apana kusupa
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 210
- 30
mwache azitumbue!
Ili nawewe umhongee???Naomba namba yake
Tafsiri mkuu.Sometimes its better to keep silent than to tell others what you feel, b'se a word boring people use to describe fun people.

Mi comments zako tuJamaa yupo sahihi....Kashtuka dunian tunapita na ya kesho ni uoga na uongo
Ndio mkuuIli nawewe umhongee???
Inaelekea huko gizani lilikotupwa jiwe limempata mtu barabara.haha haaa!Kuna watu mna kiherehere sana, kwani maisha ni lazima ujenge au kuoa!?
Mh!!! Rafiki unaanzaNdio mkuu
Usisahau siku zijazo atamuita fisadi au freemason ati itakuwaje awe na nyumba mbili ilhali tumemaliza shule wote. Huyu anaiibia serikali. Wanadamu ndivyo tulivyo wakati mwenzako anajinyima wewe unaenjoy uzeeni unawaita mafisadi!!Toa kisebengo hapa jali maisha yako ndugu hakutii hasara kwa raha zake na humpi faida kwa jitihada zako unazozifikiri na kuziita maendeleo rudi chuo ukasome indicators of development nawe utaelewa maana yake
Kuna shida kwani? Kuhonga kwa namna hiyo ni raha sanaMh!!! Rafiki unaanza
Kutakuwa na hasara mara mbili iwapo anaowahonga wana akili kama ya Wema, kwenda kutunza majukwaani bila kufanya kitu cha maendeleo. Ila kama ni kama Tato wangu ambaye akihongwa anaporomosha magholofa hapo angalau analijenga taifa la kesho ingawa kwake ni msoto wa baadaye.Kuna shida kwani? Kuhonga kwa namna hiyo ni raha sana
Mi comments zako tu