Tuhuma nzito za ufisadi dhidi ya Mwakyembe pale ATC

Status
Not open for further replies.
wamegushwa wauza unga ndio unatoa tuhuma...au ndio wamekutuma, hakuna aliye msafi ila kazi ionekane inafanyika pia, unatumiwa na wauza unga wewe
 
Nilijua tu Lazima wauza sembe mtaanza kujihami kwa kumtengenezea zengwe Mwakye.
Acheni awataje kudadeki. Na safari hii serikali ikiwashindwa tutawatafuna sisi wananchi bila woga
 
Taarifa hii sio mpya hapa JF na kwa watanzania werevu. Msg kubwa hapa naona ni dalili kwamba Mwakyembe ana watu ambao hawapendi juhudi zake.
 
Sasa baba naona unatuchanganya kidogo kwa iyo analysis,kwani hakuna mtz yeyote mwenye akili timamu asiyejua kwamba matatizo ya ATC yameanza tangu enzi za mkapa.Sasa unapo mshambulia Mwakyembe kwa makosa ya wengine bado hoja yako inazidi kuwa na ukakasi.Kwani Mwakyembe ana mda gani pale wizarani?yawezekana huo utumbo pengine aliukuta umeandaliwa wajanja na isitoshe ni mkataba wa kimataifa sasa wewe ulitaka kumbe afanyeje?mimi naamini kwamba Mwakyembe ni mmoja wanasheria makini katika nchi hii siamini kama anaweza kusaini mkataba wa kikanjanja kama unavyotaka kutuaminisha.Labda pengine utufafanulie ni kwanini ulikaa kimya na taarifa hii muhimu kama na wewe si miongoni mwa mafisadi wa taarifa za ufisadi?au kwa umesema kwa sababu leo amesema atawataja wauza unga vigogo wa nchi hii?bila shaka yawezekana umetumwa na hao drug barons kumlipua Mwakyembe ili nae aonekane mchafu?.Naomba niseme,Kwamba umethubutu kutushawishi,umeshindwa kutushawishi sasa kajipange upya.
 
Mleta maada anaonekana ni muuza unga. Naona mwakyembe kawashika pabaya, mtakoma
 
Si makyembe tu ccm wote ni wala unga na mafisadi,mbona makyembe hajamkamata ridhi?
 
Wewe muuza madawa! Makalio yako unatumia kufikiria. Kamwe hamtamuweza Dr Mwakyembe

Hii thread mmeangalia imeanzishwa lini lakini?..thread ya mwaka jana hii jamani angalieni na tarehe msikurupuke tu kucomment! Halafu siku nyingine ujue hakuna umuhimu wa kuquote thread ndefu kiasi hicho, unaumiza wanaotumia mobile!
cc: Mudawote Kurunzi Abdulnoor Issa tongi
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada usikatishwe tamaa na hawa ma-ccm wanaoandika ushuzi wao hapa, wewe ukipata data zilete hapa jamvini.
 
wamegushwa wauza unga ndio unatoa tuhuma...au ndio wamekutuma, hakuna aliye msafi ila kazi ionekane inafanyika pia, unatumiwa na wauza unga wewe

thread ya 2012 ,tumia hata makalio yako kama huna akili
 
Ukuda haujengi, hizi porojo ni vyema ukampelekea babu mzaa babu yako ndo atakuamini
 

"Beautiful analysis" I can now see something there.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…