Senee
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 954
- 1,054
Morning to youHaha...Good Morning!
Morning to youHaha...Good Morning!
Nihongwe nikatunze wengine? Hapana kwa kweli..mimi ni mchagga nitautumia uchaga wangu vizuri. Ha ha haaaKutakuwa na hasara mara mbili iwapo anaowahonga wana akili kama ya Wema, kwenda kutunza majukwaani bila kufanya kitu cha maendeleo. Ila kama ni kama Tato wangu ambaye akihongwa anaporomosha magholofa hapo angalau analijenga taifa la kesho ingawa kwake ni msoto wa baadaye.
Mkuu....MPUUZI MKUBWA WW MTOA MADA NIMESHAKUJUA!

Morning to you
Inawezekana ulipo bado asubuhi buanaHaha...nimechelewa mpaka imefika Good Afternoon!
Inawezekana ulipo bado asubuhi buana
Moto wa kuota joto au wa kupikia?No!...nlipo ndio tunawasha moto sasa