Kumbe kila mtu anapaswa kuota kwa mipaka ya familia yake?mkuu kwani we ni nani kwenye nchi hii hadi uwaotee wakubwa badala ya familia yako?
au we ni Tumia akili yule wa kitengo nyeti anakuja na habari ni ndoto.
Kwa hiyo na hicho ulichoota Lazima kutatokea sio?mi nimejaribu kwa upeo wangu!!!halafu sijui kama nipo sahihi kiasi gani!!Kumbe kila mtu anapaswa kuota kwa mipaka ya familia yake?
Mwaka 2001 mwezi March nilikuwa Shinyanga kijijini Likonongo nikiwa na maafisa wa UNICEF na Wizara ya Afya kwenye mradi wa PHAST.
Katika mojawapo ya recap ya ahsubuhi niliwasimulia ndoto niliyoiota kuwa niliona marekani kuna moto na majengo yameporomoka. Niliandika kwenye diary maana nilistuka usingizini nikasoma Bible na Kusali maana niliona wafu wengi sana....
Miezi 6 mbele ndo ikatokea balaa la Sept 11. Nilichokiona kuhusu kuungua na kuporomoka kilikuwa sawia kabisa mkuu.
Nasema nimeota ndoto inayojirudia rudia lakini sikufanikiwa kuona sura.
Nikewaza sana kabla sijawashirikisha hapa. Inawezekana kuna mtu anaweza kutusaidia kwenye tafsiri.
Mimi siyo mtafsiri wa ndoto ujue
Kuna kimya kingi chenye kuogofya sana.. Kuna vitu havisemwi popote lakini vipo.. Kuna ndoto kama hii ziko nyingi Lakini wengi hawana uthubutu wa kuzisimulia kama wewe.. Wengine wanadhani ni kioja cha kufikirika ama kutunga lakini wakati utasemaWiki mbili sasa naota ndoto inayoshahibiana kama mara nne hivi.
Kuna mkubwa, mtu mzito. Inawezekana ni mstaafu sijui, au yupo madarakani sijui bali YEYE ajua
Hayuko salama, yupo kwenye mikono inayoshahibiana na neno salama. Hali yake kiafya sijui, usalama wake kama ni wa uhakika sijui. YEYE ajua
Nimeota ndoto kuwa analazwa kaburini. Sababu ya mkono wa mtu sijui, au kudra za Mungu sijui. YEYE ajua.
Wana JF, hii ndoto imenisumbua sana kwa sababu ni kama tupo na watu wengi tunahudhuria mazishi ya mtu. Yes mtu mume na si mwanamke.
Je, inawezekana kaburi ni gereza au ni kweli kuna umauti upo.
Inawezekana kuna jambo linakuja na linaoneshwa kwangu mimi nisiyejua kuongea sawasawa.
Shughuli nzima ni mtanzuko wa kisiasa kwa sababu kwenye msiba watu walikuwa wamevaa nguo za kisiasa.
Mshana Jr tusaidiane hapo
Ndio ndio mkuu!mauaji yanayokithiri tena kwasababu za ajabu ajabu!!maono na nabii za ajabu ajabu kama za chinolo na joshua!!nyuzi za prediction kama za Tumia akili na TumainEli na Magamba matatu!!something is loading here let's wait!!hata wewe ulikuja humu na mpasuko ndani ya kijani!!!unaweza ukatuambia ni tahadhari zipi za kuchukua ili kuokoa uhai katika kipindi hiki ambacho kina sintofahamu kibao???ulinzi wa Raia sidhani kama unatiliwa maanani kwa sasa!!!ni hayo tu Mkuu!!!utawala unapotaka kubadilika watu hufa Sana kulipa Mabadiliko yenyewe!!Mama kaenda kwenye kiwanja cha kijasusi je kaenda kuomba MSAADA!!!?ngoja tuone kwakweli!!!Kuna kimya kingi chenye kuogofya sana.. Kuna vitu havisemwi popote lakini vipo.. Kuna ndoto kama hii ziko nyingi Lakini wengi hawana uthubutu wa kuzisimulia kama wewe.. Wengine wanadhani ni kioja cha kufikirika ama kutunga lakini wakati utasema
Ndoto yako ni ndoto maono..inajirudia na inasimulika na inakumbukwa! Tuupe muda wakati. Utasema!
Naam mkuu.Kuna kimya kingi chenye kuogofya sana.. Kuna vitu havisemwi popote lakini vipo.. Kuna ndoto kama hii ziko nyingi Lakini wengi hawana uthubutu wa kuzisimulia kama wewe.. Wengine wanadhani ni kioja cha kufikirika ama kutunga lakini wakati utasema
Ndoto yako ni ndoto maono..inajirudia na inasimulika na inakumbukwa! Tuupe muda wakati. Utasema!
Umeolewa?Hayo mambo alikuwa anayaweza Daniel tu,
Duh.Natafsiri kwa maono yangu nionavyo japo sio sahihi!!Mr smile ni mstaafu pia yupo madarakani kama Magamba matatu alivosema kwenye uzi wake kuwa aneongoza nchi yupo nyumbani amekaa wakati waliopo ofisini hawajui wafanye nini hadi wamuulize!!!inawezekana kuelekea miaka miwili ya Mwendazake wenye nchi yao hawajafurahishwa namna inavoendeshwa wakaamua wafuate protocol kama walivyoifuata mwanzo kwa kuanza na Kipipa ndio akaja mwenda kuzimu!!sasa wameamua kuanza na Mr smile ili macho malegevu atakapoona nyuki watakatifu wametua kwenye ofisi yake kama unabii wa chinolo usemavyo basi macho legevu kukiacha kitu halafu wenye nchi wataamua nani akae!!!nadhani ulichoota ni kifo cha Mr smile!!!!ngoja tuone!!
Ndio tafsiri ya ndoto ndugu yangu nawe unakaribishwa!!Duh.
A. Mr SmileNatafsiri kwa maono yangu nionavyo japo sio sahihi!!Mr smile ni mstaafu pia yupo madarakani kama Magamba matatu alivosema kwenye uzi wake kuwa aneongoza nchi yupo nyumbani amekaa wakati waliopo ofisini hawajui wafanye nini hadi wamuulize!!!inawezekana kuelekea miaka miwili ya Mwendazake wenye nchi yao hawajafurahishwa namna inavoendeshwa wakaamua wafuate protocol kama walivyoifuata mwanzo kwa kuanza na Kipipa ndio akaja mwenda kuzimu!!sasa wameamua kuanza na Mr smile ili macho malegevu atakapoona nyuki watakatifu wametua kwenye ofisi yake kama unabii wa chinolo usemavyo basi macho legevu kukiacha kitu halafu wenye nchi wataamua nani akae!!!nadhani ulichoota ni kifo cha Mr smile!!!!ngoja tuone!!
Sijakuelewa mkuu I think namna ulivyoiwakilisha!Wiki mbili sasa naota ndoto inayoshahibiana kama mara nne hivi.
Kuna mkubwa, mtu mzito. Inawezekana ni mstaafu sijui, au yupo madarakani sijui bali YEYE ajua
Hayuko salama, yupo kwenye mikono inayoshahibiana na neno salama. Hali yake kiafya sijui, usalama wake kama ni wa uhakika sijui. YEYE ajua
Nimeota ndoto kuwa analazwa kaburini. Sababu ya mkono wa mtu sijui, au kudra za Mungu sijui. YEYE ajua.
Wana JF, hii ndoto imenisumbua sana kwa sababu ni kama tupo na watu wengi tunahudhuria mazishi ya mtu. Yes mtu mume na si mwanamke.
Je, inawezekana kaburi ni gereza au ni kweli kuna umauti upo.
Inawezekana kuna jambo linakuja na linaoneshwa kwangu mimi nisiyejua kuongea sawasawa.
Shughuli nzima ni mtanzuko wa kisiasa kwa sababu kwenye msiba watu walikuwa wamevaa nguo za kisiasa.
Mshana Jr tusaidiane hapo
Dah....too personal,vipi?Umeolewa?
Ni ndugai!kitambaa cheusi ndani ya Bunge la Marekani ilitokea huko na huku kwetu pia !uzi wa Tumia ajili huo!!!Naam mkuu.
Tangu nimeisimulia hapa nimepata amani kiasi fulani kwa sababu ilikuwa inanisumbua sana.
Naamini kwenye ukimya kuna subira na matumaini.
Nami najikita kwenye ukimya kwanza
A. Mr Smile
B. Mr Nchi kupigwa mnada.
Mshana Jr je inawezekana ndoto niliyoiota ndo hii?Wiki mbili sasa naota ndoto inayoshahibiana kama mara nne hivi.