Tuiombee China lasivyo uchumi wetu utayumba

Tuiombee China lasivyo uchumi wetu utayumba

Waisrael washawaombea Yatosha... Nyie wenye Dhambi tulieni mshapata Wokovu.

Rabbis call for mass Western Wall prayer for coronavirus patients
‘The job of the Jewish people is to pray for the good of the entire world,’ says Safed chief rabbi, as overall death toll from China’s epidemic jumps to 1,665
By TOI STAFF and AGENCIES16 February 2020, 12:52 pm 4
Tens of thousands pray for forgivness (Selichot), at the Western Wall in the Old City of Jerusalem on early on September 27, 2019. (Mendy Hechtman/Flash90)
Tens of thousands pray for forgivness (Selichot), at the Western Wall in the Old City of Jerusalem on early on September 27, 2019. (Mendy Hechtman/Flash90)
Prominent national-religious rabbi Shmuel Eliyahu has called for Israelis to join him at the Western Wall on Sunday afternoon for a mass prayer rally on behalf of those infected with the coronavirus.
Eliyahu, the head of the Community Rabbinical Association and chief rabbi of Safed, is organizing the gathering together with the Israeli branch of the Orthodox Union, an American Modern Orthodox synagogue network.
Duuuu [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atariii Sana haisee [emoji1786][emoji1786]
Utayumba wapi wakat serekal yetu yenyewe pesa kwanza afya ZETU baadae mana nasikia Kuna wachina wapo wanakuja tz et kutalii wachina Zaid ya Mia 30 na tanzania itaingiza 2bilion sijui hivi jaman urus imeziwia wachina wasiingie kwao kuanzia kesho sis ni Nan ambao hatuna hofu na gonjwa hili hiv viongozi wetu wanafikiria hili kwel ivi korona ikija tz unafikir Kuna atakae bakia hata mmoja mungu wafungue macho viongozi wetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini tusijiombee sisi wenyewe? Hatari ya Korona VVTi inaenea kwa kasi duniani kote, Afrika tayari kushaanza kuwaka moto, tuombe isiwe kweli
kwa mujibu wa millard ayo [emoji116]

Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona China imeongezeka na kufikia Watu 2004, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa, walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 74,185 hii ni kwa China pekee, wagonjwa 11,977 wako mahututi, wagonjwa waliotibiwa Hospitali na kuruhusiwa wameongezeka na kufikia 14,376
#MillardAyoUPDATES

Habari zilizothibitishwa pia ni kuwa biashara nyingi na viwanda vingi vimefungwa nchini china, uzalishaji wa bidhaa nyingi umesimama kwa ajili ya kuzuia kuenea kwa huu ugonjwa, china imeanza kuanguka kiuchumi kwa mujibu wa ripoti zao wao wenyewe

Bidhaa nyingi Tanzania na wafanya biashara wengi wa Tanzania wanategemea soko la china kununua bidhaa zao sababu ni bei nafuu, china ikiendelea kuathirika tutegemee hata hapa nchini biashara nyingi zinaweza kuathirika au kufa sababu ya kukosa bidhaa zinazotoka china



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kabisa China ianguke kabisa kiuchumi..
China ndiye muuaji mkubwa wa democracy Africa, ndiye mfadhiri mkuu marais wa dizaini ya akina mabotu wa Tanzania.
Bila China TL asingelipigwa Risali za kuuliza tembo.

*Fake you Chine*... MAMAEEEEEEE

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kubwabwaja kote huko unaweza kuta unatumia simu kutoka china,tv ya china,kiatu china,chupi china hadi sindano na toothpick ni chinese.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom