Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,444
- 62,823
- Thread starter
-
- #21
Ukiingia kwenye hii biashara na ukataka uzalishe kwa wingi, na ili upate faida itakubidi ununue nondo kiwandani kwa taniAwali uliielezea kirahisi sana ndio maana nikawa nashangaa kwanini ubongo wangu haufikirii ipasavyo?
Sasa hapo kwenye gharama, unawezakujikuta gharama ya kuzalisha, bora ununue tu kama alivyochangia ERoni
Ila kuna kitu nimeambulia na ubongo wangu umefunguka (hii sitanii na wala si masihara). Nimepata ufunuo
Kuhusu masoko, kuna watu waliosomea na wakaiva kweli kweli, soko lako kubwa litakuwa ni mashule, vyuo, magereza n.kUpo sahihi back then nikiwahi uza reki unanunua reki tano zinakaa miezi 6 ndo zinaisha uhitaji wake mdogo mno njo na wazo lingine tuone hebu
Una welding machine? Au unachomelea kwa kuni?Ebu chukua nondo za milimita 6, vikatekate viwe vipande vidogo, chukua
flat bar uikate kwa kipimo maalumu.
Chukua vile vipande vidogo vidogo vya nondo vichomelee kwenye flat bar.
Hicho ulichokitengeneza, kiweke kwenye mpini; hapo tayari utakuwa umetengeneza reki.
Kwa kifupi, utakuwa na kiwanda cha kutengeneza reki na wewe utakuwa Real CEO (aliye jiajiri).
Ni kuamua kufungua ubongo tu kama mleta mada anavyosema. Vitu kama welding au soldering binafsi nimejifunzia YouTube, I'm not pro lakini kazi zangu ndogo nafanya bila shida.Kuna mshikaji alisomea automobile engineering NIT sasa alikuwa anadis sana mafundi wa garage za kawaida anasema mafundi wa miembeni kuna gari ikaja pata shida aliezea mambo kibao ishu ilikuwa ni communication ya microcontrollers akafika hadi kwenye CAN watu wakamwambia acha porojo wewe ikaitwa boda akapelekwa mbona alitafutana. Kutumia tu Multimeter ilikuwa kimbembe.
Kitu kukileta kwenye uhalisia kuna njia zake siyo from scratch tuu.
Mfano ukiona mtu anasolder kama rahisi sanaaa solder wewe sasa ujawahi shika hata gun unatazama YouTube tu.
Kuna mshikaji alisomea automobile engineering NIT sasa alikuwa anadis sana mafundi wa garage za kawaida anasema mafundi wa miembeni kuna gari ikaja pata shida aliezea mambo kibao ishu ilikuwa ni communication ya microcontrollers akafika hadi kwenye CAN watu wakamwambia acha porojo wewe ikaitwa boda akapelekwa mbona alitafutana. Kutumia tu Multimeter ilikuwa kimbembe.
Kitu kukileta kwenye uhalisia kuna njia zake siyo from scratch tuu.
Mfano ukiona mtu anasolder kama rahisi sanaaa solder wewe sasa ujawahi shika hata gun unatazama YouTube tu.
Una welding machine? Au unachomelea kwa kuni?
Kabla ya kununua mashine ni lazima uwe na elimu ya kuchomea. Au kuchomea hakuhitaji elimu?Tufunguane ubongo, tusiruhusu ubongo kuwa locked; unaweza kuamua kununua mashine na zipo za kila bei kutokana na ukubwa, au unaweza kumpatie mtu mwingine achomelee.
Kabla ya kununua mashine ni lazima uwe na elimu ya kuchomea. Au kuchomea hakuhitaji elimu?
Anazan n kazi rahisi hvyo.na hzo nondo na flat bar zinakujaje hapo bila kununua .bado cutting disk.red oxde,rangi yakupiga reck ipendeze ,umeme,stick,..km c fundi umlipe bado fundi .reck moja inakost matengenezo mpk ufundi labda elfu 20 ...jee sokon utaiuza kwa bei gan ili upate faida ww na ofc iweze kujiendeshaa..Aaah! Vipande vya nondo unavichomeka au unachomelea? Kama kuchomeka, sijaona hatua ya kutoboa flat bar na kuweka vizuizi vya vipande vya nondo visichomoke.
Na namna ya maungio ya mpini na flatbar haijatolewa ufafanuzi.
Hizo nondo hazinolewi kuwa na ncha?
Inaitaje elimu sana na pia na kufanya kazi bora ikayoingia sokoni nakuleta ushindan ,c anasema unachukua ndono tu nakuunda rec .Kabla ya kununua mashine ni lazima uwe na elimu ya kuchomea. Au kuchomea hakuhitaji elimu?
Tufunguane ubongo, tusiruhusu ubongo kuwa locked; unaweza kuamua kununua mashine na zipo za kila bei kutokana na ukubwa, au unaweza kumpatia mtu mwingine achomelee.
Ukiingia kwenye hii biashara na ukataka uzalishe kwa wingi, na ili upate faida itakubidi ununue nondo kiwandani kwa tani
Siyo rahis hivyoo mkuu connectionKuhusu masoko, kuna watu waliosomea na wakaiva kweli kweli, soko lako kubwa litakuwa ni mashule, vyuo, magereza n.k
Yah sahihi mkuu ndiyo maana yangu inahitaji kujifunza na ku practice mara kwa mara zaidi ndiyo inakaa sasa ila baadhi ya watu wengi sana wakisoma wanaona kama tayari wamemaliza.Ni kuamua kufungua ubongo tu kama mleta mada anavyosema. Vitu kama welding au soldering binafsi nimejifunzia YouTube, I'm not pro lakini kazi zangu ndogo nafanya bila shida.
Changamoto hatufungui bongo zetu!
Tunaona ni vigumu kwa sababu bado hujafungua ubongoAnazan n kazi rahisi hvyo.na hzo nondo na flat bar zinakujaje hapo bila kununua .bado cutting disk.red oxde,rangi yakupiga reck ipendeze ,umeme,stick,..km c fundi umlipe bado fundi .reck moja inakost matengenezo mpk ufundi labda elfu 20 ...jee sokon utaiuza kwa bei gan ili upate faida ww na ofc iweze kujiendeshaa..
Bado c rahisi km mleta mada anavyozan mkuu
Wanaotengeneza milango na madirisha ya chuma/ grill wana elimu ipi?Inaitaje elimu sana na pia na kufanya kazi bora ikayoingia sokoni nakuleta ushindan ,c anasema unachukua ndono tu nakuunda rec .
Na ndiyo engineer inatakiwa iwe hivyo kitu kianzie kwenye karatasi kiwe na specs fulani ili kije kwenye uhalisia japo tuwe wawazi ma engineer wetu wengi wanawahi kuridhika sana kwenye utendaji bado sana.Hizi fani za ujuzi, zinahitaji utundu ili uwe vizuri.
Mfano, mtu aliyesoma mechanical engineering, anatakiwa aandae michoro kutoka kichwani ya mashine mbalimbali, ampatie mchomeleaji , watengeneze mashine, na baadaye wawauzie wananchi.
Mfano: mashine za kukoboa, kufyatua matofari, lift n.k
Unaona haiwezekani, kwa sababu hujafungua ubongoSiyo rahis hivyoo mkuu connection