Igauri Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 321
- 72
Usisahau na binti Zake nao ni mbuzi na kuku,maelezo yake yanaelekeza yeye ni mtu wa namna gani
jamani hata nyie tunawavumilia sana kila binadamu ana mapungufu yake acheni kujishaua hapa ,
Aaah....na mamaa sura kitabu nae aje awaelimishe wenzie kweli jaman, maana hata hapo napo ni zigo la misumari
wana uvumilivu gani??? nasikia leo jf kuwa ni wavumilivu
Hata mimi nimeshangaa sana
Wewe adabu unayo mkuu......???Nahisi adabu ya kuzaliwa huna hata ya kuiga inakushinda wewe.