suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Embu mtafusirie huyo shemejio
Me pia sijaelewa
Embu mtafusirie huyo shemejio
hiyo kauli ina maana pana sana...coz sio wote waliooa wanao wake...
wengine hao wake zao ni kama tanuru la moto lina wawakia..
wapo waliooa kibao kikawageukia wakiwa ndani ya ndoa..
wengine walioa kwa kuchaguliwa mke..
wengine walioa kujiSHOW up au kama fashen tu..
(mfano anaoa kwa kuangalia gud luk ya nje bila kutathmini mengineyo)
wengine walioa kwa kuingizwa kingi kwa namna mabalimbali..(kurogwa n.k)
*****to mention few******
Therefore WENYE WAKE NA WANAOFEEL GOOD KUWA NAO, WAPEWE PONGEZI
Leo nimekutana na daladala limeandikwa hivi "wenye wake wapeni pongezi" mwisho wa kunukuu. Nikajiuliza kulikoni? ama kupata mwanamke ni kazi nzito inayostahili pongezi ama wanawake ni mzigo mzito na wenye uwezo wa kuubeba wapewe pongezi. Karibuni wana MMU.
Hisia zako zinaweza kuwa na ukweli fulani kwasababu zifuatazo;
Kwa mtu ambae anajitambua ni kazi sana kupata mke kwenye dunia ya sasa kwasababu mke ambae atamhitaji na ambae atafaa kuitwa mama
Lakini pia kuishi na binadamu tu ni kazi achilia ambali huyo binadamu ni mwanamke au laa,lakini pia kuitunza familia kunahitaji hekima na uvumilivu mkubwa sana na ndio maana hata kiongozi hupendekezwa ambae ameoa!
Lakini mkuu viongozi wengi wazuri wameshindwa kuwa na wake, the case of Nelson Mandela, hata hapa kwetu tuliona.
Leo nimekutana na daladala limeandikwa hivi "wenye wake wapeni pongezi" mwisho wa kunukuu. Nikajiuliza kulikoni?
Ni mzigo mzito ukiona mtu anakaa na mke wake tena kwa muda mrefu anavumilia mengi sana ndio maana waliooa wanastahili pongezi. Hizi people bwana usipokuwa mvumilivu unaweza kuchizika ati.
Mwanaume utakula kwa jasho lako, na mwanamke utazaa kwa uchungu................mmmmmmmmnh, A woman can be a real bitch and a real sweetheart for you but all in all it depend on how you treat her
Mwanaume utakula kwa jasho lako, na mwanamke utazaa kwa uchungu................mmmmmmmmnh, A woman can be a real bitch and a real sweetheart for you but all in all it depend on how you treat her