Tuhuma za Ughaidi, CCM tusipuuzie

Tuhuma za Ughaidi, CCM tusipuuzie

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Mbinu ambazo zimekuwa zikitumika kuidhibiti chadema imegeuka silaha hatari dhidi ya ccm. Ndugu yangu mwigulu, tuliyenaye kundi la Lowassa inabidi achunguzwe na hata kushtakiwa binafsi ili kulinusuru chama. Mwigulu amefika hatua kuanza kuwafanyia wana ccm ughaidi. Kisiri anapambana na Membe, Sita pamoja na Nape, ambaye tayari ameshatayarisha video ya kumsulubu. Hizi ni tabia saa kighaidi. Tusizipuuze ili kulinusuru chama.
 
Vita ya kunguru......

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tulisema malipo hapa hapa dunian watageukana wenyewe mambo yote yatajulikana mungu hamwachi mja wako wake
 
~muda mwingine ukitaka kujua tabia za mtu,watazame rafiki zake~ Wote tunawajua rafiki wa Mwigulu...
 
video ipi nape anayo wadau?
Ndio ni kweli video ya Nape Mwigulu alitumia watu kutengeneza, kisha kampelekea bwanake. Mzee manywele. Amemfatilia nape kwa muda mrefu akiwatumia usalama. Sehemu nyingine alijuwa anawatumia bodaboda...inasemekana huyo mwanamke kawagonganisha watu wengi sana. Dawa ya mwigulu ni kumfukuza ccm
 
Green rebels..,shonza na mwimpambe ndo spies wa green rebels

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndio ni kweli video ya Nape Mwigulu alitumia watu kutengeneza, kisha kampelekea bwanake. Mzee manywele. Amemfatilia nape kwa muda mrefu akiwatumia usalama. Sehemu nyingine alijuwa anawatumia bodaboda...inasemekana huyo mwanamke kawagonganisha watu wengi sana. Dawa ya mwigulu ni kumfukuza ccm
sasa Nape kaanza mambo ya wanawake ndo kajchafua kaisha hyo video alonayo mwigulu atupe bwana
 
ndio ni kweli video ya nape mwigulu alitumia watu kutengeneza, kisha kampelekea bwanake. Mzee manywele. Amemfatilia nape kwa muda mrefu akiwatumia usalama. Sehemu nyingine alijuwa anawatumia bodaboda...inasemekana huyo mwanamke kawagonganisha watu wengi sana. Dawa ya mwigulu ni kumfukuza ccm

mkuu tuliza akili basi utupe huo udambwidambwi vizuri,una papara kama upo na mwigulu hapo,tupe huo mkanda kimpangilio!
 
Why boasteth thyself
Oh, evil men
Playing smart
And not being clever?
I said, you're working iniquity
To achieve vanity (if a-so a-so)
But the goodness of Jah, Jah
I-dureth for-I-ver
So if you are the big tree
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
These are the words
Of my master, keep on tellin' me
No weak heart
Shall prosper
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it, fall in it
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it (... fall in it)
If you are the big tree, let me tell
you that
We are the small axe, sharp and
ready
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
(To cut you down)
(To cut you down)
These are the words
Of my master, tellin' me that
No weak heart
Shall prosper
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it, uh, bury in it
And whosoever diggeth a pit
Shall bury in it, uh (... bury in it)
If you are the big, big tree
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
If you are the big, big tree, let me
tell you that
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
Sharpened ...
 
.... Na mi nasema wapigeni tu...kwani tumeshachoka sasa!!! Teteh teteh..

mtoto wa mkulima bana, we acha tu.eti anawaambia polisi tunaowalipa mshahara kwa kodi zetu wapige wananchi!!!!!!!!!jamani!!!!.utawala wa ccm ni hatari kupindukia.ni majanga.tukubali jamani.tubaliiiiiiiiiiiiiiii.
 
Na katika hili la kukosa hata kata moja na china alienda kuchua zana kwa ajili cdm na bado kafeli hana pakutokea lazima akimbizwe tu.
 
Ndio ni kweli video ya Nape Mwigulu alitumia watu kutengeneza, kisha kampelekea bwanake. Mzee manywele. Amemfatilia nape kwa muda mrefu akiwatumia usalama. Sehemu nyingine alijuwa anawatumia bodaboda...inasemekana huyo mwanamke kawagonganisha watu wengi sana. Dawa ya mwigulu ni kumfukuza ccm
Hapo kwenye RED huyo mwanamke ni Juliana Shonza nini?
 
Ndio ni kweli video ya Nape Mwigulu alitumia watu kutengeneza, kisha kampelekea bwanake. Mzee manywele. Amemfatilia nape kwa muda mrefu akiwatumia usalama. Sehemu nyingine alijuwa anawatumia bodaboda...inasemekana huyo mwanamke kawagonganisha watu wengi sana. Dawa ya mwigulu ni kumfukuza ccm

Unaendeleza zile zile anayekwenda kuripoti ndiyo anayewekwa ndani nini. Dawa sio kumsulubu mwigulu ni kuwaambia wazinzi waache uzinzi na badala yake wafanye kazi walizotumwa na wananchi. Hata hivyo wote walibarikiwa ndoa shida za nini huko nje?
 
I think PM huyo ni immune compromised, sidhani kwa mtu asiyekuwa na tatizo la kiafya anaweza akamrisha raia wema wa nchi hii wauwawe. Akili yake ni takataka sana.
.... na mi nasema wapigeni tu...kwani tumeshachoka sasa!!! teteh teteh..
 
Back
Top Bottom