Tujadili kijasusi ya Captain Tesha

Zimebaki siku 20, hamna cha kujadiliana.
Relax
 
Kamanda gani huyo ameuliwa?
 
Huo sio uhaini. Sana sana unaweza kuuita utovu wa nidhani.

Press conference ya Msemaji wa TPDF inafikirisha; maswali ni mengi kuliko majibu!

Assuming Captain Tesha is in active service kweli, sio rahisi sana kuamua haraka haraka kumuadhibu. Lazima tukubali, hali ya hewa nchini sio nzuri kwa sasa. Captain Tesha hawezi kuwa pekee yake. Wakimuendea kwa pupa wanaweza kujikuta wamewasha moto ambao hawawezi kuuzima!
 
Huyuuu jamaaa kazingua yey kama captain wa anga angechukua ndege angeenda mpaka ikulu apige mabomu mawili mama akikimbia yeye anachukuwa anasema nchi iko chini ya jeshi sasa kuongea ongea nonsense tuuu mwanajeshi anafanya haongei sanaaa kazingua
 
Huyo mwanajeshi fake Tesha hutamuona tena yuko kwenye mikono salama.
Na useme kabisa akitokea tena kuja kuzungumza upigwe dole la kati kabla ya kutatiliwa malinda kwa mara nyingine tena maana alisema atarudi tena kuongea
 
Na useme kabisa akitokea tena kuja kuzungumza upigwe dole la kati kabla ya kutatiliwa malinda kwa mara nyingine tena maana alisema atarudi tena kuongea
Nyumbu tuliza tako lako.
 
Wajingajinga km wewe hua nawaweka kwenye ignore list mazafaka
Kuniweka kwenye ignore list hainizuii kuchangia mada zingine hapa JF wewe nyumbu!!!
 
😁😁😁😁
 
Reactions: UCD
Ponjoro wa Kinondoni vipi habari za Kinondoni!!? 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…