Tujadili kijasusi ya Captain Tesha

Tujadili kijasusi ya Captain Tesha

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
660
Reaction score
599
Salaam kwenu Wana great thinker.

Naomba niwashirikishe kwenye mijadala huu KIJASUSI zaidi kwasababu jamii forum ni hom of great thinkers,hatuchukulii jambo juu juu.

Wakuu,Jana,sote tunatambua alijitokeza mtu aliyejitambulisha kama afisa wa JW mwenye cheo Cha captain kwa jina anaitwa TESHA. Captain huyu aliongea mambo mazito mno kuhusu Mwenendo mbaya wa Taifa letu na akaenda mbali zaid kutaka jeshi letu pendwa lichukue udhibiti wa nchi kunusuru hali hyo mbaya ya Taifa letu inayoweza kusababisha madhara makubwa kama itaachwa bila ya kuchukuliwa hatua na jeshi.

Mambo yaliyonistua kiasi Cha kutaka TULIJADILI KIJASUSI.

1/ Jeshi letu halijakanusha chochote katika hotuba ya captain TESHA. Halijasema kama TESHA ni askari wao au alikuwa ni wao lkn kafukuzwa au kasimamishwa au vip

2/ Mpaka Sasa hatujui TESHA amechukuliwa hatua Gani na bado jeshi lipo kimya

3)Kuna tetesi zimezagaa kuwa Kuna maafisa wengi Wana msimamo kama wa TESHA baadhi Yao picha mjongeo zinasambazwa kwenye mitandao zikiwaonesha wakiwa na bunduki bila ya kuonesha sura zao wakieleza misimamo Yao waziwazi.

Sasa tujadili KIJASUSI: Katika hali kama hii iliyopo nchini mwetu,utekaji na mauaji,hali ngumu ya maisha kweli inawezkana vip mtu mwenye kazi Tena anacheo kikubwa jeshini achezee ajira yake vile huku akijua kitendo kile ni kuweka rehani maisha yake kwakua ni uhaini wa wazi na adhabu yake ni kifo? Mwenzenu Imani inanituma kuwa huko jeshini hakuko sawa na Hadi Sasa unaona kimya husikii hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya TESHA kwakua Kuna nguzo kubwa na muhimu TESHA ameiegemea na ndo ambayo imempa ujasiri wa kuchezea ajira yake na uhai wake.

Tusaidiane kudadavua hili kwa jicho la KIJASUSI,wenzetu mnalionaje?
 
Kama umesomea cuba utagundua jeshi letu limefurahishwa sana na kitendo cha Captain wake kukubali kuliwakilisha vyema kwa wananchi.

Jeshi limeahidi kulinda wananchi kwenye maandamano, jeshi limeahidi kuwafumua polisi watakaojaribu kubugudhi wananchi. Asanteni sana JWTZ
 
Kama kweli ni askari basi huyu Tesha ni askari wa hovyo mno kuweza kukabidhi akili zake kwa Polepole na Mange. Alichokuwa anasoma kaandikiwa na hao wanaharakati uchwara. Hakuna ujasusi wowote hapo zaidi ya mjinga mmoja kuamua kuonyesha ujinga wake kwa umma. Mnaosema kuwa kuna maafisa wengi wa jeshi wanaunga mkono upuuzi wa Tesha acheni kujidanganya.
 
Mzee tesh kaguza pabayaaa
1000149863.jpg
 
Kama kweli ni askari basi huyu Tesha ni askari wa hovyo mno kuweza kukabidhi akili zake kwa Polepole na Mange. Alichokuwa anasoma kaandikiwa na hao wanaharakati uchwara. Hakuna ujasusi wowote hapo zaidi ya mjinga mmoja kuamua kuonyesha ujinga wake kwa umma. Mnaosema kuwa kuna maafisa wengi wa jeshi wanaunga mkono upuuzi wa Tesha acheni kujidanganya.
Mtandao mmeufungia bado mnakuja tena maboya sana cccm
 
kuna kushuhhurukiana kimya kimya, huko jeshii bila kutoa taarifa uraiani. Kama wameshamshughurikia natumai hao wengine watajua the next step. Hua wana jera zao n.k
 
Kwakua amesema kama hakuna mabadiliko atarudi kabla ya tarehe 29 kuzungumza japokua inaonesha hakutokua na mabadiliko yeyote kwasababu watu aliowataja si rahisi kukamatwa kwa namna yeyote ile na kuhojiwa, chakuzingatia inaonesha nyuma yake kunawakubwa waliye mtuma na bila ya shaka naona anguko la kile chama
 
Salaam kwenu Wana great thinker.

Naomba niwashirikishe kwenye mijadala huu KIJASUSI zaidi kwasababu jamii forum ni hom of great thinkers,hatuchukulii jambo juu juu.

Wakuu,Jana,sote tunatambua alijitokeza mtu aliyejitambulisha kama afisa wa JW mwenye cheo Cha captain kwa jina anaitwa TESHA. Captain huyu aliongea mambo mazito mno kuhusu Mwenendo mbaya wa Taifa letu na akaenda mbali zaid kutaka jeshi letu pendwa lichukue udhibiti wa nchi kunusuru hali hyo mbaya ya Taifa letu inayoweza kusababisha madhara makubwa kama itaachwa bila ya kuchukuliwa hatua na jeshi.

Mambo yaliyonistua kiasi Cha kutaka TULIJADILI KIJASUSI.

1/ Jeshi letu halijakanusha chochote katika hotuba ya captain TESHA. Halijasema kama TESHA ni askari wao au alikuwa ni wao lkn kafukuzwa au kasimamishwa au vip

2/ Mpaka Sasa hatujui TESHA amechukuliwa hatua Gani na bado jeshi lipo kimya

3)Kuna tetesi zimezagaa kuwa Kuna maafisa wengi Wana msimamo kama wa TESHA baadhi Yao picha mjongeo zinasambazwa kwenye mitandao zikiwaonesha wakiwa na bunduki bila ya kuonesha sura zao wakieleza misimamo Yao waziwazi.

Sasa tujadili KIJASUSI: Katika hali kama hii iliyopo nchini mwetu,utekaji na mauaji,hali ngumu ya maisha kweli inawezkana vip mtu mwenye kazi Tena anacheo kikubwa jeshini achezee ajira yake vile huku akijua kitendo kile ni kuweka rehani maisha yake kwakua ni uhaini wa wazi na adhabu yake ni kifo? Mwenzenu Imani inanituma kuwa huko jeshini hakuko sawa na Hadi Sasa unaona kimya husikii hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya TESHA kwakua Kuna nguzo kubwa na muhimu TESHA ameiegemea na ndo ambayo imempa ujasiri wa kuchezea ajira yake na uhai wake.

Tusaidiane kudadavua hili kwa jicho la KIJASUSI,wenzetu mnalionaje?
Ikiwa hiyo ndiyo namna pekee ya kulipatia taifa hili ukombozi ni bora ichukuliwe njia hii,japo itaonekana ngumu ila ukombozi mpya ni bora kuliko uchawa na hujuma za wanamtandao kwa taifa letu!
 
Kama umesomea cuba utagundua jeshi letu limefurahishwa sana na kitendo cha Captain wake kukubali kuliwakilisha vyema kwa wananchi.

Jeshi limeahidi kulinda wananchi kwenye maandamano, jeshi limeahidi kuwafumua polisi watakaojaribu kubugudhi wananchi. Asanteni sana JWTZ
Huyo mwanajeshi fake Tesha hutamuona tena yuko kwenye mikono salama.
 
Inatakiwa ujue cheo cha Captain kina nguvu gani Jeshini.

Inatakiwa ujue kuwa nje ya kuw Captain pia ni MKUFUNZI.

Inatakiwa ujue taratibu za Kijeshi si za kwenye Mitandao, mambo yao huisha kimya kimya.. ndani kwa ndani.

Inatakiwa ujue ule uvumi wa yule Kamanda anayedaiwa kuuliwa hivi karibuni ameacha maswali.. na ndani ya hayo mswali kuna watu wameumia na hao watu wapo nyuma ya mtu.
 
Back
Top Bottom