Nafikiri chanzo cha kuishi kimachale ni hii dhana ambayo leo watu wengi wanayo,yaani dhana ya mimi,dhana hii imesababisha watu kuwa wanaojifikiria na kujiwazia wao tu hivi kwamba kufanya uhujuma au usaliti hata kuelekea watu wanaominiana nao sana limekuwa jambo la kawaida sana ili tu kutimiza dhana hiyo ya mimi nikale wapi?mimi nitafaidi lini?kwa nini yeye tu na sio mimi?na linapotokea jambo la usaliti kati ya watu wanaoamniana sana na watu katika jamii kushuhudia,wengi wao wenye kuweza kujifunza hujifunza kitu kuwa kama yule kafanyiwa hivyo mimi ni nani nisiweze kuja kufanyiwa hivyo na mtu nimwaminiye na kisha kuanza kuishi maisha ya machale pia.
Ndiyo hiyo pia ni sababu mojawapo na ndio maana hata imezoeleka kuwa ukikuta mume au mke ana wivu kupita basi ujue kuwa hata yeye si mwaminifu kwani atahisi anavyoiba nje ya ndoa mwenzie pia anafanya hivyo hivyo,the same to asiye mwaminifu kwa kila jambo ye pia ataona watu wote kuwa matraitors na hivyo kuishi kwa machale hata zaidi.Aisee, hivyo ubinafsi huchangia sana kushindwa kuwaamini wengine eeh.
Nafikiri pia watu hutafsiri udhaifu au upungufu wao kwa watu wengine; mfano, kama mimi sio mwaminifu basi inakuwa ngumu kuamini kuwa kuna watu waaminifu. Unaionaje hii?
Wakati mwingine kuishi kwa "machale" husababishwa na tabia ya ubinafsi...
KUJIAMINI!
KUAMINI!
KUMUAMINI!
...
Kujiamini ndio kitu cha msingi! Coz you have a TOTAL CONTROL upon this!
...
Kuamini: ni muhimu sana! Hapa as a reasonable man/person, You ought to foresee the possibility of something due to the facts and evidence!
...
Kumuamini: inatakiwa umuamini kwa sababu na mifano! All in all hutakiwi kumuamini mtu YOYOTE kwa asilimia 100! Yap! Huna control ya kutosha kwa yeyote! When it comes to love, hata mtu aweje hakuna kumuamini kwa asilimia zote but kumuonesha kama humuamini haitakiwi ikiwa huna sababu na direct examples to him/her!
Human being are SELFISH IN NATURE!
...
Nadhani nimesoumeka hapo!
Kuishi kwa machale
Kuongea kwa machale
Kupenda kwa machale
Urafiki wa machale
Ushirika (biashara) wa machale
Undugu wa machaleKanisani machaleNajua ni ngumu kumuamini kila mtu, lakini naona maisha ni magumu sana kwa kutomuamini mtu yoyote. Katika ndoa kila mtu anamtegea mwenzie, yaani hata kuufungua moyo wako kwa mpenzio unaogopa kwa kuhisi tu mwenzio atauexploit na kukuumiza. Where is the trust?
Misikitini machale
Kazini machale
Kwenye familia machale
Kwenye ndoa machale
Kwenye masuala ya mali ndio kabisa, kila mtu anatoa ukweli nusu au hata pengine robo hii ni hatari sana kwa maoni yangu. Matokeo yake tunakuwa wapweke sana kwa kuwa tuna siri nyingi sana ambazo hatuzishei; licha ya upotevu wa mali unaotokea pindi mmiliki wa siri anapotangulia.
Labda swali la kujiuliza hapa, chanzo cha kuishi kimachale au kuangalia kila kitu kwa jicho la tatu if you may ni nini? Ni kujifunza kutoka kwa makosa ya wengine? je mazingira ya kutokea kwa hayo makosa ya wengine ni the same? Au waliokosea wanafanana na hawa wenzi wetu kwa kila kitu?
Wana jamvi kuna shida gani ukimuamini mtu?
Karibuni tujadili.
Kuwa na machale saa zote zinachangiwa na experience alizopitia mhusika mfano kusalitiwa mara tofauti na watu anaowaamini na kuwategemea na halii hujenga negativity na kumfanya mtu awe sceptical na kudoubt kila kitu...yaani mtu wa aina hio anakuwa hata mgumu kufunguka kwa watu ni mtu msiri ambaye ni watu wachache mno anaweza kuwaamini!Naweza kusema pia ni makuzi aliyopitia mfano kama kulikuwa hakuna uaminifu nyumbani usitegemee mtu huyo atamuamini mtu mwengine kirahisi ukubwani..lakini vipi kuhusu madhara ya too much machale; yaani mimi naona unakosa amini hivi kwa muda wote kuhisi kila kitu kina motive behind au conspiracy fulani hivi.
….umeniwahi na 'sredi' ya mawazo haya,
machale yanaweza kukuepusha na ile siku ya #40!
Siku ya Arobaini, au Arobaini yako ikifika, #Machale yatakucheza
tu kwamba mnh…leo!!!...
Hapana dharau #Machale aisee…ile ni 6th Sense!
Kuwa na machale saa zote zinachangiwa na experience alizopitia mhusika mfano kusalitiwa mara tofauti na watu anaowaamini na kuwategemea na halii hujenga negativity na kumfanya mtu awe sceptical na kudoubt kila kitu...yaani mtu wa aina hio anakuwa hata mgumu kufunguka kwa watu ni mtu msiri ambaye ni watu wachache mno anaweza kuwaamini!Naweza kusema pia ni makuzi aliyopitia mfano kama kulikuwa hakuna uaminifu nyumbani usitegemee mtu huyo atamuamini mtu mwengine kirahisi ukubwani..
Kuishi kwa machale
Kuongea kwa machale
Kupenda kwa machale
Urafiki wa machale
Ushirika (biashara) wa machale
Undugu wa machaleKanisani machaleNajua ni ngumu kumuamini kila mtu, lakini naona maisha ni magumu sana kwa kutomuamini mtu yoyote. Katika ndoa kila mtu anamtegea mwenzie, yaani hata kuufungua moyo wako kwa mpenzio unaogopa kwa kuhisi tu mwenzio atauexploit na kukuumiza. Where is the trust?
Misikitini machale
Kazini machale
Kwenye familia machale
Kwenye ndoa machale
Kwenye masuala ya mali ndio kabisa, kila mtu anatoa ukweli nusu au hata pengine robo hii ni hatari sana kwa maoni yangu. Matokeo yake tunakuwa wapweke sana kwa kuwa tuna siri nyingi sana ambazo hatuzishei; licha ya upotevu wa mali unaotokea pindi mmiliki wa siri anapotangulia.
Labda swali la kujiuliza hapa, chanzo cha kuishi kimachale au kuangalia kila kitu kwa jicho la tatu if you may ni nini? Ni kujifunza kutoka kwa makosa ya wengine? je mazingira ya kutokea kwa hayo makosa ya wengine ni the same? Au waliokosea wanafanana na hawa wenzi wetu kwa kila kitu?
Wana jamvi kuna shida gani ukimuamini mtu?
Karibuni tujadili.
lakini vipi kuhusu madhara ya too much machale; yaani mimi naona unakosa amini hivi kwa muda wote kuhisi kila kitu kina motive behind au conspiracy fulani hivi.
i think selfishness,,, ila dont trust any body usijal may be that is better life.....
hadi mimi jamani hon?Lean on me