Tugange yaliyomo na yajayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tugange yaliyomo na yajayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwl, Jun 6, 2011.

 1. m

  mwl JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Wakuu, inatosha kusikia yaliyojiri tusitolewe nje ya mjadala moto uliopo, nao ni GAMBA LIMEVULIWA au ndio ngonjera zile zile za CCM kututoa huku kutupeleka kule. Kuna mwenye habari yeyote kuhusu vikao vya Msekwa na RACHEL atupashe.
   
Loading...