barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
siasa inatupeleka pabaya sana katika taifa hili,,, tunaposema 50/50 ya uwiano wa jinsia katika jeshi letu tayari hapa tunaleta shida kubwa katika jeshi letu,,, ,iko wazi kabisa mwanamke na mwanamme kimaumbile tupo tofauti sana katika utendaji kazi hasa wa hizi kazi za nguvu... lazima tujue tunapoligusa jeshi tunazungumzia ulinzi wa taifa letu...
tunapokuwa na 50% ya akina mama jeshini lazima ujuwe katika suala la kwenda front line na mikiki ya front line hawa ndugu zetu ni ngumu sana kuhimili na kama kunawatakaohimili basi hapo unazungumzia 1% ukichanganya na wanaume 50% ambao kitaalamu hapo front line watakuwa kama 30% na 20% percent wanapigania vita kwenye makaratasi na keyboard kwa hiyo front line utakuwa na 30% + 1% = 31% JE UNATEGEMEA NA UPANDE WA ADUI ITAKUWA 31% ???
tuwe wakweli MUNGU alituumba kimaumbile tofauti sana sasa tunapotaka kuendekeza ujinga tutaingia kwenye matatizo.. tu jiulize maswali kadhaa humu ndani...
WAPI MWANAMKE AMEKATAZWA KUJIUNGA NA JESHI?
WAPI MWANAMKE AMEKATAZWA KUSOMA MASOMO YA SCIENCE.
WAPI MWANAMKE AKEKATAZWA KUFANYA KAZI NGUMU? mfano kubeba zege na mizigo??
WAPI WANAWAKE WAMEKATAZWA KUWA MAENGINEER??
MBONA MITIHANI SHULE IKO SAWA, MWANAMKE NA MWANAMME WANAFANYA MTIHANI SAWA??
Nina mke soldier na msomi ananipa stress ya kupokonywa na wakubwa ili wampe mawe begani.wakuu na hii 50/50 si ndiyo balaa!,maana ukimwona alivyo duh!
Nchi kama Marekani, Uingereza na Ulaya yote kiujumla ndiyo wakongwe wa Demoktasia hawana upuuzi wa kulazisha 50-50, sasa Tanzania ambayo kutwa presidaa kutembeza bakuri kwao eti ndiyo nchi itasogea kweli au ndiyo tutuanza reverse ya maendeleo? Ishu ni kuwa kila mtu apambane kwa nguvu yake si kwanza kubebwa bebwa kipumbavu hapa. Haki sawa, sijui Nani mwenye haki yao hiyo. Inakera sana.
nadhani hata nafasi ya rais iwe kwa zamu kila five yrs 50/50 mpango mzima
katiba ya ccm oyeee
ha ha hahaaaaa mkuu kwanza hii ni moja kati ya taaliuma ya kudharaulika sana nina mdogo wangu kamaliza mwka jana eti leo trafick sasa najiliza hivi anajua hata maadili ya kazi kweli afuuu kuna watotooo wazuuuuriiii humoooooosio tu kurembua kaka,, wakikuona umebeba mwanamke wanakuwa mpaka na wivu mkuu,,, kuna siku mmoja alinikamata mkoa fulani hivi alifikia hata kuniuliza eti nina mke nilimvyo mjibu ndio akaniuliza mkeo mzuri... nikamwambia mama niandikie niende!!! wacha anune...
Baada ya rasimu kukamilika basi ni muda muafaka wa kuanza kujadili utekelezaji wa mambo muhimu yaliyomo katika rasimu.leo hii nimejikita kwenye suala nyeti la ulinzi na usalama hasa hasa tukilitazama jeshi letu la wananchi wa Tanzania.
Wanawake watapewa fursa ya kujiunga na jeshi kwa uwiano wa 50 kwa 50.
Je utekelezaji wa suala hili utakuwaje?
Utekelezaji wake utaanza lini?
Utekelezaji wake una athari gani kiusalama?
Utekelezaji wake una athari gani kisaikolojia?
Na maswali mengine yatakayojiri.
Tafadhali sana kwa mods,usiunganishe uzi huu.
Tafadhali sana wadau tusichangie kwa jazba.
cc: Pasco nguruvi Ritz
Kila nikiwaza hii 50/50 ya tume ya Warioba nashindwa kujua Warioba na timu yake walikuwa na hangover ya kilevi gani vichwani mwao wakati wanatuwekea ujinga huo kwenye rasimu. Katiba yoyote nzuri lazima iepushe na kuzuia kabisa uonevu au upendeleo kwa kundi lolote miongoni mwa walengwa wa katiba hiyo, na pengine kulinda haki za minority kama kweli wapo.Baada ya rasimu kukamilika basi ni muda muafaka wa kuanza kujadili utekelezaji wa mambo muhimu yaliyomo katika rasimu.leo hii nimejikita kwenye suala nyeti la ulinzi na usalama hasa hasa tukilitazama jeshi letu la wananchi wa Tanzania.
Wanawake watapewa fursa ya kujiunga na jeshi kwa uwiano wa 50 kwa 50.
Je utekelezaji wa suala hili utakuwaje?
Utekelezaji wake utaanza lini?
Utekelezaji wake una athari gani kiusalama?
Utekelezaji wake una athari gani kisaikolojia?
Na maswali mengine yatakayojiri.
Tafadhali sana kwa mods,usiunganishe uzi huu.
Tafadhali sana wadau tusichangie kwa jazba.
cc: Pasco nguruvi Ritz
Labda na huko bungeni wanapelekwa kuwaburudisha wabunge, vinginevyo logic iko wapi? Huko Marekani tunakopenda kuiga kila kitu wanawake bungeni ni chini ya 20%, Warioba hii 50/50 alichukua mawazo ya watu gani na kwa maslahi gani kwa taifa?Wanawake wote jeshini ni viburudisho vya wakubwa yaani ni nyumba ndogo zao. Wenyewe wanaziita ration