Ni sabatto leo bwashee , sifanyi kazi nakula pombe tuππππ
Katika jopo lenu tuchagulie mmoja unayemuamini.Hahahahaπππ Jamani Mimi nilishaacha uchawi na kuokoka
Hekima za mleviWenye hekima tupo viti virefu na vodka pembeni bwashee , wewe upo wapi master ππ
ππππDIVISHENI FOO na genge lako mnaitwa
Yaani wabongo sasa hivi wameamua kujiandikia tuHii itabadili maisha ya raia mtaani? au italeta mageuzi?
Pombe ni kwa wafalme na wenye hekima ipo tangu kale watu wenye mamlaka na hekima kupiga funda la pombeπ€£Hekima za mlevi
Injili ya ugoko ndio ipi hiyo.1 .Kitengo cha akili kubwa na ufahamu
Kiranga
Infropreneur
Dennis Robert Shughuru
2.Uchawa
Tlaatlaah na Mwashambwa
2b vinywaji na starehe
Mad Max mimi na Dr am 4 real PhD
2.Ngono
mzabzab
Binti wa zamani
3.Injili ya ugoko
Setfree
Rabbon
matunduizi mzee wa kapu la sadaka
4.siasa
Benjamini Netanyahu
Erythrocyte
5 Michezo
Kalpana
Labani og
ππππΏ mkuu nimeshatoka sina kaliba wala connection tenaKatika jopo lenu tuchagulie mmoja unayemuamini.
Maana Wana JF Tuliweka imani kwako mkuuπππ
π€£π€£ππBarikiwa mnooππππΏ mkuu nimeshatoka sina kaliba wala connection tena
Poa kabisa mkuu sema nipo Tanzania mara moja narudi SA siku kadhaa zijazo tukijaaliwa uzima.SA wanasemaje bro?
Mbona sipo kwnye hiyo namba 1?1 .Kitengo cha akili kubwa na ufahamu
Kiranga
Infropreneur
Dennis Robert Shughuru
2.Uchawa
Tlaatlaah na Mwashambwa
2b vinywaji na starehe
Mad Max mimi na Dr am 4 real PhD
2.Ngono
mzabzab
Binti wa zamani
3.Injili ya ugoko
Setfree
Rabbon
matunduizi mzee wa kapu la sadaka
4.siasa
Benjamini Netanyahu
Erythrocyte
5 Michezo
Kalpana
Labani og
Nakubali sana mwamba popote kambiπPoa kabisa mkuu sema nipo Tanzania mara moja narudi SA siku kadhaa zijazo tukijaaliwa uzima.
Hahahahahaaha hapo pagumu shindii wewe njoo nikupunguzie vodka tu hapaMbona sipo kwnye hiyo namba 1?
Kijana wetu haeleweki πHalf american kitengo cha dipresheni.
Erythrocyte ndio anaongoza kwa uchawa. Hata kura zilipigwa hapa JF akashinda.Kwenye Kitengo cha uchawa sidhani kama kuna member anamfikia Lucas