Tuishi kwanza..harusi itafuata baadae!

unaweza kufunga ndoa bila harusi, inawezekana kabisa na kufanya tafrija ya kisela tu. hizi tafrija za kufa mtu binafsi sizipendi kabisa.
 
unigegede kila siku hivi hivi kisa ndoa? aah wapi.....siamii kwa mtu kamwe

Mimi nilidhani mnagegedana, l mean na wewe unafurahia mgegedo kumbe ni oneway traffic.
 
Kumbe mgefunga ndoa kabla ya kuishi wote hivyo vitabia usingevijali. Choice zote mbili zinategemea uamuzi wa walengwa na zote zaweza kuwafaa au kuwaangusha.

Kuvijali unaweza ukavijali, lkn PINGU ya maisha (si ndio wedlock) inakufanya uvivumilie.
Ila umehitimisha vyema, hakuna njia sahihi yenye assurance 100% kuwa mahusiano yatakuwa vyema.
 

^^
Asante kwa uchambuzi wako Ablessed at least now I can correct my thinking
^^
 
Last edited by a moderator:
unajua desturi ya waafrika kwenye ndoa? Kubebana ndiyo msingi wa ndoa nyingi za kiafrika, dini ndio zimefanya utaratibu uwe wa tofauti, lakini 'definition' yangu ya ndoa ni makubalino baina ya watu wawili, kuishi maisha ya kinyumba, kuwe na mashahidi au la, hizo nyingine tunaweka ni mbwembwe tu!
 
. . Binafsi nina mtazamo kuwa harusi ni 'confirmation' tu ya kuuambia umma kuwa fulani ni mume au mke wako, lakini sioni shida ya kuishi na mwanamke halafu mkiwa mnajipanga 'kuthibitisha' baadaye(kijamii lakini, though kidini ni uzinzi), wanawake wengi wanaona pengine mwanaume anaweza akabadilisha mawazo, kama ni wako ni wako tu na kama si wako hata ukilazimisha kuoana mapema hatakua wako tu. . .
 
Lara1 umenichekesha eti stress zako una share wit ya family
 
Kuvijali unaweza ukavijali, lkn PINGU ya maisha (si ndio wedlock) inakufanya uvivumilie.
Ila umehitimisha vyema, hakuna njia sahihi yenye assurance 100% kuwa mahusiano yatakuwa vyema.
Unajua kuna vitabia kama vile kukoroma mtu akilala au kusaga meno au labda uvivu wa kutandika kitanda, namna ya utumiaji wa dawa ya mswaki ie anaminya kuanzia ktkt , mbishi, anapenda kususa, anapenda sana kubembelezwa , akiongea kwa muda mrefu anaongea pumba na vingine vingi dear.Vitabia vya aina hii ndio ninavyoviita vitabia vidogo vidogo . Lkn bado naweza kusema hakuna uamuzi ambao ni 100% correct/ perfect.
 



Kama ndoa teyari harusi haina umuhimu, kama hali yake hairuhusu kufanya sherehe basi isiwe shida, cha msingi kuhalalisha kwa ndoa tu!
 
Hivyo ni vya kawaida sana, ndivyo vinatufanya tuwe tofauti. Lkn ulevi wa kupindukia, au hata upigaji hii yaweza kufichwa vizuri ktk kipindi cha uchumba mkiwa mbali mbali. Lkn ni ngumu kuficha mkikaa pamoja say 6 month au mwaka. Na hizi pamoja na uzinzi ni tabia hatarishi ambazo zinaweza mtaka mtu adai talaka. Sasa ili kuepesha hiyo IMO no bora tuishi bila vows kwanza kwa kipindi fulani na things zikiwa vizuri then we go to the altar.
Hujambo lkn?
 
Mmmh my dear kwangu mimi hizo nilizobold si vitabia vidogo, hizo ni tabia nisizoweza kuzivumilia hata kidogo nina aleji nazo mno mno tena hivi ninavyozisoma zishaanza kunidhuru lol. Mi mzima wangu vipi huko kwema
 
Mmmh my dear kwangu mimi hizo nilizobold si vitabia vidogo, hizo ni tabia nisizoweza kuzivumilia hata kidogo nina aleji nazo mno mno tena hivi ninavyozisoma zishaanza kunidhuru lol. Mi mzima wangu vipi huko kwema

Umeona eeh.
Sasa ndicho kilichonikuta mimi, for the 1st year ya mahusiano ya uchuchu nilijiona the luckiest woman in the whole world. Baada ya kumove in pamoja, a year may be two, abuse zikaanza. Imagine ningekuwa nimefunga ndoa ya kikatoliki si ningekuwa mfungwa mpaka sasa.
 
Hahahaha nakwambia ungeishi kwa matumaini dear manake kila ambae ungemuuliza ufanyeje angakujibu vumilia tu sasa huku si kuishi kwa matumaini. Jitu lilishashindikana wewe utafunga wee na kwenda kwenye mikesha kuliombea ndio kwanza laongeza speed. My dear ndio maana nikasema njia zote zina risk kwa hili ulicheza vema nakupa thumbs up. Nimeona ndoa nyingi sana zenye matatizo mpaka huwa najiuliza si bora wangefunga ya bomani halafu kanisani wangepelakana baadae. Kiukweli kwenye kumpata mr/miss right ni kazi sana kwani hakuna njia iliyonyooka. Bado pia ukisema muishi wote kiuchumba mr anaweza akawa yupo vizuri idara zote lkn kwa pressure ya ndugu mnaweza kushindwa kuoana . Kuna familia moja watu wale waliishi kiuchumba kwa muda mrefu mno na walikua wanapendana kila wakitaka kuhalalisha ndugu wanakuja juu hawamtaki mwanamke hasa wazazi.
 
huyo papuchi yangu ataisikia kwenye tv,,,

otherwise tukahalaloshe kwa paroko....

nani anataka kuliwa, kuzalishwa na kumwagwa. AKILI KUMKICHWA
 

^^
Kama huwa kuna mental match,,nadhani ktk mengi Kaunga tunalandana.
^^
 
Last edited by a moderator:
huyo papuchi yangu ataisikia kwenye tv,,,

otherwise tukahalaloshe kwa paroko....

nani anataka kuliwa, kuzalishwa na kumwagwa. AKILI KUMKICHWA

^^
neggirl
Itakuwaje kama ume-fall in love with him,,completely kiasi huwezi ishi bila yeye,,uko tayari kumpoteza akisema usubiri harusi badae?
^^
 
Last edited by a moderator:
mkuu Himidini labda unifafanulie harusi unayomaanisha hapa ni ipi??? ni sherehe ? au ni kile kiapo kanisani au msikitini. ndoa ni kanisani/msikitini au kwa wale wanaoenda wilayani hizo nyingine ni MBWEMBWE tu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…