Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,529
- 61,939
Kitengo cha kumsifia mamaTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Mimi ongezea na Movies/series, muziki, Wwe 😀😀mimi sio viti virefu lakini starehe ya gambe naipa respect, ukitoa sex naona gambe ndio starehe tamu hapa duniani.
Mimi familia Tanzania kule ni kwenda kutafuta magari tu na kuyaleta huku ingawaje nina makazi ya kudumu ila nilirudisha majeshi home...nimeangalia sera narudisha duka pia kariakoo bidhaa za kuleta nyingi sana.Nakubali sana mwamba popote kambi👊
Safi bro watu makini kama wewe najifunza kutoka kwenu , ndio maana nakufahamu kwa kiaisi chake 🤔Mimi familia Tanzania kule ni kwenda kutafuta magari tu na kuyaleta huku ingawaje nina makazi ya kudumu ila nilirudisha majeshi home...nimeangalia sera narudisha duka pia kariakoo bidhaa za kuleta nyingi sana.
Hiyo Wampe Kiranga na kuna mwamba mmoja anaitwa Hateeb, we anzisha uzi useme dunia ni duara ndio utamjua 😄😄Nani awe kitengo cha mabishano?
😀😀😀🙏🏿🙏🏿🙏🏿
I appreciate [emoji23][emoji23]1 .Kitengo cha akili kubwa na ufahamu
Kiranga
Infropreneur
Dennis Robert Shughuru
2.Uchawa
Tlaatlaah na Mwashambwa
2b vinywaji na starehe
Mad Max mimi na Dr am 4 real PhD
2.Ngono
mzabzab
Binti wa zamani
3.Injili ya ugoko
Setfree
Rabbon
matunduizi mzee wa kapu la sadaka
4.siasa
Benjamini Netanyahu
Erythrocyte
5 Michezo
Kalpana
Labani og
Karibu mkuu life ndio hii hii ya kupambana na fursa kila kukicha..Safi bro watu makini kama wewe najifunza kutoka kwenu , ndio maana nakufahamu kwa kiaisi chake 🤔
Entertainment nakubali chief 😎Mimi ongezea na Movies/series, muziki, Wwe
HypocrisyKama alivyo Le Presida papaa Dennis Robert Shughuru mobimba, fanya umkaribishe weekend mpate mbili tatu huku mkiunda katiba.
hahahah dah [emoji23] wanaJF wanasema sex is overrated!Pombe acha kulinganisha na sex bwashee ukitoa pombe sex ifuate
Hahah inasikitisha sana.Hypocrisy
Nimelia sana. Kwahiyo mimi nipo kwenye kitengo cha walevi😭😭😭😭😭Hahahahahaaha hapo pagumu shindii wewe njoo nikupunguzie vodka tu hapa
Haupo shindii wangu🤣 ila unatuunga mkono walevi😅Nimelia sana. Kwahiyo mimi nipo kwenye kitengo cha walevi😭😭😭😭😭
Ni kukosa pesa tu mwanangu 🤣hahahah dah [emoji23] wanaJF wanasema sex is overrated!