Tuhuma zangu kwa Lema

Tuhuma zangu kwa Lema

KAKADO

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
230
Reaction score
336
Kwanza niwasalimu wadau wa jamii forum,

Kiualisia jamvi hili ni muhimu kwa watu tunayoipenda Tanzania yetu umekuwa uwanja wa kusifia mazuri yanayofanywa na baadhi ya viongozi wetu,na kukemea mabaya yanayofanywa na viongozi.

Binafsi nilimuona LEMA ni kiongozi jasiri anaye weza kututetea wana wa arusha achilia mbali elimu yake tunayoamini ni yakuunga unga ,vijana tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha anashinda na kweli alishinda tulifurahi sana sana,tuliona ukombozi upo ajira tutapata hospitali aliyoihaidi atajenga kituo cha kufundishia kingereza atakijenga kama alivyo ahidi,tulimpa mda na ushirikiano wakutosha lakini amekuwa na ZARAU hapokei simu na ata akipokea bhasi mimi leo ntakijikita kusema yale yote yalio nikuta wakati ULE ninaamini sana siasa za Tanzania nakumwamini lema kama kiongozi jasiri anae weza kututetea wana wa ARUSHA.

LEMA ni mtu anayetamka sana neo HAKI ZA BINADAMU pale zinapo vunjwa kamaana nyingine ni mpigania haki za binadamu pale zinapo vunjwa lakini na yeye ni mmoja wa viongozi anaye vunja haki za binadamu. LEMA ndio chanzo cha familia za waliopoteza maisha january 5/ 2011 kishi maisha magumu, aliahidi kuitunza familia zile lakini paka na kesho hakuna wanachokipa familia ile watoto wanakosa mahitaji muhimu pesa zinachangishwa laini haziwafikii walengwa lema ndio anayesimamia ukusanywaji na zina ishilia kwake huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, tulipe kisogo ilo tuendelee kuangalia upana kiuka haki za binadamu mwaka 2011 kulikuwa na uchaguzi mdogo igunga waliitajika vijana kadhaa kutoka ARUSHA kwa ajili ya uwakala, mdogo wake Lema(Nelson) alinipigia simu nakuniomba tunde pamoja igunga nilikuwa na ratiba yakujiandaa kurudi chuoni kuendelea na masomo kwani ndo tulikuwa tunafungua chuo(udsm).

Nelson aliniomba sana nivute siku 4 twende tabora sikuwa na shaka kwani siku izo 4 zilikuwa niza usajini ckuwa nashaka nikakubali nikiamini tutakuwa pamoja na Nelson (mdogo wa mbunge) ilikuwa siku ya ijumaa tulikutana offisini kwa mbunge nilitambulishwa pale kwa mke wa mbunge as a student and friend of Nelson (mdogo wa mbunge) Nelson na yeye alikuwa anajiandaa kwenda kuanza chuo kw hiyo wote tulikuwa student lakini kutokana na damu ya upendo kwa watanzania wenzetu tuliona ni bora tukaakikishe wanapata uongozi imara tukawasaidie.

Pale tulipo simu ya mke wa mbunge ikaita niliamini ni mbunge (LEMA) baada yakumaliza kuongea alikata simu alimwamuru Nelson kutokwenda Igunga kwani anajiandaa kwenda chuoni na kule kuna vurugu anaweza kuumia lakini mimi alikuwa akinishawishi niende hapata kuwa na shida kwani ataniunganisha na mbunge alinishawishi sana sikuwa na njia nyingine tukaanza safari tulitumia njoku express tulianza safari saa 12 jion nakumbuka tulifika saa 11asubuhi,tulipokelewa na kiporo cha wali,walituahidi kula vizuri na kulala vizuri lakini hakuna kilichofanyika tulilala kwenye magari wao walila lorge sisi tupo njee kiukweli haki za binadamu lema alizikiuka pale hakuna aliyopenda iyo hali miongoni mwetu kauli waiokuwa wanatupa etii sisi NI MAKAMANDA tuvumilie ukombozi unakuja hatukupenda ata kidogo.

Siku moja saa 8usiku lema aliwasha GARI akatuchukua watu wanane tukaenda umbali wa kama km 20 kutoka pale lodge tulifika sehemu kituo cha kupigia kura sio shule bali ni sehemu tu iliandaliwa maalumu kwa kazi hiyo,kumbuka hakuna umeme maji wala ulinzi wowote lema akasema tulale pale ccm wasije kuleta kura zao alafu yeye arudi lodge kiuanisia apo alikiuka haki za binadamu hakuna aliye kubaliana nae tukarudi wote lakini alikasirika kwa kuto msikliza tulirudi camp, wakati nipo camp nilipata hali ya kuumwa nikampigia simu Nelson (mdogo wa mbunge) ambaye yupo arusha nikamweleza hali yangu ya Afya.

Aakaniambie ngoja awasiliane na kaka (mbunge) aweze kunisaidia akawasiliana na kaka yake (Lema) then akanipigia akaniambie nimfate tuongee nilimfata lakini lema aligoma kabisa kuongea na mimi na kudai amepokea simu kutoka kwa nelson lakini yupo bize nimtafute badae badae kumtafuta hakutaka kunipa nafasi na uku anajua hali yangu ni mbaya kama alivyo elezwa na mdogo wake .
 
Hiyo safari nilikuepo mwanzo mwisho,unamsingizia toka lini ktk maandamano ya cdm arusha lema asiwepo?kama lema atakua fronti itakua mdogo wake?kama mdogo wake hakwenda lawama ni kwa mdogowake au lema mwenyewe? Acha upimbi wewe kwahiyo hayo malalamiko ya kuchonga kamsimulie mkeo hivi wewe ulisha wahi kuona mbunge anaenda jela kwa ajiri ya wapiga kura wake?mmbunge anapigwa mpaka kulazwa hospital kwa ajiri ya wananch kweli wewe kakojoe ulale
 
Sasa unataka wasomaji tufanyeje? Hii njia ya kuwachafua watu imeshagundulika na watu. Sasa wanawapuuza tu. Kama unayosema ni kweli mchukulie hatua za kisheria na sio kuja kulalama huku mitandaoni. Tumechoka na hii namna ya kipuuzi ya kulalamika kimajungu.
 
Enhe tumekusikia, then? Mbona hueleweki unataka nini? Au bado unaumwa unataka ukatibiwe? Sema shida yako ni nini sasa?? Ebu jieleze ueleweke kama msomi dogo!
 
Mh! Mi nimeshindwa hata kumaliza kusoma, kweli hatuna vijana, ahsante lema nasubiri general tyre ifunguliwe nichukue ajira, na usipokee simu zao watakuomba tu hela ya kula hao hawana lingine ndio maana uwezo wao wa kufiri ni mdogo
 
Wewe ulikuwa wapi siku zooote ungojee Lema amerudishiwa ubunge unakuja na ----- hapa??? Kama unamdai labda nauli uliyotumia peleka madai ofisini kwake wacha kupandikiza mbegu za chuki za uongo!!!!Mtatumia kila mbinu safari hii lakini watu makini wameisha wajua na propro zenu kwaheri!!!!!!!!!!!!

hata cku hizi UDS wanasoma vilaza kama wewe hata hujui ni wakati gani wa kuwakilisha hoja na kwa mbinu gani. Wewe unatumika ndugu yangu Chadema hakichafuki kwa njia hii, kwani ni ya wajanja watupu.
 
hili ndio tatizo la cdm hasa member wake humu jf.wote walio jibu hakuna hata mmoja mwenye positive mind au tu wa kusema kwa kauli za kiungwana .tatizo nn wana jf tuwe magt hapo kuna upuuz ila pia kuna la kuangalia
 
Pimbi kweli wewe,hata kuandika Kiswahili fasaha hujui,unaleta tuhuma za kitoto tu hapa!
Phuuuu!
 
Wajinga Kama ninyi mlitakiwa Kuwa wabeba kuni polini nashangaa eti unasoma kwel elimu ya Tanzania haimkomboi Mtu Ainu tunazalisha wajinga
 
Kwanza niwasalimu wadau wa jamii forum,

Kiualisia jamvi hili ni muhimu kwa watu tunayoipenda Tanzania yetu umekuwa uwanja wa kusifia mazuri yanayofanywa na baadhi ya viongozi wetu,na kukemea mabaya yanayofanywa na viongozi.

Binafsi nilimuona LEMA ni kiongozi jasiri anaye weza kututetea wana wa arusha achilia mbali elimu yake tunayoamini ni yakuunga unga ,vijana tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha anashinda na kweli alishinda tulifurahi sana sana,tuliona ukombozi upo ajira tutapata hospitali aliyoihaidi atajenga kituo cha kufundishia kingereza atakijenga kama alivyo ahidi,tulimpa mda na ushirikiano wakutosha lakini amekuwa na ZARAU hapokei simu na ata akipokea bhasi mimi leo ntakijikita kusema yale yote yalio nikuta wakati ULE ninaamini sana siasa za Tanzania nakumwamini lema kama kiongozi jasiri anae weza kututetea wana wa ARUSHA.

LEMA ni mtu anayetamka sana neo HAKI ZA BINADAMU pale zinapo vunjwa kamaana nyingine ni mpigania haki za binadamu pale zinapo vunjwa lakini na yeye ni mmoja wa viongozi anaye vunja haki za binadamu. LEMA ndio chanzo cha familia za waliopoteza maisha january 5/ 2011 kishi maisha magumu, aliahidi kuitunza familia zile lakini paka na kesho hakuna wanachokipa familia ile watoto wanakosa mahitaji muhimu pesa zinachangishwa laini haziwafikii walengwa lema ndio anayesimamia ukusanywaji na zina ishilia kwake huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, tulipe kisogo ilo tuendelee kuangalia upana kiuka haki za binadamu mwaka 2011 kulikuwa na uchaguzi mdogo igunga waliitajika vijana kadhaa kutoka ARUSHA kwa ajili ya uwakala, mdogo wake Lema(Nelson) alinipigia simu nakuniomba tunde pamoja igunga nilikuwa na ratiba yakujiandaa kurudi chuoni kuendelea na masomo kwani ndo tulikuwa tunafungua chuo(udsm).

Nelson aliniomba sana nivute siku 4 twende tabora sikuwa na shaka kwani siku izo 4 zilikuwa niza usajini ckuwa nashaka nikakubali nikiamini tutakuwa pamoja na Nelson (mdogo wa mbunge) ilikuwa siku ya ijumaa tulikutana offisini kwa mbunge nilitambulishwa pale kwa mke wa mbunge as a student and friend of Nelson (mdogo wa mbunge) Nelson na yeye alikuwa anajiandaa kwenda kuanza chuo kw hiyo wote tulikuwa student lakini kutokana na damu ya upendo kwa watanzania wenzetu tuliona ni bora tukaakikishe wanapata uongozi imara tukawasaidie.

Pale tulipo simu ya mke wa mbunge ikaita niliamini ni mbunge (LEMA) baada yakumaliza kuongea alikata simu alimwamuru Nelson kutokwenda Igunga kwani anajiandaa kwenda chuoni na kule kuna vurugu anaweza kuumia lakini mimi alikuwa akinishawishi niende hapata kuwa na shida kwani ataniunganisha na mbunge alinishawishi sana sikuwa na njia nyingine tukaanza safari tulitumia njoku express tulianza safari saa 12 jion nakumbuka tulifika saa 11asubuhi,tulipokelewa na kiporo cha wali,walituahidi kula vizuri na kulala vizuri lakini hakuna kilichofanyika tulilala kwenye magari wao walila lorge sisi tupo njee kiukweli haki za binadamu lema alizikiuka pale hakuna aliyopenda [JFMP3]iyo[/JFMP3] hali miongoni mwetu kauli waiokuwa wanatupa etii sisi NI MAKAMANDA tuvumilie ukombozi unakuja hatukupenda ata kidogo.

Siku moja saa 8usiku lema aliwasha GARI akatuchukua watu wanane tukaenda umbali wa kama km 20 kutoka pale lodge tulifika sehemu kituo cha kupigia kura sio shule bali ni sehemu tu iliandaliwa maalumu kwa kazi hiyo,kumbuka hakuna umeme maji wala ulinzi wowote lema akasema tulale pale ccm wasije kuleta kura zao alafu yeye arudi lodge kiuanisia apo alikiuka haki za binadamu hakuna aliye kubaliana nae tukarudi wote lakini alikasirika kwa kuto msikliza tulirudi camp, wakati nipo camp nilipata hali ya kuumwa nikampigia simu Nelson (mdogo wa mbunge) ambaye yupo arusha nikamweleza hali yangu ya Afya.

Aakaniambie ngoja awasiliane na kaka (mbunge) aweze kunisaidia akawasiliana na kaka yake (Lema) then akanipigia akaniambie nimfate tuongee nilimfata lakini lema aligoma kabisa kuongea na mimi na kudai amepokea simu kutoka kwa nelson lakini yupo bize nimtafute badae badae kumtafuta hakutaka kunipa nafasi na uku anajua hali yangu ni mbaya kama alivyo elezwa na mdogo wake .
Kama huu ndio uandishi wa mtu anayejiita yupo au alikuwa chuo kikuu (udsm) basi elimu yetu Tanzania ipo kaburini sasa ni ya kufukia tu.Kwa kusoma uandishi wa aina hii ni wazi kabisa unayoandika ni ya uwongo kwani mwongo hana muda wa kupitia andiko lake mara mbili ku edit!,Unasema ulipokuwa ofisini kwa Lema simu ya mke wake iliita ulijuaje ni ya mke wake? Kwa hiyo wewe kilichokupeleka Igunga ni kwenda kula na kulala vizuri? Unanishangaza unaposema sehemu uliyopelekwa kulinda CCM wasichakachue hapakuwa na mlinzi! sasa mlinzi sio ndio wewe uliyepelekwa hapo kupalinda??na labda tulishindwa uchaguzi kwa uzembe wako maana ulipelekwa strategic area kulinda wewe ukarudi kulala wenzio wakachakachua!!Uchanguzi wa Igunga umemalizika siku nyingi sana kama haya yalifanyika mbona ulikaa kimya muda wote huo huku ukijua haki za binadamu zilivunjwa?
Mheshimiwa Lema amejitahidi sana kutekeleza ahadi zake na kikubwa kumbuka Lema mara baada ya kushinda alifunguliwa kesi na wewe kama msomi(kama ni kweli maana uandishi wako unakanusha wewe sio msomi) unatakiwa ujue uzito wa kesi kuna mambo mengi ya kushugulikia. Kesi ilivyoenda unajua mahakama ilimvua Lema ubunge na jiulize hadi mahakama ya rufaa kumrudisha ulipita muda gani?mimi kwa hayo aliyotekeleza kwa kipindi kifupi sana cha ubunge wake anatakiwa hongera!!
Ndugu zetu waliokufa Arusha (R.I.P comrades) chanzo hakikuwa Lema, chanzo ni kujitolea kwao hadi kifo kupigania demokrasia na utu wa mtanzania, na nina uhakika wa 100% Lema amekuwa akiwaunga mkono na kuwasaidia wafiwa na hata majuzi viongozi wakuu wa chama walipokuwa Arusha waliwatembelea kuwapa misaada na kuwafariji
Kama unatumika unatakiwa uwe very smart ukileta story hapa ifanane na ukweli, unasema Elimu ya Lema ni ya kuungaunga fine kwa Andiko hili na maandiko anayotoa mheshimiwa Lema hivi kati yenu wawili nani ameungaunga Elimu!
 
that is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent
 
that is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent

Kiswahili kimekushinda,kiinglish utakiweza? Nadhani philipo Mulugo ndo mwalimu wako wa english. Usiabishe udsm yetu hausomi pale bwana,usitudanganye
 
KAKADO;

Humu tuna akili timamu, pole sana kwa utumwa huu unaouanza!
 
Last edited by a moderator:
that is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent

Naomba uache kupost zaidi utazidi kudharaulika humu!
NB: wewe huwezi kujiita msomi nitabisha hadi mwisho!
Watch your writings!
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Yaani mkuu umepelekwa mahali kwenda kulinda kura halafu unataka uende kulala lodge?!
Na bila ya aibu unakuja kulalamika humu?
 
Back
Top Bottom