Tuiboreshe Database ya Jukwaa letu

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,831
1,296
Niwaite wanaharakati wapiganaji wenzangu!

Nawasalimu kutoka Lupembe mkoani Njombe nikiwatakieni afya njema !

Muda mrefu kidogo nilipotea jukwaani ; lakini katika kurudi kwangu nimekutana na mambo mengi ya heri na habari nyingi na taarifa muhimu.

Ila kwa mtazamo wangu bado hatujaziweka katika mfumo wa upatikanaji na ufuatiliaji wa rahisi; nikichukulia angalizo la huko nyuma la kuzifanya kuwa za kudumu (sticky) lakini kidogo naona kuna mkanganyiko.

Kwa nini tusizianishe kwa mifumo au vichwa tofauti Mfano Kilimo cha umwagiliaji; na chini yake kuwe na posts zote na taarifa juu yakilimo hicho au kwa kufuata zao mfano Muhogo; chini yake kuwe na taarifa husika na zao hilo na hata ikifikia kwenye zana tuanaishe za za kilimo kwa mtindo hali kadhali na na mikopo aua misaada yoyote ya kifedha au kiufundi

Mwisho niwatieni nguvu kuwa Tanzania yetu inatuhitaji tuonyeshe mfano; tukailetee mapinduzi ya kweli naamini tutafanikiwa
 
........Kwa nini tusizianishe kwa mifumo au vichwa tofauti Mfano Kilimo cha umwagiliaji; na chini yake kuwe na posts zote na taarifa juu yakilimo hicho au kwa kufuata zao mfano Muhogo; chini yake kuwe na taarifa husika na zao hilo na hata ikifikia kwenye zana tuanaishe za za kilimo kwa mtindo hali kadhali na na mikopo aua misaada yoyote ya kifedha au kiufundi........
  • Mkuu hili ni wazo zuli la mbolea, litasaidia na kuondoa tatizo la madada kujirudia rudia na kuwapa urahisi wana JF kupata akitakacho kwa urahisi zaidi.
  • ​Bila shaka wahusika watalifanyia kazi hili.
 
Mkuu Invisible tunaomba msaada wako tafadhali ikiwezekana maana kuna post nyingi sana humu wengine mara nyingi tunatumia simu kuzipata inakuwa ngumu so mkuu hapo juu alivyosema ni sawa itakuwa vizuri ukiweka hivyo,tafadhali tunaomba msaada wako!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
kaka naskia kilimo bado hakilipi kutokana na mfumo tunaotumia, mbolea, pembejeo, ardhi, primitive farming activities na kukosekana kwa uaminifu katika zoezi zima la kulima... na ninasikia baba lao ni wanunuzi wa mazao, wanakandamiza hadi mwisho

Mkuu naomba advice, nitafanyaje nifanikiwe katika dimbwi hilo la tope linalofelisha kilimo?
 
Niwaite wanaharakati wapiganaji wenzangu!

Nawasalimu kutoka Lupembe mkoani Njombe nikiwatakieni afya njema !

Muda mrefu kidogo nilipotea jukwaani ; lakini katika kurudi kwangu nimekutana na mambo mengi ya heri na habari nyingi na taarifa muhimu.

Ila kwa mtazamo wangu bado hatujaziweka katika mfumo wa upatikanaji na ufuatiliaji wa rahisi; nikichukulia angalizo la huko nyuma la kuzifanya kuwa za kudumu (sticky) lakini kidogo naona kuna mkanganyiko.

Kwa nini tusizianishe kwa mifumo au vichwa tofauti Mfano Kilimo cha umwagiliaji; na chini yake kuwe na posts zote na taarifa juu yakilimo hicho au kwa kufuata zao mfano Muhogo; chini yake kuwe na taarifa husika na zao hilo na hata ikifikia kwenye zana tuanaishe za za kilimo kwa mtindo hali kadhali na na mikopo aua misaada yoyote ya kifedha au kiufundi

Mwisho niwatieni nguvu kuwa Tanzania yetu inatuhitaji tuonyeshe mfano; tukailetee mapinduzi ya kweli naamini tutafanikiwa
oh karibu sana jamani yaani Njombe hapa ndo kimya hivi? Ina maana hamna network au uliamua kukata misitu mwenyewe? Kwema lakini? Tunashukuru kwa ushauri, kweli mwamko ni mkubwa na kilimo kwasasa ndo mkombozi kwa wengi hivyo imejaa ideas na maswali ingawa mengi yanafanana. Ebu tumia uzoefu wako tuwaombe mods maswali yote ya nina mtaji kiasi hiki naomba msaada biashara yawekwe pamoja kwa viwango vinavyolingana. Mazao yanayofanana pia yawekewe thread yao na mbinu za kilimo mf umwagiliaji na visima vyaweza wekwa pamoja. Tukitumia simu ambayo ni mara nyingi inakuwa ngumu kupata uzi flani na wageni ndo wanaamua kuuliza upya tena. Ushauri tu.
 
kaka naskia kilimo bado hakilipi kutokana na mfumo tunaotumia, mbolea, pembejeo, ardhi, primitive farming activities na kukosekana kwa uaminifu katika zoezi zima la kulima... na ninasikia baba lao ni wanunuzi wa mazao, wanakandamiza hadi mwisho
Mkuu naomba advice, nitafanyaje nifanikiwe katika dimbwi hilo la tope linalofelisha kilimo?
pambana tu wewe kama umesoma na unaelewa kwanini utumie hizo njia primitive? Kama ni ukosefu wa fedha tafuta mkopo lakini pia hata hizo primitive methods ukitumia mazao stahimilivu mfano mihogo, mahindi ya muda mfupi kuku wa kienyeji na mbuzi wa kienyeji huwezi kwa mwaka kukosa chochote na hicho kiwekeze ili kuboresha kilimo chako. Wizi unakuwa mkubwa hadi usipate faida endapo unafanya kwa remote control na hii ina maana una shughuli nyingine inakuongezea kipato.....Kwa wasio ajira ambao ni wengi kilimo ndo mkombozi. Nina dogo kamaliza UDSM BED nikamwambia banda hilo weka kuku 200, wapi kila asubuhi kabahasha na mikono mirefu mjini wakati post zinatoka february amepata kufundisha tempo salary 130,000 pm haina mkataba wala nauli wala nini....
 
Love, mkopo lazima uwe na equity fulani, mkono mtupu haulambwi

kuhusu huyo dogo, i feel bad kwamba tunapoteza nguvu kazi kwasbabu ya greedy mazafunking

i think a quick running business pays more for young people who happen to be inpatient
 
Mkopo kwakweli ni issue kwa wale wanaotaka mikopo mikubwa ya benki, kuanzia waweza anzia mkopo mdogo hata wa laki tatu ukaanzia biashara ndogo, then laki tano hadi kukua milioni na kuendelea kwenye saccos au ndugu au rafiki mradi uwe mwaminifu. Yote yanawezeka ukiwa na imani na nia.
Love, mkopo lazima uwe na equity fulani, mkono mtupu haulambwi

kuhusu huyo dogo, i feel bad kwamba tunapoteza nguvu kazi kwasbabu ya greedy mazafunking

i think a quick running business pays more for young people who happen to be inpatient
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom