Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,624
- 65,097
Zawadi kubwa tulionayo kwa sasa ni uhai, na tunaishi mara moja tu. Kila mmoja amepangiwa miaka yake ya kuishi, wengine 70, 50, 60, 30, 12, 99 n.k
Kutokana na mazingira hayo, miaka tuliyopewa inabidi kuitumia vizuri katika kufurahisha nafsi zetu. Kama una uwezo wa kuzunguka dunia nzima fanya hivyo, kama una uwezo wa kula pisi kali zote fanya hivyo n.k kwa sababu haya maisha hayajirudii, ukifumba umefumba.
Tusijitese sana na kuumiza miili yetu katika ulaji, eti tunabana matumizi ili tuweze kununua tofali. Huko ni kujitesa, maisha ni sasa.
Hapa nimekaa kwenye kiti kirefu, navizia pisi kali yoyote ije iniliwaze.
Kula maisha, maisha ni sasa.