwao kaka zao ni mwaka wa 6 huu ni jobless mtaani.
Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)