ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 644
- 569
Wanabodi
Salaam;
Tukiacha ushabiki wa kidini,hapa nchini Tanzania kwa sasa dini nyingi hazipo kwa ajili ya kuwahubiri watu juu ya ufalme wa Mungu,bali zipo kwa ajili ya watu.
Dini zimegeuka miradi ya kunufaisha watu,haishangazi tena kuona mchungaji au kasisi kuishi maisha ya anasa huku waumini wake wakiendelea kupauka!
Nchi ya korea kaskazini shughuli zote za kidini zilishapigwa marufuku na ukionekana ukihuburi ukithibitishwa ni kifungo cha maisha au kunyongwa.
Natamani na sisi tuwe km korea,kuna wamama wananyonywa kila uchwao na hawa jamaa. Kuna ahueni kidogo kwa wenzetu waislamu ukilinganisha na sisi wakristu. Kila mtu anajua hili,tumuombe Rais apige marufuku ili watu wapate muda wa kufanyakazi badala ya kushughulikia mambo ya kufikirika.
Nawasilisha.