Haina tofauti, Ila Mimi ninapoongelea kilimo bila udongo, namaanisha zaidi Mambo ya mbogamboga. Kwenye hydroponics nàfanya ile ya kuistawisha chakula Cha mifugo - hydroponics fodder.
System za hydroponics kwa ajili ya mbogamboga Ni complicated na zinahitaji mtaji mkubwa. Lakini hii ya mifuko / ndoo ni rahisi Sana.