Tuijadili hii kauli juu ya wanawake

Tuijadili hii kauli juu ya wanawake

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Leo nimekutana na daladala limeandikwa hivi "wenye wake wapeni pongezi" mwisho wa kunukuu. Nikajiuliza kulikoni? ama kupata mwanamke ni kazi nzito inayostahili pongezi ama wanawake ni mzigo mzito na wenye uwezo wa kuubeba wapewe pongezi. Karibuni wana MMU.
 
Ni mzigo mzito ukiona mtu anakaa na mke wake tena kwa muda mrefu anavumilia mengi sana ndio maana waliooa wanastahili pongezi. Hizi people bwana usipokuwa mvumilivu unaweza kuchizika ati.
 
kuna picha moja inaonesha lijitabu likubwa how to understand a woman. Lile lijitabu huwezi limaliza.
 
mI NIMESEMA WANAWAKE SI WOTE BAADHI NI MATATIZO WATU OOOO MWOGA UTAKUFA MASKINI OOO NA MATUSI KEDEKEDE AFADHALI NA WE UMEONA YAKO MENGI YAMEANDIKWA MAMAFACEBOOK MISS CHAGA SWEET NJO UWAELIMISHE HAWA WATOTO WA KIKE BAADHI WAJIFUNZE TOKA KWENU
 
Mi bana lile lijitabu nilijaribu kulisoma wakati mmoja nikafika page ya 1 na 1/2 tu nikasarenda. Kwa sababu hata yaliyomo hayatakushawishi uendelee...

Kama ni mtihani tushajifelia!
 
Ni mzigo mzito ukiona mtu anakaa na mke wake tena kwa muda mrefu anavumilia mengi sana ndio maana waliooa wanastahili pongezi. Hizi people bwana usipokuwa mvumilivu unaweza kuchizika ati.

Hivi kumbe wanaume ni wavumilivu eeh??
 
Mwanaume utakula kwa jasho lako, na mwanamke utazaa kwa uchungu................mmmmmmmmnh, A woman can be a real bitch and a real sweetheart for you but all in all it depend on how you treat her
 
Hapo ni PONGEZI ya kuoa....Wameondokana na maisha ya UZINZI na Ukapera....Ndio maana ukioa pale katika sherehe baba na mama wanakuwa wanafurahi na kupewa pongezi na wewe bwana harusi kupewa pongezi..

KUOA heshima.....Unatafsiriwa kuwa mambo ya kihuni umeachana nayo

Leo nimekutana na daladala limeandikwa hivi "wenye wake wapeni pongezi" mwisho wa kunukuu. Nikajiuliza kulikoni? ama kupata mwanamke ni kazi nzito inayostahili pongezi ama wanawake ni mzigo mzito na wenye uwezo wa kuubeba wapewe pongezi. Karibuni wana MMU.
 
Mwanaume utakula kwa jasho lako, na mwanamke utazaa kwa uchungu................mmmmmmmmnh, A woman can be a real bitch and a real sweetheart for you but all in all it depend on how you treat her

hapo mwisho sijaelewa mpenzi.... all in al hongereni wenye wake zenu
 
hiyo kauli ina maana pana sana...coz sio wote waliooa wanao wake...

wengine hao wake zao ni kama tanuru la moto lina wawakia..

wapo waliooa kibao kikawageukia wakiwa ndani ya ndoa..

wengine walioa kwa kuchaguliwa mke..

wengine walioa kujiSHOW up au kama fashen tu..
(mfano anaoa kwa kuangalia gud luk ya nje bila kutathmini mengineyo)

wengine walioa kwa kuingizwa kingi kwa namna mabalimbali..(kurogwa n.k)

*****to mention few******

Therefore WENYE WAKE NA WANAOFEEL GOOD KUWA NAO, WAPEWE PONGEZI
 
mI NIMESEMA WANAWAKE SI WOTE BAADHI NI MATATIZO WATU OOOO MWOGA UTAKUFA MASKINI OOO NA MATUSI KEDEKEDE AFADHALI NA WE UMEONA YAKO MENGI YAMEANDIKWA MAMAFACEBOOK MISS CHAGA SWEET NJO UWAELIMISHE HAWA WATOTO WA KIKE BAADHI WAJIFUNZE TOKA KWENU

kama sijaelewa
 
Back
Top Bottom