Tugawe vitengo JF

Mimi ni humu tu live ni mkimya sana , kwa mtu nisie mjua kiundanπŸ˜…
Iyo ni kweli kumzoea mtu ngumu sana nashaaga watu kwenye bus mtu umemkuta kwenye siti lakin wanaongea kama washawai kutana
 
Iyo ni kweli kumzoea mtu ngumu sana nashaaga watu kwenye bus mtu umemkuta kwenye siti lakin wanaongea kama washawai kutana
Hiyo kwangu mpaka nilewe marafiki zangu wanapenda nilewe mda wote , wanaona nakua mchangamfu na rafiki zaidiπŸ˜…
 
Ndio uhalisia wa mambo , watakua wanakuona mtoto wa kishua na ni snitch πŸ˜…
Hapana sasa mfano juzi mtu ana jisifia kisa kaunda suti nikamuangalia nikamwambia sasa izo kaunda suti unanitia nazo mimi? Wengine tushaziunguzaga na pasi makusudi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kaenda nitangaza kwa watu na dharau sana ananitafutia angle πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona kaunda suti tamu tu bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…