Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,181
- 166,177
Sub ndo hbr ya mjini
HB Mkuu mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu
blaza habari yako binafsi bana....!
Nzuri tu mkuu hope kwema huko...... tumeadimika sana majukumu nini kaka?
kaka majukumu, maana vinginevyo.....!
kweli mkuu vinginevyo njia ya toilet itaota nyasi na mvua hizi