Tufurahi pamoja na Filipo leo (BDAY)

Tufurahi pamoja na Filipo leo (BDAY)

Jamani hichi kipapai kiboko....Jana kuna mtu alinizibia ila kimtandaoni tuu...Kimwili hapana......

Nashukuru maombi yamesaidia nimeweza kupost kwenye hii thread....Better late than never...

Filipo ,you are my one and only. ..I will always love you.

Jana ilikuwa the best day for us..From breakfast, lunch,dinner etc....I love you.
 
Last edited by a moderator:

Love love love love.....!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Bi Mkubwa! Hivi watu8 yupo!? Msalimie sana pamoja na your ladies!
sweet, charming, wise, first, furahia, Passion and "many others!"

Wooote wazima mkuu salam zimefika
 
Last edited by a moderator:
Happy bday filipo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kila la kheri mkuu katika maisha yako ya kila siku hadi tarehe kama hiyo itakapojirudia tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom