tuifanyie kitu hii serikali

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
nashauri watanzania tuifanyie kitu hii serikali ili serikali ijayo iwe inajua kabisa sisi wenye nchi tuna nguvu,
hawa jamaa ndio waliocheza deal la radar mpaka waingereza wakaingilia kati,hawa ndio wanaowaficha wezi wa radar na sisi tunajua,
hiki ni kitendo kibaya kabisa ndani ya nchi yetu,tufanye kitu ambacho kitatoa fundisho kwa serikali zote zijazo,
tusipofanya hivyo watazidi kutuchezea wanavyotaka,
nafikiri huu ni wakati nzuri kwa wapenda mabadiliko!
 
Viongozi wa CCM wapigwe mawe popote watakapoonekana kwani ndiyo wanawalea hawa majizi wameshindwa kuwavua gamba.
 
Back
Top Bottom