Tuijadili PCCB: Kwanini tuendelee kuwa nayo?

Rufiji PCCB bureau chief Sada Mziba was bribed 40 Million / by farm input agent one John Samson Tweve so that his fraudulent acts against local and goverment during the distribution of farms input to the three villages of Mbunju ,mvuleni ,Ruwe and Mkongo is not Prosecuted .Commander sada received 40 Million in two installment she received the first installment on the 23/12/2011 totaling to Tshs 25 at Mbezi Kimara and the second installment she received on 14/2/2012 in a hotel in Dodoma
Source The African
This is known by any Tanzanian!
How come this organ, with all the cases that are currently under their observation, none has already been completed!
I cant figure out how the President continues trusting this rotten dog!
 
Baada ya kuona dg wao anabugia rushwa wao nao wameanza kudokoa kidogo kidogo eehh. Waache wale kwani sirikali imefumbia macho hiyo taasisi kwa manufaa fulani.
 
'Uongozi wetu na hatima ya Tanzania'
kwa 'hali' ya uongozi wa sasa, wacha wale tu hawa jamaa.
Ikulu imeshindwa kuongoza nchi, hawawezi kukemea lolote kwani wao ndo vinara wa uchafu na uozo wote.
Lakini Mungu yupo.
 
hivi kuna watu wanakula rushwa kama PCCB?

wafuatilieni mali walizonazo hasa nyumba,magari na vitega uchumi vingine haviendani kabisa na mishahara yao.zaidi zaidi ni wale walioko mikoa ya pembezoni wao na TRA lao moja,wao ndio waharibifu na wafujaji wakubwa,Nadhani tangu ianzishwe kama wakifanya tahmini halisia hakuna cha maana walichofanya.Mmeshuhudia wenyewe hata mkuu wao alijengewa nyumba akawa na sauti ya kuwasafisha waliohusika ktk sakata la rada,yapo mengi tu kiukweli PCCB ni kiini macho kutwa kucha wakikamata mahakimu,watendaji wadowadogo na watu wadogo wadogo wakiwaacha mapapa kwani mapapa wanagawana nao. labda PCCB iwajibike kwa bunge kiutawala na kiutendaji.
 
Wadau;
Poleni kwa pilika za mchana kutwa ! Leo nimepata wazo la kumwandikia Mwakilishi wa Jimbo letu apeleke hoja binafsi Bungeni ya kutaka hizo tajwa mbili yaani Idara ya CAG na PCCB zivunjwe maana zinakula tu kodi zetu kwa kuziendesha na tija yake kutoonekana,hata kama Tija inakuwa ipo bado hawana meno ya kuwapeleka washukiwa Mahakamani wao wenyewe Indepently hawana meno ( toothless barking dog !) CAG amekuwa akiibua UOZO wa kutosha tu na PCCB kuwataka kuwafungulia washukiwa mashataka lakini wanaingiliwa utendaji wao na Ikulu ya Magogoni ambayo inafahamu hizo taasisi tajwa hapo juu hawana uwezo wowote wa kupiga hatua moja mbele bila kibali chao !
Nawasilisha kwa maoni zaidi kabla ya kuwasiliana na muwakilishi wangu pale Dodoma !
 
Mbunge Richarlo Ndasa,amevifananisha hasa chombo cha PCCB KAMA vinyago vya majaruba ya mpunga ambavyo vinasubiri bunge liwashtue ndio nao wafanye kazi.
Akaenda mbali na kuwalaumu USALAMA WA TAIFA wamelala.
 
fagio la chuma lazima lipitishwe kwanza takukuru, pili liwamalize kabisa usalama wa taifa....usalama wa taifa haupo kabisa hapa tz kwa sasa.
 
Kweli wewe mbongo unaonekana huna taarifa za kutosha, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa ACB (Malawi) kwa taarifa yako alifukuzwa kazi kwa kimbelembele chake cha kufuatilia wakubwa...huu ulioweka humu ni uzushi uliokwisha pitwa na wakati kwani Rais wa sasa alishasimamisha Muluzi kuendelea kufuatiliwa kwa namna yoyote ile wewe upo karne gani???
Vita vya rushwa sio majungu mbongo mwenzangu...Muluzi sasa hivi yupo huru wewe huku hulali kufuatilia TAKUKURU wamelaleje...sidhani kama hii staili yako itakusaidia lolote lile, nadhani mimi na wewe tuwasaidie TAKUKURU waweze kufanya kazi zao kwa kutoa maoni kwenye katiba mpya ili sheria yao iwe kali zaidi ya sasa...tatizo letu sisi wananchi tunadhani mambo yanafanyika "over night" bila kuelewa mtuhumiwa naye anazo haki zake...!!!
Tuache majungu bali turudi nyuma na kuisadia TAKUKURU ipambane na rushwa zaidi ya inavyofanya sasa...mwenzio Muluzi unayemsifia mwanae ameshapewa u-Waziri nchini mwake anakula kuku kwa mrija sasa sijui wewe pimbi unakotoa taarifa hizi ni nchi gani???
 
Jitahidi pia kuwa na tabia ya kusoma sheria na kuilewa kwanza kabla ya kuleta mineno yako humu maana "Ignorance of the Law has no defence" wewe kalaghabahoooo...!!!
 
PCCB na DPP wanakanganyana sana; one needs to be merged into the other, vinginevyo kuviacha kama vilivyo vinatoa hisia kwamba hata masuala la ufisadi/rushwa nayo yanahitaji 'checks and balance'
 
Tatizo lenu ninyi nyote mmesoma ungwini kwenye vyuo vyenu vya uchochoroni...hamjui rule of Law hata kidogo...haiwezekani umepeleke mtuhumiwa Mahakamani bila kuwa na credible evidence to prove beyond resonable doubt...miwazo yenu mnafikiri kesi yoyote hata kama imetamkwa na punguani lazima ifikishwe mahakamani hapana jamani, ni lazima uchunguzi wa kina ufanyike kukusanya ushahidi ili wakituletea watoa haki mahakamani tuhukumu kisheria na sio kama msemavyo wabongo...acheni majungu na kuwapotosha wananchi, na kama hoja mmeishiwa bora mkalime viazi kuliko kutuletea mawazo mufilisi humu JF...!!!!????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom