Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,449
- 62,829
Ni kitu gani kinazuia action isifanyike?Sometimes words without actions are like painting the wind.
Unavichomelea, itakuitaji uwe na sehemu ya uchomeleaji, na si lazima uanze na mtaji mkubwa.Aaah! Vipande vya nondo unavichomeka au unachomelea? Kama kuchomeka, sijaona hatua ya kutoboa flat bar na kuweka vizuizi vya vipande vya nondo visichomoke.
Na namna ya maungio ya mpini na flatbar haijatolewa ufafanuzi.
Hizo nondo hazinolewi kuwa na ncha?
Ebu chukua nondo za milimita 6, vikatekate viwe vipande vidogo, chukua
flat bar uikate kwa kipimo maalumu.
Chukua vile vipande vidogo vidogo vya nondo vichomelee kwenye flat bar.
Hicho ulichokitengeneza, kiweke kwenye mpini; hapo tayari utakuwa umetengeneza reki.
Kwa kifupi, utakuwa na kiwanda cha kutengeneza reki na wewe utakuwa Real CEO (aliye jiajiri).
Ndio maana tunasema elimu ya ufundi ni muhimu zaidi.Shida ni kuyatoa kwenye mindset nakuwa real!
Market siyo rahisi kiasi hicho wajuluo wanasemaga uhitaji wa reki wangapi wanataka reki zako for what kuongea kwa mdomo ni simpo unaweza jenga ghorofa mpaka mawinguni but njoo practical sasa it's uselessNi kitu gani kinazuia action isifanyike?
Hapo sawa, unavinoa pia kupata ncha kali.Unavichomelea, itakuitaji uwe na sehemu ya uchomeleaji, na si lazima uanze na mtaji mkubwa.
Itategemea na malengo uliyonayo, pamoja na gharama ya uzalishaji.Unaweza kuwa mwanzo wa maandalizi kisha uelekee kwa CEO mwenye kampuni ya kuchomelea ukamilisha mchakato.
Demand kinainaitwa Demand au arudy sule kwanza huyu #nothing personal just joking aroundMbona zipo mtaani tayari.
Bahati nzuri vitendea kazi vyote kwa ajili ya finishing vipo madukaniHapo sawa, unavinoa pia kupata ncha kali.
Ila wewe ndio unakua CEO mzalishaji kaka. Endapo mnazinunua kutoka mbali, wewe unaanza kuuzia watu sasa.Mbona zipo mtaani tayari.
Unaamua na wewe kuwa mshindaniMbona zipo mtaani tayari.
Tatizo linaweza kuwa soko, lakini zinatengenezwa, na ukienda madukani utazikuta; ukiwa mjasiriamali hutakiwi kuogopaMarket siyo rahisi kiasi hicho wajuluo wanasemaga uhitaji wa reki wangapi wanataka reki zako for what kuongea kwa mdomo ni simpo unaweza jenga ghorofa mpaka mawinguni but njoo practical sasa it's useless
Hakika mkuu, japo dhima hapa ni kufungua ubongo. Ni kweli tumezingia akili zetu kufanya "daily routine " tu...Ila wewe ndio unakua CEO mzalishaji kaka. Endapo mnazinunua kutoka mbali, wewe unaanza kuuzia watu sasa.
Awali uliielezea kirahisi sana ndio maana nikawa nashangaa kwanini ubongo wangu haufikirii ipasavyo?Itategemea na malengo uliyonayo, pamoja na gharama ya uzalishaji.
Upo sahihi back then nikiwahi uza reki unanunua reki tano zinakaa miezi 6 ndo zinaisha uhitaji wake mdogo mno njo na wazo lingine tuone hebuTatizo linaweza kuwa soko, lakini zinatengenezwa, na ukienda madukani utazikuta; ukiwa mjasiriamali hutakiwi kuogopa