Tuisaidie Rwanda kufuta makovu ya Genoside yao

flyingcrane

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
241
Reaction score
88
Kilichotokea Rwandwa miaka ya tisini kimepita na nchi imejitambua na sasa wako mbioni kuiijenga nchi yao.

Nashangazwa sana na kati ya watu hapa Jamiiforums wanaowacheka na kuwatusi baadhi ya warwanda kama JMALI na MURUTONGORE jinsi nchi yao walivyouana miaka ya 1994 katika genoside.

Eti wanyarwanda ni wakabila, waizi na uchafu mwingi zaidi. Walipigana na sasa wanaijenga nchi yao. Watanzania wakiona uzi wowote tu jinsi Kigali ilivyosafi na nzuri wanaanza kutoa matusi ya ukabila kwa wanyarwanda ilihali Dar es salaam na miji mingine iko katika hali duni.

Kenya tunapoweka nyuzi za ufanisi wetu wataleta story nyingi za manyang'au, ukabila ndani ya Kenya na hasa post election violence ya 2007/2008.

Pia yaliyofanyika Kenya yalikwishapita na sasa tunaijenga nchi yetu kwa kasi mno.

Tanzania ni nchi jirani na ndugu ya nchi zingine hapa E. Africa mukiwa na shida katika uchaguzi wenu wa mwaka ujao nani atafika wakwanza kuwasaidia kama si Kenya.
 
flyingcrane,

..nakubaliana na hoja yako.

..tatizo kubwa ni kwamba kuna watu ndani ya serikali, jeshi, na ruling party in Rwanda, ambao na wao wameshiriki ktk mauaji makubwa sana nchini CONGO.

..majuzi kuliandikwa habari kwamba France wanapaswa kuwaomba radhi Rwanda kutokana na genocide ya 94, hoja ni kwamba France wali-train na ku-arm jeshi la Habyarimana.

..sasa hebu tujiulize: Rwanda nao hawastahili kuwaomba radhi DRC kwa ku-train na ku-arm makundi ya waasi ya nchi hiyo. Makundi hayo yamesababisha mauaji ya kutisha, na kutoroshwa kwa rasilimali za DRC.

..zaidi, Rwanda inazituhumu Tanzania na South Africa kwa kuhifadhi waasi wa nchi hiyo. lakini wakati huo huo Rwanda nayo inahifadhi waasi wa Congo na zaidi kuwapa hata na silaha.

..hivi kuna sababu gani ya Rwanda kuendelea kumpa hifadhi "Generali" Laurent Nkunda anayetafutwa na Congo, na mahakama ya kimataifa, kutokana na crimes against humanity alizo-commit ndani ya DRC?

cc Koborer, lawmaina78, Bukyanagandi, NasDaz, Nguruvi3, , Kimweri
 
Wanastahili sana. Mauji ya Rwanda yameua watu wachache ukilinganisha na mauaji ya Wanyarwanda waliyofanya kule DRC
 
Mkuu flyingcrane,

Binafsi nilikuwa shabiki mkubwa sana wa Kagame na nilikuwa na mahaba ya dhati kwa Rwanda... hata hivyo, ALWAYS, i repeat, ALWAYS, kwangu Tanzania kwanza na kitu kingine chochote baadae! Wengi wetu humu jamvini tulianza kuisema vibaya Rwanda kutokana na vibaraka wa Kagame ambao wamejaa humu JF... Bifu la Kagame na JK wao wakalitumia kumkashifu si tu Rais bali na Watanzania kwa ujumla! Wakawa wanatumia migawanyiko ya humu jamvini ya CCM against CHADEMA kwavile wanafahamu mashabiki wa CHADEMA watawaunga tu mkono as long as aliyekashifiwa ni JK au Tanzania inayoongozwa na CCM!!! Na ndio maana hadi leo, wakija hapa wafuasi wa PK na kuanza kutoa kashfa yoyote dhidi ya TZ au JK bado watapata support!!! Sie wengine tunaopiga deal zisizo na mipaka tunafahamu nini maana ya Tanzania... inapochafuliwa Tanzania au Rais wa Tanzania, unapotoka nje ya mipaka ya nchi huwezi kusema "kwanza mimi siiungi mkono serikali iliyopo...!" Kila mmoja atakushangaa na kukuona ni mtu wa ajabu! Watakushangaa si kwa sababu huko kwao kila mmoja anaiunga mkono serikali yake bali hilo suala linaishia huko huko!

Binafsi, siwezi ku-entertain mtu wa nje aiseme vibaya Tanzania au kiongozi yeyote yule... awe wa serikali, CCM, CHADEMA, CUF or whoever coz' I believe we're strong enough to handle our own problems na hivyo sihitaji ku-side na foreigner yeyote kwavile tu anayemkashifu ni hasimu wangu!!! Hivyo basi, baada ya hawa watu ambao awali tulidhani ni ndugu zetu kuanza kumwaga kashifa kwetu ndipo wengine nasi tukaanza kujibu mashambulizi dhidi yao!! Hivi hujiulizi... mbona Burundi kuna Watutsi lakini watu humu hatuwasemi vibaya Burundi? Why Rwanda? Sitaki kuamini kwamba nawe unaamini eti tunaionea kijicho Rwanda wakati hakuna hicho cha kuionea kijicho... ikiwa tumeshindwa kuionea kijicho Kenya, ikiwa tumeshindwa kuionea kijicho Uganda na mafuta yake, why Rwanda?? What's so special in Rwanda?

So, unless they stop messing with us otherwise... sie tusio na ushabiki wa kivyama tutaendelea kupigania heshima ya Tanzania bila kujali ni chama gani kipo madarakani!!! Let CHADEMA, CUF. NCCR, na wengine wote waseme mabaya yote ya Tanzania na viongozi wake lakini sio aje mkimbizi aanze kukashifu wakati amesoma kwenye shule na vyuo ambavyo ni jasho la hao anaowakashifu!
 
Angalia bendera, do u see any red colour? Haitakaa itokee vurugu yoyote hapa si kwenye uchaguzi si udini si ukabila, hakuna kitu kama icho kitatokea.

Huwezi demand watu waseme nini, watu wanatoa maoni yao hapa, hii ni forum. Kama unaumizwa na maoni, log out.
 
Kilichotokea Rwandwa miaka ya tisini kimepita na nchi imejitambua na sasa wako mbioni kuiijenga nchi yao. Nashangazwa sana na kati ya watu hapa jf wanaowacheka na kuwatusi baadhi ya warwanda kama JMALI na MURUTONGORE jinsi nchi yao walivyouana miaka ya 1994 katika genoside..eti warwanda ni wakabila, waizi na uchafu mwingi zaidi. walipigana na sasa wanaijenga nchi yao. Watanzania wakiona uzi wowote tu jinsi kigali ilivyosafi na nzuri wanaanza kutoa matusi ya ukabila kwa wanyarwanda ilihali Dar-salam na miji mingine iko katika hali duni.
Kenya tunapoweka nyuzi za ufanisi wetu wataleta story nyingi za manyang'au, ukabila ndani ya Kenya na hasa post election violence ya 2007/2008.. pia yaliyofanyika kenya yalikwishapita na sasa tunaijenga nchi yetu kwa kasi mno.. Tanzania ni nchi jirani na ndugu ya nchi zingine hapa E. Africa mukiwa na shida katika uchaguzi wenu wa mwaka ujao nani atafika wakwanza kuwasaidia kama si kenya.

1. Mbona kenya ilivunja uhusiano na Rwanda in the 90s na kumtimua balozi baada ya kubaini maafisa wa Rwanda wanafanya ugaidi wao on kenyan soil? I doubt kama wewe ni mkenya kweli. vinginevyo sijui kwa nini kati ya RWanda na TZ uone wa-TZ ni wabaya wakati historia ya Rwanda on diplomatic relations with "your" country unaijua, na historia ya amani ya TZ na majirani zake unaifahamu.
Kile kile kilichosababisha uhusiano uvunjike tayari kimeshatokea wiki hii! Ila kwa vile Uhuru na Kagame wanapeana tafu kuhusu ICC lets see kama Uhuru ata-react vipi.

2. Genocide hayakuwa mauaji pekee kutokea Rwanda, kagame ameua wahutu for 4 years toka 1990 mpaka 1994, na akaendelea kuwaua mpaka wakimbizi nchini DRC, na kuendelea kuwawinda wanyarwanda wapinzani wote nchi za nje, the latest ni kidnap ya his former bodyguard in Nairobi THIS WEEK! Focus yako kwa nini iwe "makovu ya genocide" alone? Rwanda inatakiwa kusaidiwa kupata lasting peace kwa ku-acknowledge mauaji ya kagame as well as yale ya interahamwe. Interahamwe wameshahukumiwa by ICTR, Gacaca etc, wakati Kagame mafaili yake ICTR/UN imeyakalia kwa shinikizo la Marekani!
 
Hapa nilijua hutachelewa, kwanza tayari umeanza kumshuku flyingcrane kama vile umezoea kutuita wengine wote Watutsi kwa ajili ya kutokufagilia kila unacho andika cha kuwafanya Warwanda wachukiane na kuuwana tena. Wacha nimuite mbabe wako mchambawima1 akuweke sawa maana utazingua sana huku.
 
Last edited by a moderator:

Nadhani huo msaada ni unwarranted! Utawasaidiaje wakati Mfalme Paulo Kagame yuko busy kuanzisha genocide 2; its a waste of time and resources kwa sababu machafuko kwa PK ni mtaji wa kisiasa! No wonder wakati wote anatafuta kuanzisha fujo all around his tiny country, mara DRC,mara amchokonoe JK, ili mradi ni kajitu ka fujofujo tu!
 
of course, kama hajui historia ya kenya vs Rwanda wakati wa moi then he must be suspected to be another dubious kenyan. Na kama ukirudia kusoma vizuri utaona this "kenyan" calls me Rwandese, na amejoin october 2014! We all know nani ana tabia ya kupachika wengine unyarwanda pale unapowapinga don't we?
 
hivi ile 2007 POV makovu yake mlishayafuta? vipi wahanga wa vita ya ukabila ya 1992?-ambayo mpaka leo watu wanalia kutotendewa haki na rerikali ya kenya........ ya kwenu yamewashinda ya Kagame mtayaweza acha unafiki na ujinga. Huwezi kujifanya unaweza kujenga kwa jirani wakati kwako huwezi.
 
Bado waongelea 2007 PEV ya Kenya...usishangae ukajipata kakuma kambi ya wakimbizi huku kenya unakokuita kwa majambazi.. u think TZ is heaven u little red devil na Jk anaandikisha wafu kama wapiga kura, munahonga na kuhongana...chunga sana sababu wanasiasa ndio huingiza nchi kwa fujo. wewe utakuwa tu kama kifaranga usiyejua yalianza vipi na yataishia vipi..cheka lakini ukishapatikana utabaki tu ukihara na kumlalamikia JK
 
of course, kama hajui historia ya kenya vs Rwanda wakati wa moi then he must be suspected to be another dubious kenyan. Na kama ukirudia kusoma vizuri utaona this "kenyan" calls me Rwandese, na amejoin october 2014! We all know nani ana tabia ya kupachika wengine unyarwanda pale unapowapinga don't we?

Nchi hukosana na kupatana, haimanishi kama Rwanda na Kenya zilikosana kipindi kile basi tudumishe chuki ilhali walipatana tena, eti kila Mkenya sasa aichukie Rwanda na Warwanda. Jifunze kupunguza chuki na utaishi maisha marefu. Utabaki kumuita kila mtu kuwa Mtutsi eti kwa ajili amekataa kuungana na chuki zako.

Na kwa yeyote kukudhania wewe kuwa mabaki ya inteharamwe ni kwa vile unavyodhihirisha, kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku upo huku jamvini unarusha kila kitu unachoweza okota dhidi ya Warwanda, hizo sio juhudi za kawaida, aisei kaka una nguvu sana wewe na hata kama umefadhiliwa, basi lazima jamaa wamefurahishwa na kazi yako. Watanzania wengi walianza kufuatana na wewe lakini naona siku hizi wamechoka, wanasoma posts zako kimya kimya tu maana lazima mtu awe mhadhirika wa kiaina ndio akimbizane na hizo nguvu zako.
 
Mkuu flyingcrane,

Binafsi nilikuwa shabiki mkubwa sana wa Kagame na nilikuwa na mahaba ya dhati kwa Rwanda... hata hivyo, ALWAYS, i repeat, ALWAYS, kwangu Tanzania kwanza na kitu kingine chochote baadae! Wengi wetu humu jamvini tulianza kuisema vibaya Rwanda kutokana na vibaraka wa Kagame ambao wamejaa humu JF... Bifu la Kagame na JK wao wakalitumia kumkashifu si tu Rais bali na Watanzania kwa ujumla! Wakawa wanatumia migawanyiko ya humu jamvini ya CCM against CHADEMA kwavile wanafahamu mashabiki wa CHADEMA watawaunga tu mkono as long as aliyekashifiwa ni JK au Tanzania inayoongozwa na CCM!!! Na ndio maana hadi leo, wakija hapa wafuasi wa PK na kuanza kutoa kashfa yoyote dhidi ya TZ au JK bado watapata support!!! Sie wengine tunaopiga deal zisizo na mipaka tunafahamu nini maana ya Tanzania... inapochafuliwa Tanzania au Rais wa Tanzania, unapotoka nje ya mipaka ya nchi huwezi kusema "kwanza mimi siiungi mkono serikali iliyopo...!" Kila mmoja atakushangaa na kukuona ni mtu wa ajabu! Watakushangaa si kwa sababu huko kwao kila mmoja anaiunga mkono serikali yake bali hilo suala linaishia huko huko!

Binafsi, siwezi ku-entertain mtu wa nje aiseme vibaya Tanzania au kiongozi yeyote yule... awe wa serikali, CCM, CHADEMA, CUF or whoever coz' I believe we're strong enough to handle our own problems na hivyo sihitaji ku-side na foreigner yeyote kwavile tu anayemkashifu ni hasimu wangu!!! Hivyo basi, baada ya hawa watu ambao awali tulidhani ni ndugu zetu kuanza kumwaga kashifa kwetu ndipo wengine nasi tukaanza kujibu mashambulizi dhidi yao!! Hivi hujiulizi... mbona Burundi kuna Watutsi lakini watu humu hatuwasemi vibaya Burundi? Why Rwanda? Sitaki kuamini kwamba nawe unaamini eti tunaionea kijicho Rwanda wakati hakuna hicho cha kuionea kijicho... ikiwa tumeshindwa kuionea kijicho Kenya, ikiwa tumeshindwa kuionea kijicho Uganda na mafuta yake, why Rwanda?? What's so special in Rwanda?

So, unless they stop messing with us otherwise... sie tusio na ushabiki wa kivyama tutaendelea kupigania heshima ya Tanzania bila kujali ni chama gani kipo madarakani!!! Let CHADEMA, CUF. NCCR, na wengine wote waseme mabaya yote ya Tanzania na viongozi wake lakini sio aje mkimbizi aanze kukashifu wakati amesoma kwenye shule na vyuo ambavyo ni jasho la hao anaowakashifu!

Contradicting yourself. Sasa nakushauri ufanye editing moja tu halafu usome tena hii comment yako baadae nikirudi tuzungumze. Editing ni hii; badala ya neno Tanzania weka Rwanda halafu usome tena vizuri. Will get back to you.
 
1. Mbona kenya ilivunja uhusiano na Rwanda in the 90s na kumtimua balozi baada ya kubaini maafisa wa Rwanda wanafanya ugaidi wao on kenyan soil? I doubt kama wewe ni mkenya kweli. vinginevyo sijui kwa nini kati ya RWanda na TZ uone wa-TZ ni wabaya wakati historia ya Rwanda on diplomatic relations with "your" country unaijua, na historia ya amani ya TZ na majirani zake unaifahamu.
Kile kile kilichosababisha uhusiano uvunjike tayari kimeshatokea wiki hii! Ila kwa vile Uhuru na Kagame wanapeana tafu kuhusu ICC lets see kama Uhuru ata-react vipi.

2. Genocide hayakuwa mauaji pekee kutokea Rwanda, kagame ameua wahutu for 4 years toka 1990 mpaka 1994, na akaendelea kuwaua mpaka wakimbizi nchini DRC, na kuendelea kuwawinda wanyarwanda wapinzani wote nchi za nje, the latest ni kidnap ya his former bodyguard in Nairobi THIS WEEK! Focus yako kwa nini iwe "makovu ya genocide" alone? Rwanda inatakiwa kusaidiwa kupata lasting peace kwa ku-acknowledge mauaji ya kagame as well as yale ya interahamwe. Interahamwe wameshahukumiwa by ICTR, Gacaca etc, wakati Kagame mafaili yake ICTR/UN imeyakalia kwa shinikizo la Marekani!

He is a kenyan just like you are a tanzanian. LOL
 
Nakuuliza tena...Kagame must be one powerful president wa ka nchi "kadogo" ambae ana uwezo wa kumuamurisha Obama "akalie mafaili" hewa ya Rwanda. Demented fellow.
 
Mkuu flyingcrane,

Binafsi nilikuwa shabiki mkubwa sana wa Kagame na nilikuwa na mahaba ya dhati kwa Rwanda... hata hivyo, ALWAYS, i repeat, ALWAYS, kwangu Tanzania kwanza na kitu kingine chochote baadae! Wengi wetu humu jamvini tulianza kuisema vibaya Rwanda kutokana na vibaraka wa Kagame ambao wamejaa humu JF... Bifu la Kagame na JK wao wakalitumia kumkashifu si tu Rais bali na Watanzania kwa ujumla! Wakawa wanatumia migawanyiko ya humu jamvini ya CCM against CHADEMA kwavile wanafahamu mashabiki wa CHADEMA watawaunga tu mkono as long as aliyekashifiwa ni JK au Tanzania inayoongozwa na CCM!!! Na ndio maana hadi leo, wakija hapa wafuasi wa PK na kuanza kutoa kashfa yoyote dhidi ya TZ au JK bado watapata support!!! Sie wengine tunaopiga deal zisizo na mipaka tunafahamu nini maana ya Tanzania... inapochafuliwa Tanzania au Rais wa Tanzania, unapotoka nje ya mipaka ya nchi huwezi kusema "kwanza mimi siiungi mkono serikali iliyopo...!" Kila mmoja atakushangaa na kukuona ni mtu wa ajabu! Watakushangaa si kwa sababu huko kwao kila mmoja anaiunga mkono serikali yake bali hilo suala linaishia huko huko!

Binafsi, siwezi ku-entertain mtu wa nje aiseme vibaya Tanzania au kiongozi yeyote yule... awe wa serikali, CCM, CHADEMA, CUF or whoever coz' I believe we're strong enough to handle our own problems na hivyo sihitaji ku-side na foreigner yeyote kwavile tu anayemkashifu ni hasimu wangu!!! Hivyo basi, baada ya hawa watu ambao awali tulidhani ni ndugu zetu kuanza kumwaga kashifa kwetu ndipo wengine nasi tukaanza kujibu mashambulizi dhidi yao!! Hivi hujiulizi... mbona Burundi kuna Watutsi lakini watu humu hatuwasemi vibaya Burundi? Why Rwanda? Sitaki kuamini kwamba nawe unaamini eti tunaionea kijicho Rwanda wakati hakuna hicho cha kuionea kijicho... ikiwa tumeshindwa kuionea kijicho Kenya, ikiwa tumeshindwa kuionea kijicho Uganda na mafuta yake, why Rwanda?? What's so special in Rwanda?

So, unless they stop messing with us otherwise... sie tusio na ushabiki wa kivyama tutaendelea kupigania heshima ya Tanzania bila kujali ni chama gani kipo madarakani!!! Let CHADEMA, CUF. NCCR, na wengine wote waseme mabaya yote ya Tanzania na viongozi wake lakini sio aje mkimbizi aanze kukashifu wakati amesoma kwenye shule na vyuo ambavyo ni jasho la hao anaowakashifu!
Yaani wewe umeandika mawazo kama vile ulikuwa unaniandikia. You are perfectly reflecting my thinking.
 
Bado waongelea 2007 PEV ya Kenya...usishangae ukajipata kakuma kambi ya wakimbizi huku kenya unakokuita kwa majambazi.. u think TZ is heaven u little red devil na Jk anaandikisha wafu kama wapiga kura, munahonga na kuhongana...chunga sana sababu wanasiasa ndio huingiza nchi kwa fujo. wewe utakuwa tu kama kifaranga usiyejua yalianza vipi na yataishia vipi..cheka lakini ukishapatikana utabaki tu ukihara na kumlalamikia JK

Hapa TZ na JK inaingiaje!?, wewe unschuki na TZ. Mimi nilidhani anayekujibu si mu TZ!!
 
Kwanza Victoire aachiwe na wote walofungwa kwa hila,mbili wafanye uchaguzi huru na wa haki mwisho Kagame afikishwe mahakamani kwa kwa kusababisha mauaji ya kimbali hakika kwa kufanya hivo makovu fasta yataisha
 
Nadhani huo msaada ni unwarranted! Utawasaidiaje wakati Mfalme Paulo Kagame yuko busy kuanzisha genocide 2; its a waste of time and resources kwa sababu machafuko kwa PK ni mtaji wa kisiasa! No wonder wakati wote anatafuta kuanzisha fujo all around his tiny country, mara DRC,mara amchokonoe JK, ili mradi ni kajitu ka fujofujo tu!

PaKa ni kamtu Kakorofi korofi sana kwenye bloc.....
 
Back
Top Bottom