Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Niwaite wanaharakati wapiganaji wenzangu!
Nawasalimu kutoka Lupembe mkoani Njombe nikiwatakieni afya njema !
Muda mrefu kidogo nilipotea jukwaani ; lakini katika kurudi kwangu nimekutana na mambo mengi ya heri na habari nyingi na taarifa muhimu.
Ila kwa mtazamo wangu bado hatujaziweka katika mfumo wa upatikanaji na ufuatiliaji wa rahisi; nikichukulia angalizo la huko nyuma la kuzifanya kuwa za kudumu (sticky) lakini kidogo naona kuna mkanganyiko.
Kwa nini tusizianishe kwa mifumo au vichwa tofauti Mfano Kilimo cha umwagiliaji; na chini yake kuwe na posts zote na taarifa juu yakilimo hicho au kwa kufuata zao mfano Muhogo; chini yake kuwe na taarifa husika na zao hilo na hata ikifikia kwenye zana tuanaishe za za kilimo kwa mtindo hali kadhali na na mikopo aua misaada yoyote ya kifedha au kiufundi
Mwisho niwatieni nguvu kuwa Tanzania yetu inatuhitaji tuonyeshe mfano; tukailetee mapinduzi ya kweli naamini tutafanikiwa