makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,218
egoism tu na ufisadi wa kijinga.
Khaaa! yaani hiyo ndio nyumba iliyogharimu bilioni 1 kukarabati? Stupid
Tatizo lenu ni umasikini mlio nao wa kutokujua na kutokufahamu. Hiyo nyumba siyo ya Beno Ndulu binafsi. .
Lakini haya majumba yote ya serikali ya mashirika ya umma yanajengwa through tendering process na wanapewa contaractors. Hapo ndipo gharama zinakuwa kubwa. Kwa sababu kuna Main Contractor, Consulting Engineer, Electrical Consultant, Quantity Surveyor na kadhalika. Wote hawa wanatakiwa kulipwa professional fees kufuatana na sheria ya nchi. Sasa ukayajumlisha haya pamoja na gharama za vifaa vya ujenzi utakuta hiyo bilioni moja na kajisenti tu.
Kwa hiyo acheni ushabiki wa watu wasioenda shule.
kwa hiyo unaona bilioni moja ni kubwa sana kwa ujenzi?Nyumba hiyo tu ndo imegharimu Bilioni 1? Je manunuzi si tutaambiwa imegharimu .... kweli sisi wehu
kwa hiyo unaona bilioni moja ni kubwa sana kwa ujenzi?
one billion kwa rennovation ni pesa ndogo tu!HIVI NINYI HAMJUI KWAMBA NYUMBA HII NI FULL-FURNISHED?tatizo lenu sio prefessionals!Wewe nyumba unayoishi imekugharimu kiasi gani? Chukua hicho kiasi hakafu ugawe kwa milioni 1000! ndo ujue kama ni gharama au la!!
Hiyo nyumba ni mbovu, nimechoka mwenyewe sijui walikarabati nini maana hiyo lawn yenyewe imekaa kiupande upande tuu.
SASA wewe unalinganisha na nyumba za marine plywoods?[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif][/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Hendon[/FONT]
Price: [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]£299,500 Freehold [/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]3 Bedrooms[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]2 Reception[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]We are pleased to offer for sale this well presented refurbished extended 3 bedroom terraced house, The property has to offer two reception rooms, three bedrooms, family bathroom, en-suite shower room, guest WC, kitchen, utility room, front and rear garden. It lies close to Hendon Mainline station (Thames link) and is offered with the benefit of immediate vacant possession.[/FONT]
Haya hii nyumba tena yenye ghorofa moja iko mtaa wa Hendon kule Uingereza inauzwa Pounds 299,500 sawa na Tshs. 6 million.
Linganisha nyumba hii yenye ghorofa iliyoko London na hii nyumba isiyo hata na ghorofa ya Gavana Benno Ndulu na tofauti ya bei halafu ujiulize kama kweli hapa kuna uhalali wa pesa inavotumika ndani ya nchi hii. Pambaf!
Masahihisho hiyo bilioni moja imetumika kufanyia ukarabati, nyumba ilinunuliwa kwa dollar 400,000. Walichokarabati ni nini hasa?kwa hiyo unaona bilioni moja ni kubwa sana kwa ujenzi?
gharama ya ile nyumba nia FINISHING!Masahihisho hiyo bilioni moja imetumika kufanyia ukarabati, nyumba ilinunuliwa kwa dollar 400,000. Walichokarabati ni nini hasa?
gharama ya ile nyumba nia FINISHING!
unajua bei za tiles,marbles na kuifurnish nyumba kwa vitu ambavyo wamevioutsource america?
mkuu,kwa nini wamevioutsource America?