Njaa zitatuua. Lazima atetee mkate wake. Kuna vita ya madaraka. Enzi za awamu ya kwanza na ya pili viongozi hawakufaidi sana kama sasa hivi, hata ungalikuwa wewe kipindi hiki hayo ungeliyafanya maana kiongozi ni bora kuliko walalahoi wake. Ukitekeleza yale yanayostahili kesho utakula nini? Mfumo mzima wa uongozi umeparaganyika. Hata mlalahoi kwenye anga zake ni mjuvi.