Tuijadili hii kauli juu ya wanawake

Tuijadili hii kauli juu ya wanawake

kuna picha moja inaonesha lijitabu likubwa how to understand a woman. Lile lijitabu huwezi limaliza.

Utaanzia wapi umalize hawa watu hajulikani hulka zao unaweza muona yupo kawaida kumbe anamikakati yake tofauti.
 
mI NIMESEMA WANAWAKE SI WOTE BAADHI NI MATATIZO WATU OOOO MWOGA UTAKUFA MASKINI OOO NA MATUSI KEDEKEDE AFADHALI NA WE UMEONA YAKO MENGI YAMEANDIKWA MAMAFACEBOOK MISS CHAGA SWEET NJO UWAELIMISHE HAWA WATOTO WA KIKE BAADHI WAJIFUNZE TOKA KWENU

Aaah....na mamaa sura kitabu nae aje awaelimishe wenzie kweli jaman, maana hata hapo napo ni zigo la misumari
 
Hisia zako zinaweza kuwa na ukweli fulani kwasababu zifuatazo;

Kwa mtu ambae anajitambua ni kazi sana kupata mke kwenye dunia ya sasa kwasababu mke ambae atamhitaji na ambae atafaa kuitwa mama

Lakini pia kuishi na binadamu tu ni kazi achilia ambali huyo binadamu ni mwanamke au laa,lakini pia kuitunza familia kunahitaji hekima na uvumilivu mkubwa sana na ndio maana hata kiongozi hupendekezwa ambae ameoa!

Wanawake huwa sio BINADAMU, wanawake ni WATU
 
hata wanawake tunavumilia mengi kulea mwanaume kama mtoto unadhani si masihara ni wito na uvumilivu
 
Mh! Hivi mbona wanawake (walio wengi) wakiingia kwenye ndoa wanawapenda waume zao, na wanawavumilia kwa mengi! Lakini inakua tofauti kwa wanaume, kosa dogo linakuzwa, mnaona kama mwanamke ni kero, mwanamke asikosee akauliza uko wapi? Atafokewa na kuchukiwa juu! Kwani tatizo ninini?!
Tatizo ni kuwa baadhi ya wanaume wanadhani they did u a favor kukuoa maana supposedly huko nje huko kuna mabinti kibao wanamfuata. So wewe huku ndani inabidi uwe jembe lake na zaidi, utifue umfanyie kila kitu akirudi kazini apate kupumzika baba mwenye nyumba na ikibidi um worship maana una bahati sana kuolewa na mtu kama yeye! Ndoa ya hivi ni utumwa ndugu yangu, utumwaaaa!
 
Mh! Hivi mbona wanawake (walio wengi) wakiingia kwenye ndoa wanawapenda waume zao, na wanawavumilia kwa mengi! Lakini inakua tofauti kwa wanaume, kosa dogo linakuzwa, mnaona kama mwanamke ni kero, mwanamke asikosee akauliza uko wapi? Atafokewa na kuchukiwa juu! Kwani tatizo ninini?!

tatizo wanawake mna kero nyingi.
 
Kila jema analofanya mwanamke kwa mwanaume ni kero! Basi ni kutokujiamini kwa wanaume, mnaona km nyinyi ni vichwa vya Nyumba basi kuulizwa chochote ni kushushwa wakati si kweli kwasababu hakuna alokamilika!!!
 
Ingekuwa mzgo angepewa pole...ila hiyo ni hongera....pia la msingi ni kuishi na mtu ni kazi sana haijarishi mwanamke au mwanaume,na hakuna aliyewalazimisha kuoa kama mnaona mzigo nyinyi achen ila wanaoona sio mzigo wanajiolea tu na maisha yanakwenda
 
hizo zote ni assumptions tu kwani huwezi jua alichomaanisha...yes we can try to guess but opinions are not fact..
 
alikuwa naye lakini uliona moto wake.

Nimekuuliza maswali mawili na hujajibu moja ...

Lakini ulilojibu hujajibu kwa ufasaha kwasababu kwanza ulisema Mandela hakuwa na mke sasa unakujaje na kusema alikuwa nae?
 
Wanawake huwa sio BINADAMU, wanawake ni WATU

Huwezi kusema jambo tu na likawa sahihi bila kutoa ufafanuzi na ushahidi,unapaswa utoe ufafanuzi huku ukiambatanisha na ushahidi matokeo yake utaonekana hamnazo kwasababu ulichokisema hapo ni kitu kizito sana!
 
Ni mzigo mzito ukiona mtu anakaa na mke wake tena kwa muda mrefu anavumilia mengi sana ndio maana waliooa wanastahili pongezi. Hizi people bwana usipokuwa mvumilivu unaweza kuchizika ati.

jamani hata nyie tunawavumilia sana kila binadamu ana mapungufu yake acheni kujishaua hapa ,
 
jamani hata nyie tunawavumilia sana kila binadamu ana mapungufu yake acheni kujishaua hapa ,

Tunawavumilia sana ila hawajielewi. Wao tunawalea kama watoto hawaoni kila siku wanakuja kututukana hapa. Kwanza wangejua jinsi nilivyo na hasira na wanaume wasingetusema hivi.
 
Back
Top Bottom