Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,357 Reaction score 62,605 Wednesday at 10:20 PM Thread starter #41 little master said: Na ndiyo engineer inatakiwa iwe hivyo kitu kianzie kwenye karatasi kiwe na specs fulani ili kije kwenye uhalisia japo tuwe wawazi ma engineer wetu wengi wanawahi kuridhika sana kwenye utendaji bado sana. Click to expand... Uko sahihi.
little master said: Na ndiyo engineer inatakiwa iwe hivyo kitu kianzie kwenye karatasi kiwe na specs fulani ili kije kwenye uhalisia japo tuwe wawazi ma engineer wetu wengi wanawahi kuridhika sana kwenye utendaji bado sana. Click to expand... Uko sahihi.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,757 Reaction score 47,594 Wednesday at 10:21 PM #42 Equation x said: Ukiingia kwenye hii biashara na ukataka uzalishe kwa wingi, na ili upate faida itakubidi ununue nondo kiwandani kwa tani Click to expand... Tayari hapo tunaondoka kwenye pesa kidogo, au mtaji mdogo. Lakini kikubwa, kuna kitu nimeokota na ubongo wangu umenufaika.
Equation x said: Ukiingia kwenye hii biashara na ukataka uzalishe kwa wingi, na ili upate faida itakubidi ununue nondo kiwandani kwa tani Click to expand... Tayari hapo tunaondoka kwenye pesa kidogo, au mtaji mdogo. Lakini kikubwa, kuna kitu nimeokota na ubongo wangu umenufaika.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,357 Reaction score 62,605 Wednesday at 10:24 PM Thread starter #43 The Monk said: Tayari hapo tunaondoka kwenye pesa kidogo, au mtaji mdogo. Lakini kikubwa, kuna kitu nimeokota na ubongo wangu umenufaika. Click to expand... Unaweza kuanza kwa kidogo ulichonacho
The Monk said: Tayari hapo tunaondoka kwenye pesa kidogo, au mtaji mdogo. Lakini kikubwa, kuna kitu nimeokota na ubongo wangu umenufaika. Click to expand... Unaweza kuanza kwa kidogo ulichonacho
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,599 Reaction score 183,949 Thursday at 12:52 PM #44 LasabaD mmeniacha asee! Cc Smart911
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,357 Reaction score 62,605 Thursday at 1:15 PM Thread starter #45 Mahondaw said: LasabaD mmeniacha asee! Cc Smart911 Click to expand... Fungua ubongo