Tuheshimiane humu Jukwaani

Tuheshimiane humu Jukwaani

rayman m

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
120
Reaction score
27
NIMEVUTA HISIA NKAONA HII PIA NIWASHIRIKISHE WANA JF. NAPENDA KUWAPONGEZA WALE WOTE MLIOPATA KAZI KUPITIA JF BAADA YA KUBADILISHANA MAWAZO NA WANA JUKWAA. BINAFSI NALIMUBARI JUKWAA JAPO BADO NATAFUTA KAZI KWA KWELI WANA JUKWAA MNAFANYA KAZI KUBWA NA PRODUCTIVE KAMA HAMNA MTU AME ADMIT HILI BASI NAOMBA MIMI NIWE WA KWANZA KUFANYA HILI. HATA HIVO NAANDIKA WARAKA HUU KWENU ILI KUJARIBU KUTOA MCHANGO WANGU KUHUSIANA NA.....TABIA YA BAADHI YA WANAJUKWAA KUWANA MAJIBU MABOVU ENDAPO BAADHI YA WAHITAJI WAMEPOST UZI KUOMBA KUFAHAMISHWA MAMBO FLANI YA MSINGI. MIMI NAAMINI MTU ANAVO TOKA HUKO NA ELIMU YAKE PENGINE HADI ANAKUJA HAPA JUKWAANI INAMAANA ANAWAKUBARI WANAJUKWAA SASA JAMANI MWANA JUKWAA MWINGINE YUPO HUMU ANAKAZI TAYARI TUNAAMINI YUPO KUBADILISHANA MAWAZO NA WENGINE LAKINI UTAKUTA YEYE ANA JIBU VIBAYA THREAD YA MTU HUU SIO UUNGUANA!!!! AU KWA NINI MTU USINYAMAZE KAMA HUJISIKII KUKOMENT UZI WA MTU?????? .......LOGIC WANA JUKWA NI KWAMBA UNACHO KIJUA WEWE MWINGINE HAFAHAMU KABISA NDO MAANA KAULIZA SO USIMWONE MZIGO NA ISITOSHE JUKWAA LIPO KWA AJIRI YA HAYO SO PLIZ SISI NI WAUNGUANA TUNAELEWA HEBU TUSIJIBU POST AMBAZO HATUNA INTEREST NAZO AU KUONA MAJIBU YAKE NI MEPESI TUWAACHIE WATAKAO JISIKIA KUYAJIBU. samahani kwa yule ambae ntakuwa nimeenda against nae. NI MAWAZO TU WANAJUKWAA NAOMBA KUWASILISHA.................
 
Nice idea ila kama ulisoma vizuri human behavior huwezi epuka maana kuna watu kazi yao kubwa ni kukatisha tamaa hata kama jambo ni nzuri kiasi gani wao watapinga tu .Wasikuumize kichwa japo wanaudhi sana na pia ni wazuri kwa kuongeza hofu miongoni mwa wanaopost ujinga humu.
 
facts mkuu lakini kikubwa ni kuziba masikio na kutokuruhusu mawazo yao yatawale karakana ya ubongo wako coz utavunjwa moyo wa kuchukua maamuzi fulani.
 
Nice idea ila kama ulisoma vizuri human behavior huwezi epuka maana kuna watu kazi yao kubwa ni kukatisha tamaa hata kama jambo ni nzuri kiasi gani wao watapinga tu .Wasikuumize kichwa japo wanaudhi sana na pia ni wazuri kwa kuongeza hofu miongoni mwa wanaopost ujinga humu.
kene course ipi mkuu.....!!! au dalasa la ngapi
 
ulichokisema ni ukweli ndugu yangu na hao wanaocomment hovyo kwenye uzi wa mtu ukijaribu kuwaangalia ni walewale ambao wanafahamika kwa hiyo tabia yao nadhani lengo lao ni kuwakatisha tamaa wenzao ila watambue huo ni upuuzi,na pili wana tabia ya uzushi na uongo ili kuwatia hofu wenzao mfano tu mtu anakwambia ofisi fulani ishaita watu kazini kutokana na interview ya tarehe fulani lakini ukifatilia unakuta ni uongo!NADHANI WANAJITAMBUA TUNAOMBA WAJIREKEBISHE MAANA HAFAGILIWI MTU HAPA
 
Jamani msifikiri wote huku wasomi Bali pia kuna wajanja wajanja tu na mtu akikujibu vema mshukuru na akikujibu vibaya potezea tu.
 
Huwezi kuzuia mtu asiseme ujinga au upumbavu wake, wewe unachotakiwa ni kuweka thread yako jukwaa husika unasubiri majibu sahihi yenye tija kwako.

Kama mtu ame-comment upuuzi wake na wewe ukaujua kuwa ni upuuzi, huna cha kufanya, bali unasubiri ushauri/msaada kutoka kwa mwingine hata kama ni mmoja kati ya members 100 walio-comment kwenye thread yako.
 
NIMEVUTA HISIA NKAONA HII PIA NIWASHIRIKISHE WANA JF. NAPENDA KUWAPONGEZA WALE WOTE MLIOPATA KAZI KUPITIA JF BAADA YA KUBADILISHANA MAWAZO NA WANA JUKWAA. BINAFSI NALIMUBARI JUKWAA JAPO BADO NATAFUTA KAZI KWA KWELI WANA JUKWAA MNAFANYA KAZI KUBWA NA PRODUCTIVE KAMA HAMNA MTU AME ADMIT HILI BASI NAOMBA MIMI NIWE WA KWANZA KUFANYA HILI. HATA HIVO NAANDIKA WARAKA HUU KWENU ILI KUJARIBU KUTOA MCHANGO WANGU KUHUSIANA NA.....TABIA YA BAADHI YA WANAJUKWAA KUWANA MAJIBU MABOVU ENDAPO BAADHI YA WAHITAJI WAMEPOST UZI KUOMBA KUFAHAMISHWA MAMBO FLANI YA MSINGI. MIMI NAAMINI MTU ANAVO TOKA HUKO NA ELIMU YAKE PENGINE HADI ANAKUJA HAPA JUKWAANI INAMAANA ANAWAKUBARI WANAJUKWAA SASA JAMANI MWANA JUKWAA MWINGINE YUPO HUMU ANAKAZI TAYARI TUNAAMINI YUPO KUBADILISHANA MAWAZO NA WENGINE LAKINI UTAKUTA YEYE ANA JIBU VIBAYA THREAD YA MTU HUU SIO UUNGUANA!!!! AU KWA NINI MTU USINYAMAZE KAMA HUJISIKII KUKOMENT UZI WA MTU?????? .......LOGIC WANA JUKWA NI KWAMBA UNACHO KIJUA WEWE MWINGINE HAFAHAMU KABISA NDO MAANA KAULIZA SO USIMWONE MZIGO NA ISITOSHE JUKWAA LIPO KWA AJIRI YA HAYO SO PLIZ SISI NI WAUNGUANA TUNAELEWA HEBU TUSIJIBU POST AMBAZO HATUNA INTEREST NAZO AU KUONA MAJIBU YAKE NI MEPESI TUWAACHIE WATAKAO JISIKIA KUYAJIBU. samahani kwa yule ambae ntakuwa nimeenda against nae. NI MAWAZO TU WANAJUKWAA NAOMBA KUWASILISHA.................
andika vizuri bwana unatujazia capital letter ili tuhisi umepandwa na hasira!!!!!
maneno mengiiiii ata main theme haijulikani ni ipi???

calm down binti punguza strees za ujobless!!!!
 
Pole sana Mpwa wangu, sio kila mtu humu ana akili kama unavyotaka, kuna wengine namna walivyo, wasamehe na uendelee na maisha
 
mimi nimekuelewa kidogo nimeshindwa kumalizi maandishi makubwa naona kama nagombezwa nimeachia nusu... pole
 
Back
Top Bottom