B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,414
Kitengo cha machawa hapo kuna kinaTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Usimtaje atakuharibia siku..ππππKitengo cha unafiki Nampa mwanangu wa Kanda ya ziwa jina simtaji
Leo nakula vodka nimefiwa na rafiki wa binti yanguJana na Leo.
Leo umekunywa bia gani?
Upo gudi lakini rafk yangu ππSio kitengo cha mapokezi...ππnakupokea jinsi utakavyokuja
πππUsimtaje atakuharibia siku..ππππ
Nipo gud rafkii yangu...hongera kwa ubingwa...πππUpo gudi lakini rafk yangu ππ
Story zake zilikua za kufikirishaππHuyu jamaa sijui kapotelea wapi
Kumbe Yesu unamjua ila huwa unajifyatua tuLeo nakula vodka nimefiwa na rafiki wa binti yangu
View: https://youtu.be/gHbLRkUfIWE?si=XQwwg8WssmfYr2DO
Yah u deserve wala sio uongoMafuta kwa mgongo wa chupa sitaki bwashee π
Mambo yangu niachiwe mwenyewe...
Sure broMambo yangu niachiwe mwenyewe...
Kiaje wakwetu πYah u deserve wala sio uongo
Mzee wa emojiπππππ
meku naona hatutaelewana nafikiri umeshalewaKaka leo nakunywa 200 usd peke yangu nachafua vipi zaidi ya kuchangia uchumi wa duniaπ€π€π€π€π€
Nimemjualia wapi madam mzuri?Kumbe Yesu unamjua ila huwa unajifyatua tu
PSL god hujaonewa....ππππKitengo cha walevi na kilaji min -me | patrickk
Kitengo cha weeda Cannabis | KENZY
Kitengo cha entertainment dosho12 | Vincenzo Jr | ledada
Kitengo cha mapopo night owlers Intelligent businessman | Ertugrul Bey
Kitengo cha kataa ndoa komasava
Kitengo cha chai Mama Ndege | holoholo
Watabiri maprophet ubwabwa Tajiri Sina BAYA et al
Chaputa enterprises yupo Mbaga Jr | dronedrake
Gravediggers wafufua nyuzi Cherecheche | PSL god