Elections 2010 Tuibadilishe Serikali, hata Mungu alikuwa akiona hufai anakupoteza tu (Genesis 6:5:7)

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Mafundisho haya yanatoka kwenye kitabu kitakatifu Bible

The Lord saw that the wickedness of man was great in the earth, and that every imagination of the thoughts of his heart was only evil continually. And The Lord was sorry that He had made man on the earth, and it grieved Him to His heart. So The Lord said, "I will blot out man whom I have created from the face of the ground, man and beast and creeping things and birds of the air, for I am sorry that I have made them." (Genesis 6:5-7 RSV)

kwahiyo kama Mungu aliweza kuwaondosha binadamu wenye dhambi nyingi kiasi cha kukera, kwa kutumia glalika kuu la Mafuliko,, kwa nini na sisi tusifanye mabadiliko hayo?

Kwasababu Selikali sisi ndio Waajiri wao,, sasa tuna waajiri ili watutumikie wanajifaidisha wao,, huu ndio wakati wa kuajiri walio wasafi jamani,, tusifanye mzaha,, please jamani tuchague walio wasafi kwasababu hata Mungu alimuacha alie msafi Noah
 
Unapiga kura kanisa gani? :becky:
 
Go dr. Slaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........go to ikuluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
huyu Jamaa hajui hata wanapo pigia kura, we unafikiri hapa ni kwakudanganyana?
 
Back
Top Bottom