Tuitafsiri hii ndoto

Tuitafsiri hii ndoto

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Wiki mbili sasa naota ndoto inayoshahibiana kama mara nne hivi.

Kuna mkubwa, mtu mzito. Inawezekana ni mstaafu sijui, au yupo madarakani sijui bali YEYE ajua

Hayuko salama, yupo kwenye mikono inayoshahibiana na neno salama. Hali yake kiafya sijui, usalama wake kama ni wa uhakika sijui. YEYE ajua

Nimeota ndoto kuwa analazwa kaburini. Sababu ya mkono wa mtu sijui, au kudra za Mungu sijui. YEYE ajua.

Wana JF, hii ndoto imenisumbua sana kwa sababu ni kama tupo na watu wengi tunahudhuria mazishi ya mtu. Yes mtu mume na si mwanamke.

Je, inawezekana kaburi ni gereza au ni kweli kuna umauti upo.

Inawezekana kuna jambo linakuja na linaoneshwa kwangu mimi nisiyejua kuongea sawasawa.

Shughuli nzima ni mtanzuko wa kisiasa kwa sababu kwenye msiba watu walikuwa wamevaa nguo za kisiasa.

Mshana Jr tusaidiane hapo
 
Natafsiri kwa maono yangu nionavyo japo sio sahihi!!Mr smile ni mstaafu pia yupo madarakani kama Magamba matatu alivosema kwenye uzi wake kuwa aneongoza nchi yupo nyumbani amekaa wakati waliopo ofisini hawajui wafanye nini hadi wamuulize!!!inawezekana kuelekea miaka miwili ya Mwendazake wenye nchi yao hawajafurahishwa namna inavoendeshwa wakaamua wafuate protocol kama walivyoifuata mwanzo kwa kuanza na Kipipa ndio akaja mwenda kuzimu!!sasa wameamua kuanza na Mr smile ili macho malegevu atakapoona nyuki watakatifu wametua kwenye ofisi yake kama unabii wa chinolo usemavyo basi macho legevu kukiacha kitu halafu wenye nchi wataamua nani akae!!!nadhani ulichoota ni kifo cha Mr smile!!!!ngoja tuone!!
 
Itakuwa Jambo jema sana pale remote itakapovunjwa na kuacha tv ijibonye yenyewe.
 
Mengine siyo ndoto ni maono.

Mengine mnayajua ila mnasema.. fumbo mfumbe mjinga
 
Natafsiri kwa maono yangu nionavyo japo sio sahihi!!Mr smile ni mstaafu pia yupo madarakani kama Magamba matatu alivosema kwenye uzi wake kuwa aneongoza nchi yupo nyumbani amekaa wakati waliopo ofisini hawajui wafanye nini hadi wamuulize!!!inawezekana kuelekea miaka miwili ya Mwendazake wenye nchi yao hawajafurahishwa namna inavoendeshwa wakaamua wafuate protocol kama walivyoifuata mwanzo kwa kuanza na Kipipa ndio akaja mwenda kuzimu!!sasa wameamua kuanza na Mr smile ili macho malegevu atakapoona nyuki watakatifu wametua kwenye ofisi yake kama unabii wa chinolo usemavyo basi macho legevu kukiacha kitu halafu wenye nchi wataamua nani akae!!!nadhani ulichoota ni kifo cha Mr smile!!!!ngoja tuone!!
Hiki ulichoandika hapa ndio ndoto yenyewe tena ya mchana baada ya kuvimbiwa ugali na mharage mixer kisamvu.

Hakuna Mbwa yeyote anaethubutu kufanya kama hayo maji taka yako uliyoandika.

Akili kubwa iko advance sana,kabla hujawaza hayo wenzio wana majibu nayo tayari.
 
Wiki mbili sasa naota ndoto inayoshahibiana kama mara nne hivi.

Kuna mkubwa, mtu mzito. Inawezekana ni mstaafu sijui, au yupo madarakani sijui bali YEYE ajua

Hayuko salama, yupo kwenye mikono inayoshahibiana na neno salama. Hali yake kiafya sijui, usalama wake kama ni wa uhakika sijui. YEYE ajua

Nimeota ndoto kuwa analazwa kaburini. Sababu ya mkono wa mtu sijui, au kudra za Mungu sijui. YEYE ajua.

Wana JF, hii ndoto imenisumbua sana kwa sababu ni kama tupo na watu wengi tunahudhuria mazishi ya mtu. Yes mtu mume na si mwanamke.

Je, inawezekana kaburi ni gereza au ni kweli kuna umauti upo.

Inawezekana kuna jambo linakuja na linaoneshwa kwangu mimi nisiyejua kuongea sawasawa.

Shughuli nzima ni mtanzuko wa kisiasa kwa sababu kwenye msiba watu walikuwa wamevaa nguo za kisiasa.

Mshana Jr tusaidiane hapo
Ngoja nitulie Msanii nitatejea
 
Natafsiri kwa maono yangu nionavyo japo sio sahihi!!Mr smile ni mstaafu pia yupo madarakani kama Magamba matatu alivosema kwenye uzi wake kuwa aneongoza nchi yupo nyumbani amekaa wakati waliopo ofisini hawajui wafanye nini hadi wamuulize!!!inawezekana kuelekea miaka miwili ya Mwendazake wenye nchi yao hawajafurahishwa namna inavoendeshwa wakaamua wafuate protocol kama walivyoifuata mwanzo kwa kuanza na Kipipa ndio akaja mwenda kuzimu!!sasa wameamua kuanza na Mr smile ili macho malegevu atakapoona nyuki watakatifu wametua kwenye ofisi yake kama unabii wa chinolo usemavyo basi macho legevu kukiacha kitu halafu wenye nchi wataamua nani akae!!!nadhani ulichoota ni kifo cha Mr smile!!!!ngoja tuone!!
aiseee hadi nimetetemeka
 
mkuu kwani we ni nani kwenye nchi hii hadi uwaotee wakubwa badala ya familia yako?

au we ni Tumia akili yule wa kitengo nyeti anakuja na habari ni ndoto.
 
Kla mtu anahaki ya kutafsiri aonavyo!mleta ndoto ameomba MSAADA wa tafsiri nasi tunatafsiri kama tunavoelewa na wewe toa yako!!lngekuwa ni Mbowe ndio tafsiri inamlenga labda ungefurahi Sana!! lakini Mbowe sio mstaafu bali yupo bado madarakani kama Mwenyekiti!!mstaafu pekee mkubwa aliebaki ni smile ndio avumaye Anaweza kuleta taharuki ya kisiasa nchini!!! Kina mpemba wa Zanzibar na Baba wa anaetawala visiwani sio gumzo kihivyo!!na wewe toa tafsiri yako!!jukwaa ni huru kwa wote!
Hiki ulichoandika hapa ndio ndoto yenyewe tena ya mchana baada ya kuvimbiwa ugali na mharage mixer kisamvu.

Hakuna Mbwa yeyote anaethubutu kufanya kama hayo maji taka yako uliyoandika.

Akili kubwa iko advance sana,kabla hujawaza hayo wenzio wana majibu nayo tayari.
Mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom