Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,785
- 24,934
🚮View attachment 3514828
My people,
Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?
Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Halafu
Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.
Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena
Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo
Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku
Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..
Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?
Majibu unayo wewe!
Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu
Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii
Tutaelewana mdogo mdogo
Ni hayo tu!
Nasema hivi, amani ya kuwaacha viongozi watuibie hadi sisi kukosa elimu bora, huduma bora za afya, kukaa madarakani bila ridhaa yetu nk, hatuitaki amani hiyo. Hiyo kwetu sio amani bali ni uoga na ujinga uliovalishwa koti la amani. Ombeni tu tusikamate silaha za moto, wanaowalipa kupost huu upuuzi hela zitaka mbona?View attachment 3514828
My people,
Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?
Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Halafu
Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.
Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena
Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo
Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku
Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..
Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?
Majibu unayo wewe!
Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu
Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii
Tutaelewana mdogo mdogo
Ni hayo tu!
Kwa hivyo umetuona hatuna akili kiasi hiki?Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku
Amani inakuja kwa kutekwa na kuuwawa?View attachment 3514828
My people,
Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?
Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Halafu
Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.
Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena
Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo
Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku
Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..
Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?
Majibu unayo wewe!
Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu
Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii
Tutaelewana mdogo mdogo
Ni hayo tu!
Nikifa kwa kukosa huduma ya hospitali au matibabu siathiriki si ndio eeh? Nikishindwa kupata maji safi na salama ya kunywa siathiriki sio. Mtoto wangu akisoma kwa kukaa chini kwa kukosa madawati au chumba bora cha darasa siathiriki sio?View attachment 3514828
My people,
Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?
Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Halafu
Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.
Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena
Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo
Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku
Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..
Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?
Majibu unayo wewe!
Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu
Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii
Tutaelewana mdogo mdogo
Ni hayo tu!
Wameelimika kwa lipi,kuchoma miundo mbinu,kuharibu mali za watu na kuwaharibia mitaji yaoWw ndyo abdul au chawa wake.mwambie imebuma.watz cyo wale wa ndyo mzee wameelimika
Hiyo amani ndiyo inakufanya mpaka sasa upo na nafasi ya kutumia hiyo simu yako rununu na kujadiliana hapaNasema hivi, amani ya kuwaacha viongozi watuibie hadi sisi kukosa elimu bora, huduma bora za afya, kukaa madarakani bila ridhaa yetu nk, hatuitaki amani hiyo. Hiyo kwetu sio amani bali ni uoga na ujinga uliovalishwa koti la amani. Ombeni tu tusikamate silaha za moto, wanaowalipa kupost huu upuuzi hela zitaka mbona?
Hizo huduma zimeanza kukosekana hii awamu ya sita pekee??Nikifa kwa kukosa huduma ya hospitali au matibabu siathiriki si ndio eeh? Nikishindwa kupata maji safi na salama ya kunywa siathiriki sio. Mtoto wangu akisoma kwa kukaa chini kwa kukosa madawati au chumba bora cha darasa siathiriki sio?
Je, ni awamu hii tu ndio haya ya viongozi kumiki mali mbali mbali limekuwa jambo jipyaKwa hivyo umetuona hatuna akili kiasi hiki?
Midege au matoy hayo yamepatikana kwa pesa za halali?
Hao viongozi wanaomiliki midege hawawezi kuondoa au kupunguza tozo au kodi za kuendesha biashara ya ndege?
Hawawezi kuondoa au kupunguza tozo zinazotozwa na mamlaka ya viwanja vya ndege, au zile za mamalaka ya anga?
Wakiondoa na kupunguza hizo kodi na tozo hawatapunguza mapato na kuathiri bajeti ya maendeleo, elimu, afya n.k.?
Hamtatuongezea Kodi kwenye vitu muhimu kufidia Ile mliyokwepa?
Mfanyakazi gani wa umma anaweza kuwafungia hiyo kampuni ya ndege endapo watakiuka taratibu za usalama?
Nani ataweza kuwanyima kibali Cha airworthiness endapo hawatakidhi vigezo?
Vipi usalama wa raia na mali zao endapo ndege Zita anguka na kuuwa?
Mali au maisha ya wahanga wa ajali hiyo watalipwa inavyo stahili bila kiongozi kutumia mamlaka yake kuwanyima haki?
Kiongozi akishindwa kulipia bima ndege na ikaangukia watu au masli zao Nani atawalipa kwa haki au atamwajibisha mmiliki wa ndege?
Zingatia huku siyo Ulaya au Marekani ambako raisi anaweza kumiliki biashara akafuata vizuri sheria na taratibu. Akikiuka anawajibishwa kama wengine.
Tuambie mswahili mwenzio Ditopile aliwajibishwa kwa haki kwa wakati kwenye tukio la mauwaji ya dereva daladala?
Chenge aliwajibishwa ipasavyo kwa kukosa bima aliposababisha kifo cha watu waliokuwa kwenye Bajaj?
Mkuu usituone wajinga hivyo.
Wewe tetea tu udhalimu ila asili ipo na Mungu yupo.
Majibu utayapata tu hata ikiwa kwa kuchelewa.
Kwamba hakuna UTEKAJI?View attachment 3514828
My people,
Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?
Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Halafu
Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.
Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena
Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo
Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku
Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..
Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?
Majibu unayo wewe!
Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu
Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii
Tutaelewana mdogo mdogo
Ni hayo tu!
Wenye serikali yao wanakusikia,mie natoa mchango wangu kwenye kupambania amani yetu iwepoKwanini muibe uchaguzi kama mnataka amani? Yaani tuache wezi kisa tunaogopa machafuko? Hilo haliwezekani bwana mdogo kama mnataka Taifa liwe na amani fanyeni haki.
Waambie wenzako hao kwamba amani na zao la haki kutamalaki. Hata wewe hutalazimika kutoa mahubiri ya kuwakumbusha watu hasara za amaniWenye serikali yao wanakusikia,mie natoa mchango wangu kwenye kupambania amani yetu iwepo
Mengine ni majukumu au wajibu wa serikali
Uoga si amani. Nenda gaza kama hutakuta watu wanatumia smart phone. Acha kuleta nadharia za kijinga boss.Hiyo amani ndiyo inakufanya mpaka sasa upo na nafasi ya kutumia hiyo simu yako rununu na kujadiliana hapa
Lau sio hiyo amani huenda now ungekuwa camp ya wakimbizi unasubir chakula cha misaada
Usibeze amani ambayo unayo sasa ikipotea kuirudisha ni kazi kubwa sana
Ukweli machungu watu Wanataka shortcut baada ya kuangalia mizizi.Hizo huduma zimeanza kukosekana hii awamu ya sita pekee??
Nchi ina miaka 64 ya uhuru hukuandamana kudai hizo huduma,leo unajifanya unaziona ni jambo jipya
Hizi changamoto haziondoki kwa siku moja kama unanua mkate dukani