Teh teh ngoja nicheke,
Watanzania tungekuwa twaenda na ku record mambo ni hili amabalo ntawakumbusha wakati JK anafungua branch mmoja huko wilaya moja huko Mkoani Kilimanjaro na JK kwa maneno yake niliyo yasikia kupitia TBC1 taarifa ya habari ya saaa mbili kuwa CRDB na CCM ni damu damu,
Jamani kwa mtu kama JK ambae ni rais wa nchi ajue kuna wakati siasa ni siasa na wkati wa utekerezaji wa ziara za serikali iwe ni za serikali na siasa inatakiwa iwekando jamani, mjue CRDB ni bank ya wananchi(wasiokuwa na itikadi za kichama na wenye itikadi zao)sasa sielewi kanini kiongozi mkuu wa nchi anachomekea siasa hapo??ila zamani ilikuwa imeanzishwa kwa ajiri ya maendeleo vijiji sasa mwaiingiza kwa siasa this mean ni udictetor uliowazi kabisa, kwa hio si shangai kwa yaliyotokea kwenye mkutano wa NCCR.
Kumbukeni kwa nini hii inatokea kama mnakumbua kipindi cha kuanza kufichua uozo wa ufisadi CRDB ndio bank iliyo julikana kwa kufanya transaction za ajabu kutoka bank na kwena mahali with cash money na mambo mengi. leo hii sitoshangaaa mtu akiseam CRDB imeikopesha CCM mkopo wa ku run campaign kwani huku kuweka mambo hadharaini ndio chanzo chakuonekana haya. sasa sijui ni siasa au ni kuwarubuni na kuwaraghai watanzania kwa manufaa ya viongozi wachache??