angakwaanga
Member
- Mar 14, 2015
- 34
- 3
1. Kwanini umeajiri watu wasio walimu kwa sifa zao. Mfano Godwin Monyo (ndugu wa Msajili wa vyama vya wafanyakazi) tena bila kufanyiwa usaili na bila tangazo ktk gazetini/tovuti ya CWT
2. Unazungumziaje madeni yako ya mashine za "power tila" uliyolipa kwa kutumia pesa za chama ulipokaimu nafasi ya Katibu Mkuu?
Ndugu Oluoch amewafanyia mengi walimu wa Tanzania Bara akiwa Kaimu Katibu Mkuu wa CWT. Kwenye Bunge maalum la Katiba ninyi ni mashahidi jinsi Oluoch alivyosimama kidete kuwatetea walimu. Chini ya Ndugu Oluoch kuna mchakato wa walimu kuwa na Benki yao. Sisi wana Rorya tunaona Oluoch ndiye atakuwa mkombozi wetu kwenye nafasi ya ubunge katika uchaguzi ujao.
Mi ni mjaluo ila kusema kweli Oluoch hafai! Kwani nani kawambia CWT chama cha wajaluo? Yeye anajaza waluo kibao kwenye nafasi za ukatibu utafikiri hakuna walimu wengine bwana. Angalia, wilaya ziko kama 150 hivi. So kila wilaya ikitoa mwalimu mmoja wa kuwa Katibu CWT katika wilaya mojawapo ingekuwa poa. Lakini sasa wajaluo makatibu CWT ni zaidi ya 30. Kazi yako sio nzuri, ni ukabila huo!!!
Hata makatbu wa mikoa cwt na ma KUT Kadhaa wamewekwa na yeye kwa manufaa yake, ambayo ni shnyanga, pwani, mbeya, kgoma, musoma, ruvuma, arusha, yani huyu ni mtu hafai hafai hafai na Mungu anione maana nasema kweli