Tuisaidie Rwanda kufuta makovu ya Genoside yao

Tuisaidie Rwanda kufuta makovu ya Genoside yao

More of in love with interahamwe.

..you guys are so predictable.

..mtu yeyote yule atakayesema kitu tofauti na maagizo toka Kigali basi ni interahamwe sympathizer.

..mtaishi kwenye UONGO na CHUKI mpaka lini?
 
..nimekwambia RDF, INTERAHAMWE, M23, ni makundi ya mauaji.

..sasa hebu nieleze what is your objection kwa wahusika wote wa mauaji ya Rwanda na Congo kupelekwa mbele ya mahakama ya kimataifa.

..hivi unaamini Kagame, Kabarebe, Nyamwasa, Nkunda, hawapaswi kujibu mashtaka kutokana na mauaji yaliyotokea Rwanda na Congo?

..wacha kutumikia wauaji. simamia ukweli. Wahutu na Wacongomani wana haki ya kuishi sawasawa na jamii nyingine.

Hapo kwenye red all the leaders were TUTSIS i.e Kagame, robert kajuga, sultani makenga, Nkundabatware.....very interesting
 
..you guys are so predictable.

..mtu yeyote yule atakayesema kitu tofauti na maagizo toka Kigali basi ni interahamwe sympathizer.

..mtaishi kwenye UONGO na CHUKI mpaka lini?

Waambie wale mbwa zako waliofanya genocide na kuwatetea humu mchana kutwa,you lost na mtakaa mstalini mtake mistake,hakuna tena story na interahamwe is either you surrender upewe haki yako au kibano mpaka kieleweke.
 
Hapo kwenye red all the leaders were TUTSIS i.e Kagame, robert kajuga, sultani makenga, Nkundabatware.....very interesting

..Interahamwe walikimbilia Congo na silaha zao!

..m23 nao wamekimbilia Rwanda wakiwa na silaha zao!

..mimi sidhani kama Kagame ni part of the solution ktk mgogoro wa maziwa makuu.

..Kagame anapowapa hifadhi m23 wakiwa na silaha zao, is that really an incentive kwa DRC kuwa-disarm FDLR??
MUKAMASIMBA, mchambawima1, nyumba kubwa, Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Waambie wale mbwa zako waliofanya genocide na kuwatetea humu mchana kutwa,you lost na mtakaa mstalini mtake mistake,hakuna tena story na interahamwe is either you surrender upewe haki yako au kibano mpaka kieleweke.

..haya na wewe wasalimie mbwa wako wakina Kagame, Nkunda, Sultani Makenga, Nyamwasa, ...

..waambie kwamba HATUDANGANYIKI. Dunia imeshajua maovu yao.
 
..Interahamwe walikimbilia Congo na silaha zao!

..m23 nao wamekimbilia Rwanda wakiwa na silaha zao!

..mimi sidhani kama Kagame ni part of the solution ktk mgogoro wa maziwa makuu.

..Kagame anapowapa hifadhi m23 wakiwa na silaha zao, is that really an incentive kwa DRC kuwa-disarm FDLR??
MUKAMASIMBA, mchambawima1, nyumba kubwa, Bulldog

hata kidogo, na ukichukulia Kabila anawafuga FDLR simply kwa sababu ya uvamizi wa M23 otherwise kama kagame angetulia, kabila ange-wadisarm FDLR mwenyewe bila shurti. Leo hii FDLR na FARDC ni marafiki kwa sababu ya M23, CNDP....
 
Hapo kwenye red all the leaders were TUTSIS i.e Kagame, robert kajuga, sultani makenga, Nkundabatware.....very interesting

Ladies and gentlemen, here comes the King of hate!!! Welcome jMali, where have you been all day long? A debate is almost over but as always you are jumping in with both feet... Anyway welcome jMali Tutsis been messing around Lol!
 
hata kidogo, na ukichukulia Kabila anawafuga FDLR simply kwa sababu ya uvamizi wa M23 otherwise kama kagame angetulia, kabila ange-wadisarm FDLR mwenyewe bila shurti. Leo hii FDLR na FARDC ni marafiki kwa sababu ya M23, CNDP....

Ohhohooo! Remember jMali there is no xcuse in this world today for collaborating with your brothers you left in the jungle of DRC, I just want to make it clear!!! Right?
 
flyingcrane,

..nakubaliana na hoja yako.

..tatizo kubwa ni kwamba kuna watu ndani ya serikali, jeshi, na ruling party in Rwanda, ambao na wao wameshiriki ktk mauaji makubwa sana nchini CONGO.

..majuzi kuliandikwa habari kwamba France wanapaswa kuwaomba radhi Rwanda kutokana na genocide ya 94, hoja ni kwamba France wali-train na ku-arm jeshi la Habyarimana.

..sasa hebu tujiulize: Rwanda nao hawastahili kuwaomba radhi DRC kwa ku-train na ku-arm makundi ya waasi ya nchi hiyo. Makundi hayo yamesababisha mauaji ya kutisha, na kutoroshwa kwa rasilimali za DRC.

..zaidi, Rwanda inazituhumu Tanzania na South Africa kwa kuhifadhi waasi wa nchi hiyo. lakini wakati huo huo Rwanda nayo inahifadhi waasi wa Congo na zaidi kuwapa hata na silaha.

..hivi kuna sababu gani ya Rwanda kuendelea kumpa hifadhi "Generali" Laurent Nkunda anayetafutwa na Congo, na mahakama ya kimataifa, kutokana na crimes against humanity alizo-commit ndani ya DRC?

cc Koborer, lawmaina78, Bukyanagandi, NasDaz, Nguruvi3, , Kimweri

Ntakubaliana na hoja yako LAKINI tuanze na muasi ambaye ni Rais Kabila kwa kuwa waliomuweka madarakani ni Rwanda.
Kwa upande wetu, tujiulize hao wa RPF na Kabila walikuwa na mapatano gani ili waanze kumsaidia? Siri wanayo wao.

Anjo
 
Hivi Bush alishapelekwa ICC kwa mauaji ya wa Iraq? Na sio kwamba hakuwaua! Wamekufa wengi na bado wanaendelea kufa. Unajua kwa nini? Kwa sababu ni casualities of war!

Sasa ile mnayosema wahutu waliwaua watusi, si vile vile akina kagame walikuwa wanapigana na sijui interahamwe sijui FDRL? si hiyo nayo ilikuwa ni war?
 
Hapo kwenye red all the leaders were TUTSIS i.e Kagame, robert kajuga, sultani makenga, Nkundabatware.....very interesting

Hamuwezi jiondoa damu za watutsi hata siku moja ........mmelaaniwa.
 
..Interahamwe walikimbilia Congo na silaha zao!

..m23 nao wamekimbilia Rwanda wakiwa na silaha zao!

..mimi sidhani kama Kagame ni part of the solution ktk mgogoro wa maziwa makuu.

..Kagame anapowapa hifadhi m23 wakiwa na silaha zao, is that really an incentive kwa DRC kuwa-disarm FDLR??
MUKAMASIMBA, mchambawima1, nyumba kubwa, Bulldog

ahahahahaa...nani alianza kumuhifadhi adui wa mwingine?? kingine huwezi linganisha maovu ya interahamwe na M23,Interahamwe walifanya mauaji ya kimbali wakati M23 walipambana na majeshi ya DRC,INTERAHAMWE,TZ,SA,MAIMAI....
 
..haya na wewe wasalimie mbwa wako wakina Kagame, Nkunda, Sultani Makenga, Nyamwasa, ...

..waambie kwamba HATUDANGANYIKI. Dunia imeshajua maovu yao.
Mbwa ziko misitu yakongo na zingine ziko marekani kutibiwa makende.
 
hata kidogo, na ukichukulia Kabila anawafuga FDLR simply kwa sababu ya uvamizi wa M23 otherwise kama kagame angetulia, kabila ange-wadisarm FDLR mwenyewe bila shurti. Leo hii FDLR na FARDC ni marafiki kwa sababu ya M23, CNDP....

Unamdanganya nini wewe JMALI! Kabila baada ya kushika madaraka maramoja aliwaalika Interahamwe katika jeshi lake...sasa wewe unategemea jamaa walienda huko kucheza ndombolo??
 
Sasa ile mnayosema wahutu waliwaua watusi, si vile vile akina kagame walikuwa wanapigana na sijui interahamwe sijui FDRL? si hiyo nayo ilikuwa ni war?

wewe bado uko usingizini....vita ilikua kigoma....watusi wakichinjwa mwanza,dodoma,mtwara,dar,moshi,arusha...nk..utaniambia hiyo ni vita??? vita ilikua mstari wambele kigoma...
 
..Interahamwe walikimbilia Congo na silaha zao!

..m23 nao wamekimbilia Rwanda wakiwa na silaha zao!

..mimi sidhani kama Kagame ni part of the solution ktk mgogoro wa maziwa makuu.

..Kagame anapowapa hifadhi m23 wakiwa na silaha zao, is that really an incentive kwa DRC kuwa-disarm FDLR??
MUKAMASIMBA, mchambawima1, nyumba kubwa, Bulldog

Hakuna asiejua kuwa PK ndo mchawi pale Rwanda. Siku wakimtoa pale Kigali watapata amani ya kudumu.
 
..hivi unajua mahusiano ya Watanzania na Waganda?

..kule Uganda wa-Tanzania/JWTZ wanaitwa wakombozi.

..sasa hebu niambie kama Rwanda na RDF mnaweza kupewa heshima hiyo na Wacongomani.

..nimeuliza swali dogo tu: Je, Kagame, Kabarebe, Nyamwasa, Nkunda, ni ICC candidate?

Naujua na ni mzuri kweli kweli kuzidi ujuwavyo wewe!!! Je unajuwani kwa nini? We bwana hasikudanganye mtu mambo yote yanatokana na uongozi, nakumbuka baada ya RPF kukomboa nchi hadimabasi ya bongo yalikuwa yameandikwa RPF, vile vile kumbuka Malecelaalivyojaribu kuwafunga wanyarwanda wa Mwanzakwa kusheherekea kifo cha adui wao Habyarima, mwalimu Nyerere(RIP) aliamuruwafunguliwe tena akampa makavu na kumuuliza je wakati wa vita ya Ugandaangesikia Idi Amini kafa angefanyeje?

Mzee Museveni ni mtu wa fadhila na tena ni mtu mwenye msimamo,huwezi kumfananisha na vigeugeu wa kicongoman, walivyowashenzi walimuuwa hadikiongozi wao mashuhuri Lumumba,
walimgeuka kwa kurubuniwa na wazungu itakujakuwa Kagame? Usiwaone kutugeuka, Kabila(RIP) na unene wake alitaka kutuuliamwanajeshi wetu jinsi alivyomkumbatia mpaka akaanguka naye chini kwa furaha yakukabiziwa nchi, kwa kifupi alichanganyikiwa baada ya kuambiwa na vijana wetuya kwamba nchi yote ipo mikononi mwao… furaha waliyokuwa nayo kipindi kilehaina kifani labda tena labda mtaweza kuifananisha na furaha yenu siku msaniiuraisi(usanii) wake utapo tia nanga…LOL!

Sasa wewe ulitaka tulazimishe fadhila? Wakati washa geukakama kawaida yao? Simpo kule DRC? Basi ngoja
ipo siku mtatuelewa…oops nimesahau wote ni wasanii labda mkija patakiongozi wa kuelekwa halafu aanze kuwapa ushauri wa maana, ndio atajuwawacongoman ni watu gani.
 
Unamdanganya nini wewe JMALI! Kabila baada ya kushika madaraka maramoja aliwaalika Interahamwe katika jeshi lake...sasa wewe unategemea jamaa walienda huko kucheza ndombolo??

interahamwe kama nani: James kabarebe? Laurent Nkunda? The entire CNDP walikuwa ni FARDC rebels, M23 as well, and all TUTSIS, hebu wewe taja any interahamwe soldier within FARDC with a rank please?
 
Back
Top Bottom