Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Sasa wewe na hivyo vi data vyako unajifanya mtaalamu siyo na unaufahamu mkubwa. No wonder ......Nafikiri exposure nayo ni muhimu wakati mwingine!!!
Angalia usije ukapiga n'tu bure kha!
Sasa wewe na hivyo vi data vyako unajifanya mtaalamu siyo na unaufahamu mkubwa. No wonder ......Nafikiri exposure nayo ni muhimu wakati mwingine!!!
SASA GAVANA MNAMLIPA $ 15,000 KWA MWEZI INAWAUMA....huyu alipokuwa benki ya afrika alikuwa analipwa mara tatu ya hiyo.....mkapa akamuomba aje amsaidie balali unaibu...kwa pungufu ya hapo kwa hoja ya uzalendo...
maximo mnamlipa $ 50,000 kwa mwezi basic salary...tufikie mahali tujuwe duniani kinaendelea nini.....sidhani kama mishahara yetu inastahili hata kufananishwa na nchi za jirani....viwango vyetu vipo chini...
na wewe na kingereza chako cha kuunga unga na ka-exposure kako unajifanya mwanasiasa????!NO WODER ka-exposure unakokaamini kamekujengea dharau!HATA HIVYO YOU ARE THE LOOSER BRO!
merry x-mass
nipo sana tu mkuu wangu!Umeishiwa pesa kwenye internet cafe!!! Ahahaaaaaaa!!!
Merry X mass!!!
hakuna cha ajabu hapo!wewe hujui renovation imefanyikaje na hujui material zimenunuliwa zipi,kwa specification gani,na ni kiasi gani!hata kama wameweka vioo vya BULLET-PROOF HUTAKAA UJUE!endelea kubwabwaja,so far construction HUJUI!UNATUMIA CROSS-MULTIPLICATION kwenye ujenzi!au niseme unaleta SIASA kwenye technical matters?enewei.....POLE KIJANA
Geoff
Unasema watu hawajui construction na wewe ndiyo unajua kila kitu kuhusu ujenzi. Wewe ni nani by professional, are u Civil ebgineer,Quantity surveyor or an Architect. Sasa kwa profession yako uliyonayo tuambie vigezo vya kununua nyumba kwa 450,000 USD na halafu uikarabati kwa 1,000,000 USD!!!.
UFISADI UNAWEZA KUWEPO!lakini wewe una-feel!yani unahisi tu kwamba kuna ufisadi!lakini kitaalamu tunaweza kujustfy kwamba hiyo nyumba imekuwa rennovated kwa 1b,na ukitaka tunakupa hadi RATE-BUILT UPS.Hata mtu ambaye siyo professional hapa kuna tatizo. Na tatizo si jingine ni UFISADI,UFISADI,UFISADI tu. Nothing else.Tusidanganyane hapa.!.
Mwenyewe utaonekana ni ***** . .!.
nipo sana tu mkuu wangu!
dharau zako ni kama dua la kuku!
mimi nipo nyumbani kwangu
....happy new year!haya "the peace maker!!!!!!!" merry x mass again!!!
Kweli tumezidi kujadili upupu humu!
Aliyeshiba siku zote hamjui mwenye njaa. Wakati mashule yetu wanafunzi wanasoma chini ya miti na kukaa chini na mahospitali yetu hayana vitanda wala madawa wewe unaona kujadili ukarabati wa kutumia $1 million ni upupu!
Ningekuwa Rais wa Bongo ningewafukuza wote waliohusika na kuidhinisha ufujaji huu wa pesa na wale wote ambao nyumba zao zimehusika ikiwemo huyo Ndullu.
Kwa kasi hii ya kuandika upupu tutaanza kuboa sasa hivi? Wewe mtoa hoja unafahamu mshahara wa Gavana? Kabla ya kufikiria nyumba anayoishi?