Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,313
........Kwa nini tusizianishe kwa mifumo au vichwa tofauti Mfano Kilimo cha umwagiliaji; na chini yake kuwe na posts zote na taarifa juu yakilimo hicho au kwa kufuata zao mfano Muhogo; chini yake kuwe na taarifa husika na zao hilo na hata ikifikia kwenye zana tuanaishe za za kilimo kwa mtindo hali kadhali na na mikopo aua misaada yoyote ya kifedha au kiufundi........
oh karibu sana jamani yaani Njombe hapa ndo kimya hivi? Ina maana hamna network au uliamua kukata misitu mwenyewe? Kwema lakini? Tunashukuru kwa ushauri, kweli mwamko ni mkubwa na kilimo kwasasa ndo mkombozi kwa wengi hivyo imejaa ideas na maswali ingawa mengi yanafanana. Ebu tumia uzoefu wako tuwaombe mods maswali yote ya nina mtaji kiasi hiki naomba msaada biashara yawekwe pamoja kwa viwango vinavyolingana. Mazao yanayofanana pia yawekewe thread yao na mbinu za kilimo mf umwagiliaji na visima vyaweza wekwa pamoja. Tukitumia simu ambayo ni mara nyingi inakuwa ngumu kupata uzi flani na wageni ndo wanaamua kuuliza upya tena. Ushauri tu.Niwaite wanaharakati wapiganaji wenzangu!
Nawasalimu kutoka Lupembe mkoani Njombe nikiwatakieni afya njema !
Muda mrefu kidogo nilipotea jukwaani ; lakini katika kurudi kwangu nimekutana na mambo mengi ya heri na habari nyingi na taarifa muhimu.
Ila kwa mtazamo wangu bado hatujaziweka katika mfumo wa upatikanaji na ufuatiliaji wa rahisi; nikichukulia angalizo la huko nyuma la kuzifanya kuwa za kudumu (sticky) lakini kidogo naona kuna mkanganyiko.
Kwa nini tusizianishe kwa mifumo au vichwa tofauti Mfano Kilimo cha umwagiliaji; na chini yake kuwe na posts zote na taarifa juu yakilimo hicho au kwa kufuata zao mfano Muhogo; chini yake kuwe na taarifa husika na zao hilo na hata ikifikia kwenye zana tuanaishe za za kilimo kwa mtindo hali kadhali na na mikopo aua misaada yoyote ya kifedha au kiufundi
Mwisho niwatieni nguvu kuwa Tanzania yetu inatuhitaji tuonyeshe mfano; tukailetee mapinduzi ya kweli naamini tutafanikiwa
pambana tu wewe kama umesoma na unaelewa kwanini utumie hizo njia primitive? Kama ni ukosefu wa fedha tafuta mkopo lakini pia hata hizo primitive methods ukitumia mazao stahimilivu mfano mihogo, mahindi ya muda mfupi kuku wa kienyeji na mbuzi wa kienyeji huwezi kwa mwaka kukosa chochote na hicho kiwekeze ili kuboresha kilimo chako. Wizi unakuwa mkubwa hadi usipate faida endapo unafanya kwa remote control na hii ina maana una shughuli nyingine inakuongezea kipato.....Kwa wasio ajira ambao ni wengi kilimo ndo mkombozi. Nina dogo kamaliza UDSM BED nikamwambia banda hilo weka kuku 200, wapi kila asubuhi kabahasha na mikono mirefu mjini wakati post zinatoka february amepata kufundisha tempo salary 130,000 pm haina mkataba wala nauli wala nini....kaka naskia kilimo bado hakilipi kutokana na mfumo tunaotumia, mbolea, pembejeo, ardhi, primitive farming activities na kukosekana kwa uaminifu katika zoezi zima la kulima... na ninasikia baba lao ni wanunuzi wa mazao, wanakandamiza hadi mwisho
Mkuu naomba advice, nitafanyaje nifanikiwe katika dimbwi hilo la tope linalofelisha kilimo?
pambana tu wewe kama umesoma na unaelewa kwanini utumie hizo njia primitive? Kama ni ukosefu wa fedha tafuta mkopo lakini pia hata hizo primitive methods ukitumia mazao stahimilivu mfano mihogo, mahindi ya muda mfupi kuku wa kienyeji na mbuzi wa kienyeji huwezi kwa mwaka kukosa chochote na hicho kiwekeze ili kuboresha kilimo chako. Wizi unakuwa mkubwa hadi usipate faida endapo unafanya kwa remote control na hii ina maana una shughuli nyingine inakuongezea kipato.....Kwa wasio ajira ambao ni wengi kilimo ndo mkombozi. Nina dogo kamaliza UDSM BED nikamwambia banda hilo weka kuku 200, wapi kila asubuhi kabahasha na mikono mirefu mjini wakati post zinatoka february amepata kufundisha tempo salary 130,000 pm haina mkataba wala nauli wala nini....
Love, mkopo lazima uwe na equity fulani, mkono mtupu haulambwi
kuhusu huyo dogo, i feel bad kwamba tunapoteza nguvu kazi kwasbabu ya greedy mazafunking
i think a quick running business pays more for young people who happen to be inpatient